Yammi - Ramadan (Official Lyrics Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 774

  • @fabigeniustz976
    @fabigeniustz976 Год назад +65

    Mashallah nyimbo nzuri Sana
    Namm ndo wa kwanza kucomment ebu mnipe like zangu🙏🙏🙏

  • @thegenius8621
    @thegenius8621 Год назад +47

    Wimbo mtamu kama ramadhan..like the voice and lyrics ...salute to all Muslim brothers and sisters

    • @thegenius8621
      @thegenius8621 Месяц назад

      Still the voice keeps on soothing... Like it

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +46

    Mashallah yamii never disappoint Ramadhan kareem to all muslims🌙

  • @MUSAMWAVUO-hi5ed
    @MUSAMWAVUO-hi5ed Год назад +115

    Mash'Allah 😍 Ramadhan Kareem to all muslims

  • @rehemambila4342
    @rehemambila4342 Год назад +146

    Am a Christian but I just love the song 😍 ramadhan Kareem to allllllll Muslims!!!

  • @abuysalim7163
    @abuysalim7163 10 месяцев назад +10

    Ramadhani 2024 ❤

  • @loth5
    @loth5 Год назад +263

    Wakristo wenzangu wote tulioipenda hii nyimbo like hapa.

  • @victoriamarijani
    @victoriamarijani Год назад +33

    Mash'Allah ❤❤ Ramadan Kareem to all Muslims ☪️ 🙏 ❤

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 10 месяцев назад +18

    Niko hapa 2024 nikisubili kukaribisha Ramadan inshallah

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад +21

    Mashallah💓💓💓❤️🌹 Ramadan Kareem to all Muslims🙏🏼🙏🏼

  • @fettyabiola1389
    @fettyabiola1389 Год назад +14

    Ungelifunka na izo nywele vizur bas ungepenya mpk vyomb vinavyoonesh kaswida

    • @basrahamisfengu-li3nn
      @basrahamisfengu-li3nn Год назад

      Kweeeeli angefunga shungi vizuri assh (⁠◍⁠•⁠ᴗ⁠•⁠◍⁠)⁠❤

    • @farajimaulid4869
      @farajimaulid4869 Год назад

      Apo ndo alipo haribu

    • @mwajumsleman9070
      @mwajumsleman9070 Год назад

      Umeona eeeh yaan kabugi apo t kuonesha nywele

    • @selemanimchana3598
      @selemanimchana3598 9 месяцев назад

      Kweli kabisa, umeliona Hilo, huyu ni msanii maana angekua wa qaswida TU angetambua hilo

  • @adamohamad169
    @adamohamad169 Год назад +8

    Masha’Allah, Ramadan Mubarak to all Muslims. From Guinea 🇬🇳 to Tanzania 🇹🇿 one love🫶🏼🫶🏼

  • @officialidakeys
    @officialidakeys Год назад +66

    Allah Awajalie wote walio Fuga kwenye Mwezi Mtukufu wa Ramadan
    Mashallah Yammi Unajuwa Unajuwa Unajuwa Tenaaaaaaa Jamani Dungu zangu Like Moja ☝☝☝ tuuu kwa Yammi 👇👇👇

    • @MrYaoYao.
      @MrYaoYao. Год назад +2

      QASWIDA MPYA YA RAMADHANI
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      ruclips.net/video/0eD2yZYd6MA/видео.html

    • @sarahkimu1351
      @sarahkimu1351 Год назад +1

      Mungu akulinde

  • @mohammedabdulrahim8991
    @mohammedabdulrahim8991 Год назад +3

    Mashallah Hongera Sana Mtoto wangu tuko nawe bega kwa bega Hakika utapaa Kila kukicha from Anwar Dad

  • @hubahLyrics
    @hubahLyrics Год назад

    Maashallah #Ramadhan...yemmy the African princess

  • @nuruali7859
    @nuruali7859 Год назад +12

    Masha'Allah! Ramadhan kareem to all muslims

  • @hassanatashurashurhassan1025
    @hassanatashurashurhassan1025 Год назад +2

    Masha Allah tabarakallah ❤❤❤❤from Kenya love you sis keep it up 🎉🎉🎉🎉

  • @zakiaharuna-ve1wd
    @zakiaharuna-ve1wd Год назад +1

    Mashalaah ❤ Yammy ramadhan Kareem 🕋 masjid mung akupe maixha marefu ❤❤❤❤❤❤

  • @priscahazael7318
    @priscahazael7318 Год назад +35

    Mashaallah❤❤ Ramadan Kareem to all Muslims🤲

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 Год назад +8

    Mashaallah very nice Ramadan Kareem ❤❤❤

  • @josephkimaro9300
    @josephkimaro9300 Год назад +3

    Jaman huyu fireee 🔥 mnamuonajeee....."**✓✓2023 ramadhan

  • @anaphyanusa2639
    @anaphyanusa2639 Год назад +1

    Kazi nzuri Yammi! Wimbo wako mzuri sana na hauchoshi kuusikiliza. Allah Akubariki sana!

  • @Ayubu-gs1ym
    @Ayubu-gs1ym 21 день назад

    Wimbo mzuri Sana siku nyingine nywele zifunike vizuri,

  • @halimakazungumae9759
    @halimakazungumae9759 Год назад +5

    Mashaallah umeweza mama ❤❤.. Ramadhan Kareem wa swaum makbul to all Muslim's

  • @mohamednzaro3510
    @mohamednzaro3510 Год назад +3

    With love from mombasa. U give the audiece what they want. Mashallaaah

  • @adembeza
    @adembeza Год назад +43

    My new favorite Ramadhan Nasheed. 🤩🙌🙌

  • @josephmwiiri94
    @josephmwiiri94 Год назад +32

    Wow, mashallah 😊 Ramadan Kareem to all my Muslim friends and family

    • @MrYaoYao.
      @MrYaoYao. Год назад

      QASWIDA MPYA YA RAMADHANI
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      ruclips.net/video/0eD2yZYd6MA/видео.html

  • @aminasangi9992
    @aminasangi9992 Год назад +3

    Mashaallah Ramadan kareem all Muslim

  • @amalahmed5724
    @amalahmed5724 Год назад +6

    Mashallah Ramadan kariim to all my sisters and brothers ......I love this nasheda although I dont understand

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Год назад +51

    Happiest Ramadhan to all our Muslim brothers and sisters 💗💗💗

  • @Riverbrd
    @Riverbrd Год назад +21

    Not a Muslim but this song!👌 perfect work Yammi.

  • @aishamohamed9981
    @aishamohamed9981 11 месяцев назад +2

    Allah akujaalie ubaki hapo... Umependeza na stara yako... Hapo kidogo palipobakia Allah atakusaidia akuwezeshe... Nakuacha na dua... Aisha kutoka Mombasa

  • @mrtenomarykenya2425
    @mrtenomarykenya2425 Год назад

    Congratulations sister kwa utunzi mzuri wa Qaswida hii mashallah!

  • @dorothmwakibinga6882
    @dorothmwakibinga6882 Год назад

    Very nice ma lovely ccy wimbo mzuri Sanaa ALLAH Awabarik wote walio funga kwa kipnd iki

  • @cutegirlallyally4957
    @cutegirlallyally4957 Год назад +1

    Huku ndio kwako unaweza sio kule,Mashaallah Allah akuongoze dear.

  • @abubakarbamkuu3729
    @abubakarbamkuu3729 Год назад +11

    mashallah...ramadhan Kareem...Yummi, you are blessed with a voice mashallh ❤....it's done ❤❤❤

  • @haido.99
    @haido.99 Год назад +2

    Masha Allah ❤tiba njema ni Ramadhan😍

  • @user412
    @user412 Год назад

    Umejitahidi kufikisha ujumbe Nami na kusaidia kukufikishiaa ujumbe. Umejibandika mikope ya bandia, umewacha nywele wazi. Hapo naona kidogo dada yangu umekosea... Yaani hujawa kigezo

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 Год назад +4

    Ss mbn nywele zinaonekana ilikua zisionekane ata kdg 😮😮😮😮Ila mashallah iko vzr

  • @ChizzaChui
    @ChizzaChui Год назад +215

    Wapi likes za mtu was kwanza kucomment🫣☺️ Ramadan Kareem to all Muslim

    • @rukaiyahally593
      @rukaiyahally593 Год назад +1

      Mashallah

    • @ashuranyenzi4491
      @ashuranyenzi4491 Год назад +3

      mashaallah mashair yapo vizr.Ushaur tu km aliimba km kutoa tu ujumbe amefanya jambo jema la amewakilisha kwa uislam angjifunika na nywele ingekua vzr zaid kwa vile ni ujumbe wa kiislam.Vyengine nampa big up kwa kazi alioiwakilisha

    • @faudhiamnyamwezi1649
      @faudhiamnyamwezi1649 Год назад +1

      Ramadan kareem

    • @MrYaoYao.
      @MrYaoYao. Год назад

      QASWIDA MPYA YA RAMADHANI
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      ruclips.net/video/0eD2yZYd6MA/видео.html

    • @shukranmichael7014
      @shukranmichael7014 Год назад +1

      Ramadhani

  • @fatmaothman1570
    @fatmaothman1570 10 месяцев назад

    Nyie bhn mnamtania mungu et mwenyezi mungu hajaribiwi ht kidgo saiz mnajifanya mwez mtukufu ukiisha mnatuvalia vichup

  • @aminazamzam6906
    @aminazamzam6906 Год назад +1

    ramadhan ni tiba ya kila bina damu ambaye atafunga ni nguzo ya nne ya dini wali funga waja wazamani wafunge wenye kukidhi tufungeni jamani.Tuwasaidianeni mayatima na wajene salamu tuzitoe❤❤❤❤❤❤❤❤❤💟💟💟💟💞💞💞👍👍☺☺ Ramadhan kareem

  • @bembestarsedimonda2154
    @bembestarsedimonda2154 Год назад +1

    Kwaniaba ya bembe capany tv online 🤝🔥🔥 tuko pamoja na bembe stars 🔥🔥 tumependa wimbo wako dada yetu humeuwa sana dugu mungu hakubariki katika maisha Yako hakupe ulizi tele kazi zuri muliyo niakikishiya humundani ❤️❤️❤️❤️🤝🤝🔥🔥🔥 nimekubuka mbali kweli dada

  • @shantelmashirima3452
    @shantelmashirima3452 Год назад +7

    Yammi never disappoint

  • @kaniniefridah9694
    @kaniniefridah9694 Год назад +34

    Ramadhan Kareem to all Muslims ❤❤❤

    • @ComedyPlustz
      @ComedyPlustz Год назад

    • @MrYaoYao.
      @MrYaoYao. Год назад

      QASWIDA MPYA YA RAMADHANI
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      ruclips.net/video/0eD2yZYd6MA/видео.html

  • @lenny_DMA
    @lenny_DMA Год назад +36

    Yammi never disappoints🙌🔥

  • @uwimananuriat712
    @uwimananuriat712 Год назад +7

    Manshallah 🥰 🥰 Ramadan Mubarak to all Muslims

  • @Kahanya__Mjukuu
    @Kahanya__Mjukuu Год назад +1

    Nakubali... sauti nyororo Mashaalah ❤@Yammi🥀

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 Год назад +2

    Ma Sha Allah ♥️ Shukrn, 😍

  • @MOHAMEDSALEH-fl7kb
    @MOHAMEDSALEH-fl7kb 10 месяцев назад

    Hongera dada Kwa utunzi mzuri wa nyimbo wa Ramadhan. Good lyrics, bits and drums. Congratulations guys . Regards Kaka Saleh ( Ndola Zambia )

  • @ashamjeni292
    @ashamjeni292 Год назад +9

    Masha'allah ,Ramadhan Kareem to all muslims🙏🙏🕋🏰📖📿

  • @alobamehassane1938
    @alobamehassane1938 Год назад

    Sawauti ndjema ❤❤❤❤ nakoupendra hama zuchu🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲❤❤❤❤😍😍😘

  • @yuusufnuur5752
    @yuusufnuur5752 Год назад

    Masha Allah shukran ya uktiy mungu hakupe kila hitaji lamoyo wako

  • @RabonaMastersembe
    @RabonaMastersembe 10 месяцев назад

    ❤❤❤. ramadhan kareem yammi allha akuongoze funga yako inshalha na sauti yako izidi kupata afya njema kupitia funga yako

  • @imohussein8612
    @imohussein8612 Год назад

    Mashallah Ramadhan kareem nakupend san wew dad mung azid kukjalia kipaji chko kifke mbar

  • @halimaally6974
    @halimaally6974 Год назад

    Nzuri Ila ungeuvaa uhusika ungefunika hizo nywele bana ndo uimbe Ila maashallah

  • @shidoboy8687
    @shidoboy8687 Год назад

    Mungu akuzidishie sister uzidikukaa maaarufu maaanakatika qaswid zote iimeweza

  • @KhairiaSleiman
    @KhairiaSleiman 10 месяцев назад

    Mâshâllah mung akuzidishie kipaj uyafanye memaa zaidi

  • @noahmidumbi3075
    @noahmidumbi3075 Год назад

    mashallah nakupenda bii dada kwa ajli ya allah umeelimisha amin

  • @alimohaamohaa-hc4hm
    @alimohaamohaa-hc4hm Год назад

    Kumbe hwa wasanii n waisilamu nmfrh sna kujua hivo nldhn swaislm vyenye wanjieka.mungu atujaalie n meisho mwema sote waislm

  • @salimtalia5761
    @salimtalia5761 Год назад +28

    She is talented and more beautiful than any other artist (female)

  • @rynemac99
    @rynemac99 Год назад

    Dadaangu yammy tulia kwenye mziki utakutoaa muombe sana alla akusaidie uwe mfano mzuri wakuigwa

  • @christinambilinyi5239
    @christinambilinyi5239 Год назад +8

    Ramadhan to all Muslim for real I love this song😍

  • @edithajohn9600
    @edithajohn9600 Год назад

    Wewe dada sauti iyoooo,nakupendaga sana buree wew🥰🥰

  • @ajaykariakoo2ajunajesse38
    @ajaykariakoo2ajunajesse38 Год назад +2

    Yammi hongera kipnz 🥰 umejitahid San kipenzi very nice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yammi

  • @abrahmankhamis9174
    @abrahmankhamis9174 Год назад +1

    Mashallh mashairi mazuri na hazi lake ila alkua ajistiri vizuri

  • @narishallykokomoke-ny9tj
    @narishallykokomoke-ny9tj Год назад +5

    Mashaallah Ramadhan Kareem 🤲🤲

  • @noahmidumbi3075
    @noahmidumbi3075 Год назад

    yammi mashaallah imba kaswida kwa ajili ya allah umependza xna

  • @annapatrick20
    @annapatrick20 Год назад +27

    She’s talented 💯😘

  • @fatmaabdalla8543
    @fatmaabdalla8543 Год назад

    Badala ya kusomewa kasida za ramadhani sasa inaimbiwa nyimbo ramadhani, ama kweli dunia haipo tena. Tobaaaaaaaaaaaaaa yaaaa rabbi tusamehe

  • @scholasticahpatrick4103
    @scholasticahpatrick4103 10 месяцев назад +3

    Ramathan kareem to all Muslim ❤ nawapenda sna

  • @samiramulwayohana6287
    @samiramulwayohana6287 Год назад

    Wimbo nzuri mashallah ila kichwa hujakifunika na nywele ukitaka kufikisha ujumbe upeleke unavyoutajika

  • @ammyammy8926
    @ammyammy8926 Год назад +26

    MashaAllah❤ nasheed nzr,Ramadhan qareem to all muslims ,Allah atuthakabalie swaum zetu🤲

    • @MrYaoYao.
      @MrYaoYao. Год назад +1

      QASWIDA MPYA YA RAMADHANI
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      ruclips.net/video/0eD2yZYd6MA/видео.html

    • @saidathkwesigahakimu7723
      @saidathkwesigahakimu7723 Год назад +2

      Ungefunga vizur shungi lako

    • @ammyammy8926
      @ammyammy8926 Год назад

      @@saidathkwesigahakimu7723 makeup ilkua si lazima sio

    • @AllyNasor-ud6rd
      @AllyNasor-ud6rd Год назад

      Amen yarabi aramini 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @muniraawadh2982
    @muniraawadh2982 Год назад +7

    I like dis girl n her voice is so powerful love u yummi love from Texas usa 🇺🇸 Ramadhan kareem love the song 🎵 ❤️

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Год назад

    ❤️💕💕♥️💞❤️♥️💕♥️💞♥️💕Umezikonga nyoyo ramadhan mubarak swaum maqbul 💯tiba njema RAMADHA iliyo faradhishwa kwawaja wema waliyo pita

  • @khadejakhadooj9477
    @khadejakhadooj9477 Год назад +6

    Ramadan kareem to my brothers and sisters in lslam

  • @NasuruAlmahad-zt4fz
    @NasuruAlmahad-zt4fz 10 месяцев назад

    Masha Allah sauti yakupendeza salam toka hoima Uganda

  • @muhamedkhamis4990
    @muhamedkhamis4990 Год назад

    Mmh Na Nywele Tunaoneshwa Alafu Anatwambia Ramadhwan Qareem Daah Msiba Tena Watu Tunasifu Mashallah

  • @Eliasismail044
    @Eliasismail044 10 месяцев назад

    Yammy jaman you are queen of bongo jaman ngoma nzuri imeniingia moyoni akilini ngoma zako zote hunipagawisha jaman ♥️♥️♥️♥️💯💯

  • @MwanamvuaKibwana-kr3wz
    @MwanamvuaKibwana-kr3wz Год назад +15

    MashaAllah ❤

  • @directorhuruma
    @directorhuruma Год назад +1

    Mungu akuzidishieni kwny mapungufu akukumushieni

  • @AbubakariRamadhani-t1s
    @AbubakariRamadhani-t1s Месяц назад

    Masha Allah Mungu akubariki

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад

    MashaAllah

  • @khadijaismail5013
    @khadijaismail5013 Год назад +2

    Mashaallah Ramadhan kareem

  • @tuh1wer717
    @tuh1wer717 Год назад +4

    Ramadhan Mubarak 🙏🙏
    Salam from #Indonseia🇮🇩

  • @salhina543
    @salhina543 Год назад +3

    Masha Allah Qaswda yako nzuri sana sauti yako masha Allah ila umeharibu kitu kimoja nywele wazi video yako itakosa wafuasi wengi labda voice au tengeneza lebo bila video 🕋

  • @mdidorama5852
    @mdidorama5852 Год назад +3

    U so kill me 🗣🗣mama unajuw mpka unakera ahhh ❤❤

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 Год назад

    Mashaallah. Huyu kiboko. Anaimba vizuri sana. Zaidi ya zuchu huyu

  • @NouriaMohamed-qp9xe
    @NouriaMohamed-qp9xe 2 месяца назад

    Machaallah magnifique kasuda ma belle❤❤❤

  • @samweldaniel6971
    @samweldaniel6971 Год назад +1

    Jamaica nyimbo ni nzuri kila saa naisikiliza

  • @saudatyrichad5068
    @saudatyrichad5068 Год назад

    Mashallah, kusema ukwel unapendeza Sana ukiimba kaswida

  • @remmyofficial
    @remmyofficial Год назад +12

    Love you so much... All the way from kenya Africa 🇰🇪🇰🇪❤❤❤

    • @azizabaruan
      @azizabaruan Год назад +2

      Maashallah yammi mungu akujalie na ujumbe mzuri was Ramadan

    • @remmyofficial
      @remmyofficial Год назад

      ruclips.net/video/0wKAtTqMRuA/видео.html

  • @fathimamohamed684
    @fathimamohamed684 Год назад +1

    nzuri sana,....mashallah😘😘😘

  • @tuh1wer717
    @tuh1wer717 Год назад +5

    Masya Allah.
    Ramadhan Mubarak

  • @Farooqsuleiman
    @Farooqsuleiman 10 месяцев назад

    Qaswida nzuri saana Alhamdulillah
    Inn Shaa Allah nasubilia ya Eid kutoka kwako Yammi

  • @djoussoufbensaidahmed8399
    @djoussoufbensaidahmed8399 Год назад +3

    Beautiful song masha Allah. Ramadan Kareem my brother and Sister Muslim.

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire Год назад +20

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @mrskadir5453
    @mrskadir5453 Год назад

    Hongera dai huna mbaya mola atatimiza mahitaji yako InshaAllah

  • @wahidamaulid9527
    @wahidamaulid9527 Год назад +1

    basi hii nd nyimbo yako kali imba kasida nyimbo za mahaba muachie dada ako Zuchu 😍😍

  • @yasinsuleiman6351
    @yasinsuleiman6351 Год назад +8

    Amazing, MashaAllah ❤