Katika story zote mkuu, huyu shekhe kamaliza. Dah, story hii mtu usipoumia moyo au usipobadilika basi wewe sikio la kufa. Shukrani na Mungu akujaalie mtangazi utuletee masomo zaidi. Unaokoa kizazi kilichoshindikana kaka. Bless
Ety baba yake alikufa jumamos akazikwa jpil Tena alifia singida alisafirishwa mda gan alifika mda aliemsafirisha Nan Tena badala yakukupeleka kwake ety akapelekewa yye inashangaza sana hapo mzee wa mbanga umetupiga kbsa
Wewekijana mungu lazima akupe baraka nyingi Sana kwamitianiuliyopitia
Katika story zote mkuu, huyu shekhe kamaliza. Dah, story hii mtu usipoumia moyo au usipobadilika basi wewe sikio la kufa. Shukrani na Mungu akujaalie mtangazi utuletee masomo zaidi. Unaokoa kizazi kilichoshindikana kaka. Bless
Pole sana mungu akupe subra kwa yote uliyo pitia 😢
@@aminaibrahim4148 Hhm, wala sio mimi ndugu, mimi pia story imenigusa tu ila ni huyo Shekh ndie yaliyomkuta. Pole yangu pia imfikie alipo.
Subhanaallah maisha nimitihani mkubwa pole sana tena sana
This is just so sad 😖💔 stay strong brother.
Pole sana kaka
Pole ndugu, usijaribu tena biashara ya mihadharati
Pole sana ni mitihani tu Allah atakujalia iko siku
Maisha haya!!!🙌🏾
Pole Sana daa😭😭
Pore sana ndugu
😭😭😭mashaallah Allah akusaidie shukurani kw tuelimisha
Wangekusachi pole Sana
Ety baba yake alikufa jumamos akazikwa jpil Tena alifia singida alisafirishwa mda gan alifika mda aliemsafirisha Nan Tena badala yakukupeleka kwake ety akapelekewa yye inashangaza sana hapo mzee wa mbanga umetupiga kbsa
😪😭😭pole sana kaka
Uyu mwamba nimuongo sana anachozungumza nanses kbsa hv kujana wa miaka 19 huwez kuwasaidia ndgu zako
Hembu Tupe Ukweli Wako
Mke mdogo wa baba yako alikua naroho mbaya nayeye duuh siangewaleeni tu 😢😢
Baba akiwa na mke mwengine itokee tu kuwa na mapenzi na watoto aliyowakuta na mm nipo kwenye kundi ilo
Kama Baba Hakutos Ushirikiano Kwa Wanawe Unafikiri Mke Mdogo Mwenye Roho Mbaya Hapo Anafanyaje?
taja ukoo wako wa kashai nikusaidie kupata ndugu zako mm ni wakashai pia
Daaah pole xana aixeemanaa adi😭😭😭
Umalizii story jomba we njaa tumbo sema story
Sio mchezo hio lazima useme umerogwa mana gundu juu ya gundu
😢😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢
🥺😭😭😭😭
Pore
Stori sidhani kama ni yakweli
Toa yako ya ukweli
Hahahaha jamaa anaunga unga sana
Kwann isiwe yakweli watu wanapitia magumu 😪wewe kama hujawah kupitia magumu mshukuru sana Mungu ila watu wanapitia mitihan