Uyu mtu anaela ela ,ata ningekuwa mie zari wategeshe Tu mimba Walete watoto Ni walee Lol sitoki ahhh Ila nampenda anawajali ndugu zake Ndio maan mungu anamfungulia
Dah Chibu bwana Eti Azunguke zunguke Akikutana na Kibanda kisichozidi Milioni Mia 100 millions !!Aende akachukue kweli Nimekubali Mwenye nacho huongezewa.
Hata mie sijalewa hiyo harusi mbona mke wa rommy asifiwi sana hatajwi Kama bibi harusi loh 😭 dai na zari ingetakiwa bibi arusi ndio ataajwe saana kumharubia mwenzao sherehe 😏
Jaizah Amin isingeangaliwa na wengi lazima zari na diamond waongelewe ili watu waangalie ndio wapate views nyingi bwana na bibi harusi wanajulikana na watu wachache sana mimi binafsi huyo bibi harusi nilikua simjui lakini wasiomjua Zari ni wachache sana kumbukeni hilo
uzuri wa diamnd kiukweli hajui kuringa,kiasi alichofikia hakuna wa kumzidi..ikn kuna watu hawamkubali...basi km hamumkubali. fanyeni muwe km yeye. .mijimimbo ya hovyo saa zingine mpaka unazima TV.mm diamnd akiacha mziki siangalii tena bongo fleva
mimi sikubali niwe na bwana anisimamishe hapo kisha atoe zawadi yeye km yeye, khaaaaa. uuuwi ina maana hatambui uwepo wangu? angalau angenipamba tu hata km kinafki. " mimi na mwenzangu/ mama watoto wangu tumeamua kuwazawadia nyumba ya millioni mia" 😂😂😂
Mbona concentration ya matangazo ni Diamond Na Zari, wakati DJ ROMY. ni pia maarufu, kwanini haiwi clips zinakuwa titled as Dj Romy Jons? Yaani harusi yake yeye Na attention inakwenda kwa ndugu yake, Sio poa.
eleweni diamond ni superstar mkubwa kuliko kaka yake kwa hiyo ukitaka kuuza matangazo yoyote wakiandika habari za kaka mtu views watakua wachache eleweni hilo
Saada Harrasy hahaaa ndo ujue pesa ni hataree sasa romy jons yy anaona pw mltaka amuchukie Diamond hafu akimutimua kwenye u Dj atapata wapi tena msanii wa kumlipa pesa nyng zaid Ya Diamond
Neema John hamisa angetulia angepata vitu vingi tatzo kujishongodoa kulkua kwing akfkili kua anamkomesha zari Diamond yko vzuri hata jns anavoish na wasanii wake kama ndgu zake ila ukimchokoza hua anabadlka sana hki ndcho klcho mtokea dada yangu hamisa
Mashallah dimond nakupenda
Diamond una roho ya kipekee, mwenyezi mungu azidi kukuongezea na pia kukuongoza
subscribe plz
GOD BLESS U DIAMOND N ZARI
U guys Diamond and Zari yo where looking good together ❤❤❤❤❤
Wow sweet ♥♥♥
Than demond was looking really handsome than now u and zari look good together she was the real woman for u
Kama unamkubali diamond acha kubisha bisha like hapa
hahaha
wilonja hatua ngwana.kagwa
Ngwana kagwa
aiseh... kweli hela inafwata mkondo 💸💸💸
Mashallah nice😂😂😂😂
mashaallah;
woyoooo.Dizzim online bonyeza picha kucheki video kalii
Uyu mtu anaela ela ,ata ningekuwa mie zari wategeshe Tu mimba Walete watoto Ni walee Lol sitoki ahhh Ila nampenda anawajali ndugu zake Ndio maan mungu anamfungulia
Naombeni namba za Rommy Jones kuna nyumba nauza
😂😂😂😂😂Mond mungu anakuona nyumba ya milion 100 unaita kibanda!!!!!!!!!!haya bhana😂😂😂😂
Beautiful wedding
mwe we kila niona video RUclips naone comment yko
ukwel utabak kuwa ukweli "Diamond ni mkali sana yani anatisha
Mond ni shidaaaaaa.
ni zawadi nzuri, maana zawadi ya gari imeshazoeleka
I LYK DE LOVE SHOWN
nice mondi
Dah Chibu bwana Eti Azunguke zunguke Akikutana na Kibanda kisichozidi Milioni Mia 100 millions !!Aende akachukue kweli Nimekubali Mwenye nacho huongezewa.
Hussein Hamad sisi wengine tunatafuta hata nyumba ya milion 10 hatupati yy nyumba ya milion 100 anaita kibanda subhanallah
zari kanuna kusikia Mond anamzawadia kaka yake nyumba khaaaa 😢😢😢angalieni vizuri clip mmmmm
Amina Kawawa
İlginç
Hata mie sijalewa hiyo harusi mbona mke wa rommy asifiwi sana hatajwi Kama bibi harusi loh 😭 dai na zari ingetakiwa bibi arusi ndio ataajwe saana kumharubia mwenzao sherehe 😏
Jaizah Amin isingeangaliwa na wengi lazima zari na diamond waongelewe ili watu waangalie ndio wapate views nyingi bwana na bibi harusi wanajulikana na watu wachache sana mimi binafsi huyo bibi harusi nilikua simjui lakini wasiomjua Zari ni wachache sana kumbukeni hilo
Jaizah Amin nyie tulken kibanda cha milion 100 apewe hahaaa Diamond anawachoma kuita nymba ya milion 100 kbanda
mnmmmmmmmmmmmmhhh kwely pesa makaratasi jmn daaaah
subscribe plz
kwanini kamuaribia sheree.kwani kavaa shela
muendelezo plz mwanzo mpaka mwisho
Iko siku utajuta radhi ya baba itakutesa sana
Diamond nikioa uje
Kallah juma Kallah 😂😂😂😂😂we umenichekesha wallah, Daah!!
+Neema Mpanuka hahaaa noma
😂😂😂😂😍😍😍tena kwa haraka
sharuku kan India song
rahaaaa
Diamond ako na mana gani
Msaidie babako
Baba ako anatabu pesa wamwaga kuwapa wegine zawad utapata tabu sana ww
Ukitaka kufanikiwa kimaisha achana na Kusoma UKITAKA KUFANIKIWA ACHA KUSOMA......: ruclips.net/video/28-IPgAN-Aw/видео.html
xafii
uzuri wa diamnd kiukweli hajui kuringa,kiasi alichofikia hakuna wa kumzidi..ikn kuna watu hawamkubali...basi km hamumkubali. fanyeni muwe km yeye. .mijimimbo ya hovyo saa zingine mpaka unazima TV.mm diamnd akiacha mziki siangalii tena bongo fleva
mimi sikubali niwe na bwana anisimamishe hapo kisha atoe zawadi yeye km yeye, khaaaaa. uuuwi ina maana hatambui uwepo wangu? angalau angenipamba tu hata km kinafki. " mimi na mwenzangu/ mama watoto wangu tumeamua kuwazawadia nyumba ya millioni mia" 😂😂😂
Gisbert Ruseruka nimechonganisha nini sasa khaaa
Catherine msofe WW UNSJUAJE KAMA HAWAJAYAPANGA TANGU NYUMBANI KUHUSU KUTOA ZAWADI YA NYUMBA AU UNAROPOKA TU
Kumbe mondi kasoma secondary!
Zombie Shooter hapana 😅😅😅😅😅
LA saba mshamba huyo
+Navyo Agrey mh kwaiyo walo soma range 7 was hamza?
kasema alifika secondary? lol
alifika sekondari kasome historia yake mshamba ww
mkubwa fella na yy aliwapaga yamoto band nyumba naona saiv zimebomoka namvua kwahyo hawana tena!! na wewe usimpe nyumba itakayobomoka na mvua eeh
Ameambiwa azunguke mwenyewee 😂😂
Hahaha ety kibanda daimond ww acha zambi bhna cc wengine hata cha milion 20 atuna.
Kibanda kisichozidi milion 100 aje nimlipie jmn dharau kibanda jmn kweli uwiii
Mbona concentration ya matangazo ni Diamond Na Zari, wakati DJ ROMY. ni pia maarufu, kwanini haiwi clips zinakuwa titled as Dj Romy Jons?
Yaani harusi yake yeye Na attention inakwenda kwa ndugu yake, Sio poa.
Saada Harrasy very true
Saada Harrasy umeona eeh
eleweni diamond ni superstar mkubwa kuliko kaka yake kwa hiyo ukitaka kuuza matangazo yoyote wakiandika habari za kaka mtu views watakua wachache eleweni hilo
mbona jibu liko wazi
Saada Harrasy hahaaa ndo ujue pesa ni hataree sasa romy jons yy anaona pw mltaka amuchukie Diamond hafu akimutimua kwenye u Dj atapata wapi tena msanii wa kumlipa pesa nyng zaid Ya Diamond
kibanda cha 100mil ila mwanao anaish nyumba ya kupanga tena inalipwa na baba wa dadake heheeee #issokeee
Neema John hamisa angetulia angepata vitu vingi tatzo kujishongodoa kulkua kwing akfkili kua anamkomesha zari Diamond yko vzuri hata jns anavoish na wasanii wake kama ndgu zake ila ukimchokoza hua anabadlka sana hki ndcho klcho mtokea dada yangu hamisa
Isiwe porojo zenu na mtoe kweli,
Sophia Jumah hahaaa mm sdhani kama atashndwa ktoa mana milion 100 anapga show moja na chenji znabak
aiseh... kweli hela inafwata mkondo 💸💸💸
Kibanda kisichozidi milion 100 aje nimlipie jmn dharau kibanda jmn kweli uwiii
subscribe pls
Daah.anasema.kibanda huenda yeye Anaishi_Ghoropha 10
Sad how arrogant he can be...wa2 hutamani hata a place to lay there heads even kama kibanda...
Mond ni shidaaaaaa.