Naomba sana mkuu kushusha ubungo ni msaada kwetu ss wanyonge tunakuomba sana uliangalie, kukodisha gari toka mbezi mpaka mjini ni gharama, na viguta ni hatari sana , panda ck moja utaogopa jinsi wanvyoviendesha na hili lilishatolewa ufumbuzi, muangalie hali halisi ya ugumu wa maisha❤
Lazima UTARATIBU ufuatwe, stendi imejengwa na itumike, huu mtindo wa watu kuamua wanavyotaka haikubaliki,....! lkn pia huwa Kuna tatizo la umaliziaji wa miradi, na kuihudumia miradi
HONGERA SANA MH CHALAMILA!TUNAAMINI ROHO YA JPM INAISHI NDANI YAKO. TUNAAMINI WALIOHAMISHA MABASI HAPO WANASABABU NZURI LAKINI HAZIWEZI KUWA NZURI KAMA ZA MABASI KUWA HAPO. MABASI YAKIWA HAPO WATANUFAIKA WALIO WENGI. WATU WA ; BODABODA,BAJAJI,DALADALA,WAUZA VYAKULA, VOCHA,MAWAKALA WA PESA,HOTEL NA NDIYO ILIKUWA DHAMIRA YA JPM. MUNGU AKULINDE NA AKUTIE NGUVU.
Chalamila unaweza unaweza tena sasa dsm imepata mkuu wa mkoa .Anaongea kwa fact.Mama tafuta kama uyu kumi waweke kwenye mikoa iliyoshindikana.Mambo yako yatakuwa vizuri.Hata Dodoma bado hujapapatia vizuri.
Wewe ni mkuu wa mkoa kweli kweli ,wewe umerithi jpm, Mungu akuwezeshe katika kusaidia wanyonge ambao wana angaika kutafuta nafasi ili wapete riziki ya kusaidia familia zao.
Daaah mama aliwai kula vitumbua katika mgahawa wangu akaniomba niwe napeleka stendi ya magufuli kweli wananchi wa chini tulinufaika sana leo mama yule anasema tuombeni MUNGU tukimpata kiongozi bora biashara itarudi sasa leo nimeamini kuna viongozi waajabu sana katika taifa letu
Chalamila bonge la kiongozi, ni mzalendo wa kweli. Huyu jamaa anasimamia haki sana. Na anawajali watu wa ina zote. Huo ni uzalendo wa hali ya juu sana.( MATUNDA YA BABA JPM). Alipanda mti unaozaa matunda bora, nasi umenaki tunayala matunda yake. Mwenyezi MUNGU akutangulie Chalamila.
Inawezekana kuna tozo za mabasi ya abiria zilizo nje ya taratibu, ndio maana wenye mabasi wamechukua uamuzi huo.Jambo LA busara ni pande zote kukaa pamoja ili kupata ufumbuzi. Yawezekana mabasi huenda mjini kwa lengo LA kufanyiwa service
Kiongozi Huwa naona uko sahihi sana Kila wakati Kwa hija zako🙏🙏👍👍.Kumbe hapakuwa na maana kipeleka stendi kuu mbezi.hatutaki stend uchwara kwanza wanaongoza kuhangaisha abiria,na upotev wa mizigo ya abiria,mabasi mwisho mbezi tu,,stop..
UPO SAWA KABISA.. MAANA HATA NDEGE ZOTE HUWA ZINAISHIA AIRPORT.. MELI NA FERRY ZOTE HUWA ZINAISHIA BANDARINI.. TRENI ZOTE HUWA ZINAISHIA STATION.. SASA IFIKIE MAAMUZI NA MABASI YOTE YAISHIE BUS TERMINAL..
Kaka hata wakikuita mshamba,ushamba huo ni bora mara 1000 kuliko uzezeta wanaoundekeza kwa kukifnya watoto wa mjini. Piga kazi kaka piga kazi, watu huku mtaani wanaitika baraaaabaraaaaa
CHALAMILA TUANGALIE NA SISI WASAFIRI TUNAOFIKA HAPO MJINI USIKU WA MANANE.. NI SHIDA SANA KUTOKA HAPO MBEZI USIKU KWENDA KONA ZA HAPO DAR... ABIRIA TUNATESEKA SANA USIKU HAPO MBEZI
@@HussenYassin Ndo maana Watanzania mnakuwa maskini na mnadhani mmelogwa, kumbe nikwa sababu mnaendekeza saaaana kulala tu. Wenzenu tulioendelea kiuchumi hatuwazi kulala hapo Magufuli Stand bali tunawaza tufike muda wowote usiku na tupate urahisi wa kwenda popote tukaendelee na majukumu.. Ndo maana tunataka mabasi yasogegee Ubungo ili iwe rahisi kwenda popote
Tanzania mnashida gani lkn??kwa nini msiendeshe nchi kwa utaratibu kama nchi nyingine zilizoendelea.😂😂😂daah..Yaani kila siku ni madudu jamani inatia simanzi.
Uelewa mdogo na dependence kwa viongozi. Watu ni wavivu wa kufikiri na ni wanafiki. Wao wamepewa utashi na mwenyezi Mungu lakini wanategemea viongozi tu ndio wafikirie kwa niaba Yao. Wakati Stendi hiyo inajengwa Mbezi watu walikuwa wanashangilia. Sasa Stendi imekuwa White Elephant. Wangetoa maoni Yao wakati ule na watendaji wote kama economists wangewashauri vizuri viongozi wa juu Hali usingekuwa hivi. Tuwe na utaratibu wa kushauriana. Hata kama mtu ana akili kama Albert Einstein, hakuna binadamu anaejua Kila kitu.
Huyu naye ni wa kumuombea tu mana ameanza kugusa vibakuli vya vyakula vya watu!!! Mazengwe hayaishi Tz, Mara utasikia Mh. Rais amefanya mabadiliko na sasa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM amehamishiwa Mkoa wa Katavi. Ili mradi awapishe watu dinning wale kwa amani!!!
Stend ya Mbezi ni kelo. Haizingatii haki za binadamu. Ofisi za tiketi ziko gorofani ambako watu wenye ulemavu hawawezi kufika. Vilevile utitiri wa wapiga debe ni kero. Mabasi kufika mjini yanamsaidia mtumiaji gharama za maisha ziko juu. Nakuomba mkuu wa mkoa uwapuuze wasikuletee tabia za Bukoba wanaojiminya kwenye kieneo kidogo wakiendekeza majungu.
Kila mmiliki wa mabasi akinunua Costa za kubeba watu kupeleka mbezi ndo itazidisha foleni, ni heli stendi za mabasi ya mikoani zikawepo kila Wilaya, wao kuotegemea stendi isiwe sababu za watu wa Chanika, Mbondole, pemba mnazi nk wateseke
Kila mtu anataka unafuu katika maisha vituo binafsi vya mabasi viendelee kutoa huduma kama kawaida isipokuwa yapite hapo Magufuli kushusha abiria wanaoshukia maeneo haya wengine wasio shuka hapo wapelekwe kushuka kwenye ofisi za hayo mabasi.Msitake kuongezea watu gharama wakati wenye mabasi wamea mua kuwasaidia abiria wao.Hatutaki vurugu kama ilivyokuwa ubungo.Kama ni ridhiki kila mtu anahitaji sio hai wa Magufuli terminal peke Yao waache unafiki Hilo tatizo lilimalizwa na mtangulizi wao.
Ndicho kinachofanyika. Wanashusha Magufuli na wanaoendelea wanashushwa Shekilango.Unakuta umesafiri kwa saa 15 tena ushushwe uchukue daladala mpaka Shekilango ndio tena uunganishe nyingine. Hapo ni saa sita usiku yeye V8 mpaka nyumbani
Mheshimiwa na sisi tunauhitaji barabara kutoka kibada hadi mwasonga mpaka kimbiji maana tunaumia sana kwa vumbi kutokana na magari makubwa na madogo pia barabara tuliyonayo ni mbovu sana inatuharibia vyombo vyetu vya usafiri
Upele umepata mkunaji!!! Kama kuna kitu kigumu anachopambana nacho mwanadamu ni mabadiliko!!! Hawataki kubadilika kuwa sasa stendi ni Mbezi. Lakini ni kweli viongozi wote wasimamizi hawaoni kuwa mabasi bado yanaingia mjini? Mbona kipindi cha bodaboda kufika posta walikuwa wanaziona na kukamata? Au boda boda ni kubwa kuliko mabasi?
Chalamila mungu awe nawe,hivi jamani Hawa viongozi hawaigi jman,hivi vichwa vitatu chalamila ,waziri Bashe ,waziri wa maji Hawa wangestahili wapewe maua yao,wengine kzi kuchati tu na kuchekacheka aijulikani yupi mwanume yupi mwanamke,Dodoma stendi doro vituo Kila sehemu makonda eletwe dodoma
Hilo suala la mabasi kuishia stand ya magufuli lilishafanyika, abiria walitoa malalamiko, likajadiliwa sana hadi bungeni, uamuzi wa busara ulifanyika kusaidia Raia, hapa utakua unaturudisha Kule kwenye matatizo, chukulia mfano mdogo, mtu anaishi upanga aende kupanda basi mbezi saa kumi na Moja alfajiri wakati alikua anaweza kupandia ofisi za basi kariakoo, au unamshusha stand ya magufuli mtu anaishi kigamboni , nauli ya basi kutoka magufuli terminal hadi kigamboni ni kubwa ukilinganisha na nauli atakayotumia kutoka Dodoma hadi magufuli terminal, Rc ungekua unafuatilia hizo habari vizuri usinge leta hoja hiyo kwasababu ilishajadiliwa Kwa kina ikatolewa maamuzi sahihi, wamiliki wa mabasi hawana shida, shida ni kwa abiria tunaotumia hayo mabasi. Think twice.
Nakubaliana na wewe Mr. Think twice. Tatizo la Watanzania hawafanyi research. Wanaibuka tu na hoja wakisahau kuwa suala Hilo liliishajadiliwa. Mimi Kwa mfano naishi Mikocheni. Napenda Kupandia basi hapo Shekilango au Kariakoo kulingana na wapi ninapoelekea. Tazama kina mama ambao wanaishi Mbagala au hata Kariakoo. Wakiwa wanasafiri alfajiri na watoto na mizigo ni gharama kubwa kukodi usafiri wa kuwafikisha Mbezi. Simple economics. Jamani watanzania tuwe waelewa na tuhurumiane. Nauli ya kwenda airport ni tshillings 20,000 mpaka 30,000. Kwenda Mbezi Magufuli ni 40,000 mpaka 60,000. Namuomba Mkuu wa Mkoa asikubali kupotoshwa na watu wabinafsi Kwa maslahi Yao. Ni vema pia Mkuu akatafuta watu wamfanyie kazi kama Consultants, Advisors na Researchers. Fedha zjpo za kuwalipa. Tusonge mbele Mkuu. Focus kwenye vitu muhimu kama job creation kwa vijana, mikopo kwa akina mama na wenye mahitaji pamoja na usafi kuboresha environment na miundombinu.
Watu wanasema ni umbali ok, vip uwanja wa ndege upo wapi ,vip watu wa kimara hawapandi,vip watu wa tegeta hawapandi vip wa bagamoyo hawapandi,jifunzeni kwa wenzetu nchi zilizoendelea pia hili la mabasi kuzagaa na kukaidi kua sehem ambayo serikali imetumie mabilion ya mma ili ije kua kitegauchumi cha mma tena ila wanajitokeza wachache wanajenga zao kwanza ilitakiwa hizo stand zitaifishwe na zewe hospital za mma
ASIEKUELEWA ANAJITOA UFAHAMU. UKO NA USAWA WAKUONGOZA KWA KILA ANAESTAHILI HAKI YAKE YA KIMSINGI YA KIMAISHA YA DUNIA. KATIKA NCHI NDANI YA JIMBO HILI DIZIM STATE '' DAR CITY'' UNITED WE STAND DIVIDED WE FALL.': EQUAL WEGHT EQUAL VOLUME. SENSITIVE PEOPLE TO PEOPLE.. I APPRECIATE YA PROGRESSIVE GENT. CHALA THE MILA ''MIRROR''MIRROR THE FOCUS.. Anha! Take 5 . flavor zinair....
Hao watu wachache wa mbezi wasumbue idadi kubwa ya wakazi wa dar,na unaona wote waliopitisha uamuzi huo wamekula rushwa.ungekaa 1 nawalokuwapo kabla ya kupanda jukwaani la sivyo dar imesha kushinda huo ni muhemuko sio uongozi.
Likelyhood and strength
Hapo mhe sawa stand za sheklango ziwe na mabasi madogo kupeleka watu MAGUFULI STAND.
Hongera utakuwa Rais wa nchi hii Mungu akutunze
kati ya watu wakulindwa Tanzania hii huyu naye anahitajika kulindwa sana ,Mungu MTUNZE SANA Chalamila,Maana nona anavita kubwa sana.
Hawamuwez huyo
Safi sana
Pamoja sana Mkuu wangu Chalamila Mungu azidi kukupa nguvu uinyeshee Dar nina Imani utshinda Mungu awe pia nawe
Nikisikiliza speach za huyu mwamba naona JPM huyo mbele , Hongela mkuu wetu wa mkoa chapa kazi tunakuombea
Maneno yako niya kweli kabisa!!!
Tukowengi tunao mkumbuka jpm kupitia huyujamaa
Kweli kabisa
Mm nakuombea Mungu akulinde
Maghufuli 2 Well done mkuu nakupenda sana
Naomba sana mkuu kushusha ubungo ni msaada kwetu ss wanyonge tunakuomba sana uliangalie, kukodisha gari toka mbezi mpaka mjini ni gharama, na viguta ni hatari sana , panda ck moja utaogopa jinsi wanvyoviendesha na hili lilishatolewa ufumbuzi, muangalie hali halisi ya ugumu wa maisha❤
Ameongea point sana kama hao wenye vituo vya mabasi basi wanunue basi madogo Hilo jambo zuri sana
Mm nakuelewa sana tena sana
Soul of magufuri still inside in this man
Baba Mungu akutunze uyasımamıe vema machınga wafanye kaz vıjana watoke nyumban waache kucheza kamarı.
Malizeni ujenzi wq stand hiyo mama kazi kuupiga mwingi tu watanzania wamechoka sana
Lazima UTARATIBU ufuatwe, stendi imejengwa na itumike, huu mtindo wa watu kuamua wanavyotaka haikubaliki,....!
lkn pia huwa Kuna tatizo la umaliziaji wa miradi, na kuihudumia miradi
Mwagito m nakuelewa sana Mungu akutunze
Kwamambo Kama hayo yupo vizuri lakini la bandari ningemshauri aliachee litamvunjia heshima na niayake njema ya kutuendeshea mkoa. Asante.
Umenena vyema.
Safi sana Baba nimekuelewa sana
HONGERA SANA MH CHALAMILA!TUNAAMINI ROHO YA JPM INAISHI NDANI YAKO.
TUNAAMINI WALIOHAMISHA MABASI HAPO WANASABABU NZURI LAKINI HAZIWEZI KUWA NZURI KAMA ZA MABASI KUWA HAPO.
MABASI YAKIWA HAPO WATANUFAIKA WALIO WENGI.
WATU WA ; BODABODA,BAJAJI,DALADALA,WAUZA VYAKULA, VOCHA,MAWAKALA WA PESA,HOTEL NA NDIYO ILIKUWA DHAMIRA YA JPM.
MUNGU AKULINDE NA AKUTIE NGUVU.
Naomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam utusikilize na sisi watumiaji wa mabasi sio uwasikilize wafanya biashara wa standing ya Mbezi
Mwamba huyuuu hapaaa#RC#CHALAMILA🔥🔥
Hongera sana mh uko vizuri
Safi sanaa hongera sana mkuu wa mkoa
Chalamila unaweza unaweza tena sasa dsm imepata mkuu wa mkoa .Anaongea kwa fact.Mama tafuta kama uyu kumi waweke kwenye mikoa iliyoshindikana.Mambo yako yatakuwa vizuri.Hata Dodoma bado hujapapatia vizuri.
Nakukubali sna mkuu wa mkowa hupindishi kabisa
Jembe la kazi
dah charamira ata sijui nikuite Jina gani gani wew niebeneza dah asa mungu akuweke
Stand nzuri tizama hiyo miundo mbinu ovyo kabisa daah nchii Tanzania hatari tupu matapishi kila sehemu
Wewe ni mkuu wa mkoa kweli kweli ,wewe umerithi jpm, Mungu akuwezeshe katika kusaidia wanyonge ambao wana angaika kutafuta nafasi ili wapete riziki ya kusaidia familia zao.
Ila angalieni kwa upande wa sisi wasafiri, wenye mabasi wanajitolea kutupunguzia adha aisee
Uko vizuri piga kazi
Mkuu uko vzr tumekuelewa ifanyie kazi Dar ondoa hayo mapungufu na hasa hayo mabasi yasiyoingia hapo Stend ya Magufuli yote yaje hapo
Good job RC
Hua nakuelewa sana kiingizo.
Tunaomba utusaidye kabsaa dar ni shida sitend ukipanda daraja unaripia vip na mtu unaenda kupanda gari ni kero sana inaboa
Hii nzuri
Safi sana kiongozi mweledi
Daaah mama aliwai kula vitumbua katika mgahawa wangu akaniomba niwe napeleka stendi ya magufuli kweli wananchi wa chini tulinufaika sana leo mama yule anasema tuombeni MUNGU tukimpata kiongozi bora biashara itarudi sasa leo nimeamini kuna viongozi waajabu sana katika taifa letu
Akili mingi sana huyu mwamba...
Unaakili sana kaka chalamila
Baba umekuja ubungo tembelea na kimara mwisho Barbara ya bonyokwa,Kikwete High way, tunahitaji stand !!!!!!
Chalamila bonge la kiongozi, ni mzalendo wa kweli. Huyu jamaa anasimamia haki sana. Na anawajali watu wa ina zote. Huo ni uzalendo wa hali ya juu sana.( MATUNDA YA BABA JPM). Alipanda mti unaozaa matunda bora, nasi umenaki tunayala matunda yake. Mwenyezi MUNGU akutangulie Chalamila.
Wat kam hawa ndo wanatakiwa kuwa ma rais
Hongera sana RC Chalamila
Yaani ukiongea namuona magufuri ndani yako.
Dar sasa imeendelea sana uwez kuwa na stend moja mkuu,pambana walipe kodi huko huko walipo
Jamani namuona JPM huyo mwamba Yuko vizuri Sana 💪💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mh Chalamila
Gombea Urais tunakuhitaji kuwa mkuu wa nchi hiii
Inawezekana kuna tozo za mabasi ya abiria zilizo nje ya taratibu, ndio maana wenye mabasi wamechukua uamuzi huo.Jambo LA busara ni pande zote kukaa pamoja ili kupata ufumbuzi. Yawezekana mabasi huenda mjini kwa lengo LA kufanyiwa service
Ukimtoa magufuli anafwata huyu bwana Kwa speech nzur
Kiongozi Huwa naona uko sahihi sana Kila wakati Kwa hija zako🙏🙏👍👍.Kumbe hapakuwa na maana kipeleka stendi kuu mbezi.hatutaki stend uchwara kwanza wanaongoza kuhangaisha abiria,na upotev wa mizigo ya abiria,mabasi mwisho mbezi tu,,stop..
Good
UPO SAWA KABISA.. MAANA HATA NDEGE ZOTE HUWA ZINAISHIA AIRPORT.. MELI NA FERRY ZOTE HUWA ZINAISHIA BANDARINI.. TRENI ZOTE HUWA ZINAISHIA STATION.. SASA IFIKIE MAAMUZI NA MABASI YOTE YAISHIE BUS TERMINAL..
Umetisha
Akili kama ya jpm
Haya mambo anayoongea yalishamalizwa na RC Makala mbona unafukua makaburi nataka kukubaliana na Dr slaa
Kaka hata wakikuita mshamba,ushamba huo ni bora mara 1000 kuliko uzezeta wanaoundekeza kwa kukifnya watoto wa mjini. Piga kazi kaka piga kazi, watu huku mtaani wanaitika baraaaabaraaaaa
Unafanya kuwa raisi ❤
hiyoo
Nakupa Mia kwa 100% Magu amekuacha wewe baba tunakuombea
Mungu hakutangulie mkuu
MUNGU alimsaidia Raisi kumrudia Chalamila
Kiongozi bora umtambua kiongozi wake mkuu...na hivi ndivyo chalamila anavyithibitisha...Mungu mlinde Mama Samia
Mkuu wa mkoa wa Dodoma lichukue hili lipeleke pale Dodoma.
❤
CHALAMILA TUANGALIE NA SISI WASAFIRI TUNAOFIKA HAPO MJINI USIKU WA MANANE..
NI SHIDA SANA KUTOKA HAPO MBEZI USIKU KWENDA KONA ZA HAPO DAR...
ABIRIA TUNATESEKA SANA USIKU HAPO MBEZI
Kuna sehemu yakulala abiria utalala
@@HussenYassin Ndo maana Watanzania mnakuwa maskini na mnadhani mmelogwa, kumbe nikwa sababu mnaendekeza saaaana kulala tu.
Wenzenu tulioendelea kiuchumi hatuwazi kulala hapo Magufuli Stand bali tunawaza tufike muda wowote usiku na tupate urahisi wa kwenda popote tukaendelee na majukumu..
Ndo maana tunataka mabasi yasogegee Ubungo ili iwe rahisi kwenda popote
Nakuelewa sana kiongozi
Huyu mkuu wa mkoa ikitokea kahamishwa lazima tuandamane❤
😂😂😂😂 ten
Tanzania mnashida gani lkn??kwa nini msiendeshe nchi kwa utaratibu kama nchi nyingine zilizoendelea.😂😂😂daah..Yaani kila siku ni madudu jamani inatia simanzi.
Uelewa mdogo na dependence kwa viongozi. Watu ni wavivu wa kufikiri na ni wanafiki. Wao wamepewa utashi na mwenyezi Mungu lakini wanategemea viongozi tu ndio wafikirie kwa niaba Yao. Wakati Stendi hiyo inajengwa Mbezi watu walikuwa wanashangilia. Sasa Stendi imekuwa White Elephant. Wangetoa maoni Yao wakati ule na watendaji wote kama economists wangewashauri vizuri viongozi wa juu Hali usingekuwa hivi. Tuwe na utaratibu wa kushauriana. Hata kama mtu ana akili kama Albert Einstein, hakuna binadamu anaejua Kila kitu.
Mimi nakaa kigamboni unataka niamke saa 10 usiku kwenda kupanda bus kimara kweli lazima ujue pia dar usiku vibaka ni wengi
Magufuli namba 2😍
Mwenyezi simamia wote wanao msaidia SSH
Kazi wanayo
Anavyo ongea namkumbuka Jpm daah
Sina uhakika kama stendi ya Magufuri inatosha mabasi yote kuingia mle, yawezekana ndio sababu wenye mabasi wamelazimika kutafuta maegesho yao.
Huyu naye ni wa kumuombea tu mana ameanza kugusa vibakuli vya vyakula vya watu!!!
Mazengwe hayaishi Tz, Mara utasikia Mh. Rais amefanya mabadiliko na sasa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM amehamishiwa Mkoa wa Katavi. Ili mradi awapishe watu dinning wale kwa amani!!!
🔥🔥🔥🔥
Stend ya Mbezi ni kelo. Haizingatii haki za binadamu. Ofisi za tiketi ziko gorofani ambako watu wenye ulemavu hawawezi kufika. Vilevile utitiri wa wapiga debe ni kero. Mabasi kufika mjini yanamsaidia mtumiaji gharama za maisha ziko juu. Nakuomba mkuu wa mkoa uwapuuze wasikuletee tabia za Bukoba wanaojiminya kwenye kieneo kidogo wakiendekeza majungu.
Kuna lifti pale na njia za slop ukiacha ngazi
Chalamila unafaa kuwa rais wa tanzania, ni mkweli unawataka wanyonge wasinyanyaswe
Kwenye hilo jiangalie utarudi kuwa mchungaji Iringa 😂😂😂😂
😂😂😂 ndio maana anasema akajiridhishe kwanza!
Kila mmiliki wa mabasi akinunua Costa za kubeba watu kupeleka mbezi ndo itazidisha foleni, ni heli stendi za mabasi ya mikoani zikawepo kila Wilaya, wao kuotegemea stendi isiwe sababu za watu wa Chanika, Mbondole, pemba mnazi nk wateseke
Kila mtu anataka unafuu katika maisha vituo binafsi vya mabasi viendelee kutoa huduma kama kawaida isipokuwa yapite hapo Magufuli kushusha abiria wanaoshukia maeneo haya wengine wasio shuka hapo wapelekwe kushuka kwenye ofisi za hayo mabasi.Msitake kuongezea watu gharama wakati wenye mabasi wamea
mua kuwasaidia abiria wao.Hatutaki vurugu kama ilivyokuwa ubungo.Kama ni ridhiki kila mtu anahitaji sio hai wa Magufuli terminal peke Yao waache unafiki Hilo tatizo lilimalizwa na mtangulizi wao.
Ndicho kinachofanyika. Wanashusha Magufuli na wanaoendelea wanashushwa Shekilango.Unakuta umesafiri kwa saa 15 tena ushushwe uchukue daladala mpaka Shekilango ndio tena uunganishe nyingine. Hapo ni saa sita usiku yeye V8 mpaka nyumbani
Pia tunaombaniatalama alys warejee Kwa mdacwa SAA Tisa ioitusaidia sana Sisi tusio na V8 kuwahi tuendako
Kwenye hilo kiongozi liache maana hadha ya usafiri wa abiria utatupa wakati mgumu tuache
Waambie baba kwanza matajiri sio wapigakura ni watu masikini na wanyonge
Mheshimiwa na sisi tunauhitaji barabara kutoka kibada hadi mwasonga mpaka kimbiji maana tunaumia sana kwa vumbi kutokana na magari makubwa na madogo pia barabara tuliyonayo ni mbovu sana inatuharibia vyombo vyetu vya usafiri
Upele umepata mkunaji!!! Kama kuna kitu kigumu anachopambana nacho mwanadamu ni mabadiliko!!!
Hawataki kubadilika kuwa sasa stendi ni Mbezi.
Lakini ni kweli viongozi wote wasimamizi hawaoni kuwa mabasi bado yanaingia mjini?
Mbona kipindi cha bodaboda kufika posta walikuwa wanaziona na kukamata? Au boda boda ni kubwa kuliko mabasi?
Chalamila mungu awe nawe,hivi jamani Hawa viongozi hawaigi jman,hivi vichwa vitatu chalamila ,waziri Bashe ,waziri wa maji Hawa wangestahili wapewe maua yao,wengine kzi kuchati tu na kuchekacheka aijulikani yupi mwanume yupi mwanamke,Dodoma stendi doro vituo Kila sehemu makonda eletwe dodoma
Hilo suala la mabasi kuishia stand ya magufuli lilishafanyika, abiria walitoa malalamiko, likajadiliwa sana hadi bungeni, uamuzi wa busara ulifanyika kusaidia Raia, hapa utakua unaturudisha Kule kwenye matatizo, chukulia mfano mdogo, mtu anaishi upanga aende kupanda basi mbezi saa kumi na Moja alfajiri wakati alikua anaweza kupandia ofisi za basi kariakoo, au unamshusha stand ya magufuli mtu anaishi kigamboni , nauli ya basi kutoka magufuli terminal hadi kigamboni ni kubwa ukilinganisha na nauli atakayotumia kutoka Dodoma hadi magufuli terminal, Rc ungekua unafuatilia hizo habari vizuri usinge leta hoja hiyo kwasababu ilishajadiliwa Kwa kina ikatolewa maamuzi sahihi, wamiliki wa mabasi hawana shida, shida ni kwa abiria tunaotumia hayo mabasi. Think twice.
Nakubaliana na wewe Mr. Think twice. Tatizo la
Watanzania hawafanyi research. Wanaibuka tu na hoja wakisahau kuwa suala Hilo liliishajadiliwa. Mimi Kwa mfano naishi Mikocheni. Napenda Kupandia basi hapo Shekilango au Kariakoo kulingana na wapi ninapoelekea. Tazama kina mama ambao wanaishi Mbagala au hata Kariakoo. Wakiwa wanasafiri alfajiri na watoto na mizigo ni gharama kubwa kukodi usafiri wa kuwafikisha Mbezi. Simple economics. Jamani watanzania tuwe waelewa na tuhurumiane. Nauli ya kwenda airport ni tshillings 20,000 mpaka 30,000. Kwenda Mbezi Magufuli ni 40,000 mpaka 60,000. Namuomba Mkuu wa Mkoa asikubali kupotoshwa na watu wabinafsi Kwa maslahi Yao. Ni vema pia Mkuu akatafuta watu wamfanyie kazi kama Consultants, Advisors na Researchers. Fedha zjpo za kuwalipa. Tusonge mbele Mkuu. Focus kwenye vitu muhimu kama job creation kwa vijana, mikopo kwa akina mama na wenye mahitaji pamoja na usafi kuboresha environment na miundombinu.
@@patriciamuganda4498 tuko pamoja
Nandege ifike kwako
Good Points Dear umetoa ya maana Watu wanafikiria Outside the Inbox na sio inside the Box very Hopeless
..hizo hoja zako zingekuwa na mantiki..isingmwagwa billion 50..what a waste?
Mkuu wa mkoa uje huku zone barabara ni mbovu
Atatulia tuu hkn mkate mgumu mbele ya chai hy ndio bongo atakiwa apige kz acmalize maneno
Kwa hili sikuungi mkono mkuu
Watu wanasema ni umbali ok, vip uwanja wa ndege upo wapi ,vip watu wa kimara hawapandi,vip watu wa tegeta hawapandi vip wa bagamoyo hawapandi,jifunzeni kwa wenzetu nchi zilizoendelea pia hili la mabasi kuzagaa na kukaidi kua sehem ambayo serikali imetumie mabilion ya mma ili ije kua kitegauchumi cha mma tena ila wanajitokeza wachache wanajenga zao kwanza ilitakiwa hizo stand zitaifishwe na zewe hospital za mma
ASIEKUELEWA ANAJITOA UFAHAMU. UKO NA USAWA WAKUONGOZA KWA KILA ANAESTAHILI HAKI YAKE YA KIMSINGI YA KIMAISHA YA DUNIA. KATIKA NCHI NDANI YA JIMBO HILI DIZIM STATE '' DAR CITY'' UNITED WE STAND DIVIDED WE FALL.': EQUAL WEGHT EQUAL VOLUME. SENSITIVE PEOPLE TO PEOPLE.. I APPRECIATE YA PROGRESSIVE GENT. CHALA THE MILA ''MIRROR''MIRROR THE FOCUS.. Anha! Take 5 . flavor zinair....
Mama mteue awe Waziri wa Mambo ya ndani huyu, Waziri aliyepo mpole hafai mpeleke wizara ingine iliyolala.
Kwahilo sisawa stendi yenyewe kuingia Mia tatu ukitokamiatatu yakoimeosha iyosisawa nikuonea raia kuwena risitimoja mtuakilipa miatatu yake kamaatarudi maranne arudi siothuluma yasasa iyonomali yauma imechukuliwa niyamwekezaji kumbemnyanyasaji
Chalamila huo ni mtego hao wanaokushangilia watakucheka baadae
Yuko poa sana
Magufuli Part-2
nikweli
Hao watu wachache wa mbezi wasumbue idadi kubwa ya wakazi wa dar,na unaona wote waliopitisha uamuzi huo wamekula rushwa.ungekaa 1 nawalokuwapo kabla ya kupanda jukwaani la sivyo dar imesha kushinda huo ni muhemuko sio uongozi.
Mbegu ya magu imeota kwenye udongo mzur
Mwakajana nilirudi Tanzania na nikafika hapo ubungo daaaah, restaurant chafuuu🤦