YOUNG LUNYA:YOUNG KILLER/ULIYEMTAJA WATU HAWAMJUI/YOUNG DEE/HATA SIONI NYIMBO ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 ноя 2020
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 69

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 года назад +20

    Msodoki ako level tofauti punchlines na creativity yake bado mnaitaji kuisoma

  • @BuraK-bk9iw
    @BuraK-bk9iw 3 года назад +6

    Lunya kaza buti bado sana kufika level ya msodoki . Young killer ni hatar sana

  • @wammyafricatv7125
    @wammyafricatv7125 3 года назад +11

    From 254 tunamkupali killer sana so wewe

  • @josephybaruti1250
    @josephybaruti1250 3 года назад +2

    Young killer .......Yuko tofauti sanaaaaaa#ni mkali

  • @frankelias8147
    @frankelias8147 3 года назад +9

    Nawakubali San mayang wote

  • @handsomekiller8325
    @handsomekiller8325 3 года назад +10

    lunya unajua kuimba ndio but usije ukajaribu kujifananisha na killer hata kidogo yule mwamba ni hatar sana bob

    • @bakarijuma3923
      @bakarijuma3923 3 года назад +1

      Mwambie huyooo

    • @obeidjoseph3610
      @obeidjoseph3610 3 года назад +1

      Mwamba young killer 😂 ngoja nizungumze kama nyonyoma ni
      NI MTU M-bad

    • @gideonanael493
      @gideonanael493 3 года назад

      Wap ww uhuuu moyoo mwenginee babu

    • @gideonanael493
      @gideonanael493 3 года назад

      Lunya niiatar kka

    • @thesonofficial1897
      @thesonofficial1897 3 года назад +1

      @@gideonanael493 uyo lunya kwa ngoma ngapi? Safari bado ni kubwa young killer anajua uyu anajua pia ila asilete dharau

  • @adelaidehumay9409
    @adelaidehumay9409 3 года назад +9

    Me only waiting wasafi media kufika 2M tuendelee kuwacheke wachawi ambao bado wapo k's ukoo

  • @bakarijuma3923
    @bakarijuma3923 3 года назад +5

    Killer for life

  • @saudamkumba3432
    @saudamkumba3432 3 года назад +7

    Omg noumaaa ...sema kamchana super mwamba

    • @doggrasta2582
      @doggrasta2582 3 года назад +1

      Kazingua sana ila young killer ni chuma

  • @sharifumussa6846
    @sharifumussa6846 3 года назад +7

    kitendo cha kukubali uwezo wa killer ni kitendo cha uungwana kuanzia leo nimekukubali

  • @RamadhanMohammedMbezi-kv5zs
    @RamadhanMohammedMbezi-kv5zs Год назад

    Namkubr San lunyaaa mnymaaaa

  • @cosmasdonasian7248
    @cosmasdonasian7248 3 года назад +4

    Young Dee ndo baba yenu

  • @eliashamis2765
    @eliashamis2765 Год назад +1

    Mzee baba ukimwongelea killer atukuachi salama maan killer ni mtu wa juu yako alo

  • @999lifetime
    @999lifetime 3 года назад +4

    Yooooy man real

  • @fatcut4662
    @fatcut4662 3 года назад +4

    Huyo bado san kawa young killer 🤨🤨🤨

  • @ashrafhakimukimungu2844
    @ashrafhakimukimungu2844 2 года назад +1

    MBUZI #younglunya 🇹🇿

  • @onesmofrancis4163
    @onesmofrancis4163 3 года назад +3

    OMG

  • @denisjoel1592
    @denisjoel1592 3 года назад +4

    Huyu jamaa yuko ndoton young killer ni killer baba usichez na yule mwamba atakumader !!!

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 Год назад

    #Young killer moto wakutea mbari Hana mpinzani

  • @BilalUswazi
    @BilalUswazi 3 года назад +1

    Goat 🐐

  • @risekidy7660
    @risekidy7660 3 года назад +2

    Huyo dogo anaforce bifu na killer ila bado sana.

  • @catherineshekibua2826
    @catherineshekibua2826 3 года назад +1

    Young lunyaaaaaaaaa

  • @amaningonyani2775
    @amaningonyani2775 3 года назад +3

    Lunya mtu mbadi lakini killer ni kisanga

  • @petermkemwa1172
    @petermkemwa1172 Год назад

    👍👍👍👍👍👍

  • @Rockbalozi
    @Rockbalozi Год назад

    Humwezi msodokii, k level yako iko chini

  • @meshackmongi4460
    @meshackmongi4460 3 года назад +1

    bro naomba piga kolabo na mr blue inakuwa ya kizazi

  • @onestkasmir1534
    @onestkasmir1534 3 года назад +2

    Ukickia bongo wasanii uchwara wanaosababishia kampuni hasara hawaaa apaah yeani mtu hajuwi kutunga mistari lakini anajigamba hahahaa freestyle zenyew mavi mavi wewe njoo na omg njooo na country boy njoo na niki wa pili njoo na g nako njoo na j makin njoo na young dee njoo na dogo janja bhdo kwa hip hop bhdo amjafika kwa msodoki siyo kwa ubaya

  • @kalamashayo7782
    @kalamashayo7782 3 года назад

    Mhuuuuuuu

  • @augustinojonas5870
    @augustinojonas5870 3 года назад +1

    Young dee ni level nyingine bhana mtasubiri sana ngaaaaadu Deviii paka rapa paka rasta the city of devi namkubal sama

  • @mussamati5216
    @mussamati5216 3 года назад

    Anasemakweli uyo

  • @amanimgaya8647
    @amanimgaya8647 3 года назад +1

    Unajua ndio, lakini msikize killer wew

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 2 года назад

    Music ni madongo

  • @sheilamusa9443
    @sheilamusa9443 3 года назад +1

    Lunya kabaya jamn😂😂😂😂 kuvaa kote uko lakini anakera

  • @mchawikonko5337
    @mchawikonko5337 3 года назад +2

    "For now am the best young rapper hata ka hutak
    Young killer pia ni rapper flani noma kiroho safi"
    Alaf anaguna "mmmmh" maana yake si mkali

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 3 года назад +5

    Ngoja nimcheki super!😂

  • @Lugongam
    @Lugongam 3 года назад

    Una ka adabu fulani hivi nimekapenda safi

  • @blastamadinda7106
    @blastamadinda7106 3 года назад +2

    Killer msodok ni baba enu dadadeki hammwez

  • @hafidhmakame24
    @hafidhmakame24 3 года назад

    Kila hatua

  • @allysultan7860
    @allysultan7860 3 года назад

    Killer noma we kapuku tu

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 2 года назад

    Usijione staa kuma ww lunya ww bado kinda tuu

  • @alexwilliammazunde7352
    @alexwilliammazunde7352 3 года назад

    😜😜👌

  • @khelisinkkhaiadan3908
    @khelisinkkhaiadan3908 3 года назад +1

    unabebwa kaka killer atabaki kua killer tyu

  • @richardjoseph2283
    @richardjoseph2283 3 года назад

    lunya huwezi
    moto wa muxodoki

  • @abuutogi2148
    @abuutogi2148 3 года назад

    Mbuz kama mbuz

  • @alexjoseph9539
    @alexjoseph9539 3 года назад +1

    Lunya acha izo killer n hatar uwez mfikia acha ww

  • @DonSompo
    @DonSompo 3 года назад +1

    Dogo anakwepa maswali kwa kujibu kisiasa

  • @blastamadinda7106
    @blastamadinda7106 3 года назад +1

    Vijana mkipata majina kidogo mnavimba xana Hamwaz kuendelz music wenu mbele Bali mnaanza majungu fanyeni vi2 vya kuelewka nyie xo kila cku bifu zisz Kua na maan kind

  • @venusmwangakala6428
    @venusmwangakala6428 3 года назад

    poa

  • @tekashiixine-to3nw
    @tekashiixine-to3nw 3 года назад

    Super kitambo kwenye trap unamjua gosby ww🤔

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 3 года назад +2

    Pindi la kijanja

  • @cosmasdonasian7248
    @cosmasdonasian7248 3 года назад

    Hiiiiiiiiiihiiiiii,😂

  • @mohammedmkapanda3601
    @mohammedmkapanda3601 3 года назад

    Dogo anavimba xaana

  • @tropicaltzdeesteven4333
    @tropicaltzdeesteven4333 3 года назад

    Young dee mkali ndo baba yenu

  • @tysdiyouthtv2509
    @tysdiyouthtv2509 Год назад

    We jamaa ni muongo sana eti nikiandika si mfikirii mtu stupid

  • @texastexas2545
    @texastexas2545 3 года назад +4

    Huyo mtoto n mkundu tu, yaan we niwakujifanananisha na msodoki Kuma wewe🖕🖕🖕

  • @john.jonijoo8808
    @john.jonijoo8808 2 года назад

    kama unamku bali lunya gonga apa
    👇👇👇👇
    ruclips.net/video/YoeChj0Mijo/видео.html

  • @blastamadinda7106
    @blastamadinda7106 3 года назад

    Vijana mkipata majina kidogo mnavimba xana Hamwaz kuendelz music wenu mbele Bali mnaanza majungu fanyeni vi2 vya kuelewka nyie xo kila cku bifu zisz Kua na maan kind