RUSSIA YATEKA MIJI YA UKRAINE, YATUNGUA DRONI 63.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 6

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 2 дня назад

    Ukraine akubali kueka silaha chini, mambo yasizidi kua mabaya

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 дня назад

    Hawa jamaa vp wanatengeza video mara bado wanauwana bado wanabadilishana wafungwa maanake nn

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 дня назад +1

      Hiko hivi ndugu kubadilishana wangungwa wa kivita na jambo ambalo liko kwenye sheria za kivita ndio mana mwanajeshi akilamu Amri au kukamwatwa akiwa hai hawapaswi kuuwawa na sio Mara ya kwanza ya ukrane na Russia kubadilishana wafungwa wa kivita.... Na si kwamba kumaliza vita

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 дня назад

      @mtzhalisi2232 ilawanzinguaa sana kwnn wasi kama wanaweza kubadilishana wafungwa siwamaloze.tu vita

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 дня назад +1

      @@EmmanuelChrispin-bo5xh wenzetu wameamua kukubali kukutokubaina... Wacha wamalizane tu. Mmoja akichoka atasalimu Amri turned

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 дня назад

      @mtzhalisi2232 tishaa bro