AIC NYAKATO CHOIR-AMANI ITAWALE (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 32

  • @felicianholle3010
    @felicianholle3010 4 года назад

    Hongeren sana wapendwa kwa wimbo mzuri,big up sana AIC Nyakato nawapenda sana

  • @WorldNatureChannelTanzania
    @WorldNatureChannelTanzania 4 года назад

    Kaka Magulu...Chuma duuuuu Anaimba sana huyu mtu Mungu akubariki

  • @mariamdaudi2712
    @mariamdaudi2712 3 года назад

    Mungu awabalik ot waimbali lem hiyo saut noma

  • @elizabethnduku8022
    @elizabethnduku8022 2 года назад

    Niko hapa Tena kuombea amani itawale Kenya wakati huu wa uchaguzi mkuu unapowadia

  • @petermusyimi1291
    @petermusyimi1291 5 лет назад +1

    Mungu na awape nguvu zaidi kwa anjili ya kazi yake

  • @shilngiwazili7885
    @shilngiwazili7885 6 лет назад

    hongereni sana kwani nyimbo yenu inujumbe inaombea amani Tanzania thus why in coming days peacefully now days is absent god bless nyakato for good message to our relative

  • @elizabethnduku8022
    @elizabethnduku8022 6 лет назад

    ufalme wako uwe ndani yetu ........................................mawazo unayotuwazia ni mawazo ya amani Bwana................HALLELUYA MUNGU awabariki sana , nabarikiwa mno na huu wimbo , mtufanyie remix yake muweke nchi ya kenya

  • @bupejacob3446
    @bupejacob3446 6 лет назад

    Asante Mungu Kwa kuwatumia watu hawa Kwa ajili ya kuililia Tanzania,,,kupitia wimbo huu naomba Mungu ukatende sawasawa na mapenzi yako

  • @mosesmuinde821
    @mosesmuinde821 5 лет назад

    upendo....amani....itawale kenya na tanzania

  • @josephswedda8132
    @josephswedda8132 6 лет назад

    duuuuuh, Magullu noooma sana ulisolo kwa hali juu zaidi zaidi yao

  • @lazaroshiwa7331
    @lazaroshiwa7331 7 лет назад

    mungu azidi kuwatia nguvu ktk uimbaji wenu ,good song

  • @rebeccamashala3824
    @rebeccamashala3824 6 лет назад

    mko vizuri sifa na utukufu kwa Bwana

  • @hassanjoseph9795
    @hassanjoseph9795 6 лет назад

    wimbo mzuri sana wa amani hakika nyakato mpo vizuri haleluya!!

  • @jerrybuya3694
    @jerrybuya3694 Год назад

    Naiwe hivyo

  • @abelystephano6241
    @abelystephano6241 6 лет назад

    Mungu awabariki sana

  • @stellamarcel5052
    @stellamarcel5052 4 года назад

    Mmedolola sana

  • @marcelinosoares5348
    @marcelinosoares5348 4 года назад

    Deus é lóvado ame

  • @amanikabasa968
    @amanikabasa968 6 лет назад

    Njema hiyo

  • @benitabenet7918
    @benitabenet7918 7 лет назад

    amina mbarikiwe na bwana

  • @MigonzoMigonzo
    @MigonzoMigonzo 3 месяца назад

    ❤❤

  • @ludovickmseka1397
    @ludovickmseka1397 7 лет назад

    kitu wimbo wa Amani....Asante Yesu kwaajili ya utunzi mahiri wa My Lovely brother Wallace ...kile kitu Mungu anachokiinua ndani yako Ni Mungu pekee hukijua naye atakidhirisha kwa mataifa

  • @balizukwaenock9391
    @balizukwaenock9391 3 года назад

    Aic bunjora

  • @zainabuyasin8189
    @zainabuyasin8189 7 лет назад

    hmn nyingine rushen nyimbo zen nzur jmn

    • @silanzuki8627
      @silanzuki8627 7 лет назад

      zainabu yasin learn to appreciate and acknowledge others efforts first!just in a light note

  • @eliyagwinji6588
    @eliyagwinji6588 7 лет назад

    nice song, big up magullu ze greatest

  • @ngwashoog7165
    @ngwashoog7165 5 лет назад

    Good song it bless me

  • @josephmabula1853
    @josephmabula1853 6 лет назад

    Mko vizul mng awabalik

  • @pendojosephu1417
    @pendojosephu1417 5 лет назад

    mbarikiwe