CHID BENZ ASIMULIA KILICHOMTUMBUKIZA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA/ AVUJISHA SIRI ZOTE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @loveness101
    @loveness101 Год назад +1

    Huyu naomba Mungu amsimamie tu. His a good teacher.. na maisha pia yamemfundisha!

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Год назад

    Dah noma isee bado dawa zipo zinazunguka kichwani

  • @mwazanialiishehe1784
    @mwazanialiishehe1784 Год назад +1

    Chid Benz, after reform from what happened,kuna chorus alipiga kwa Producer Bugalee,ndipo niligundua huyu mtu anakipaji kikuu mno,na majibu ya huyu mtu huwa fumbo kubwa sana, unaweza muuliza swali,na jibu atakalo towa usipokuwa na ufahamu unaweza dhania ni chizi,ila ni mtu mwenye akili sober sana na jibu mojo huwa na majibu zaidi ya kumi tena kwa maelezo ya msingi sana,kama kuna mawaidha vijana wayasikie ndio haya kwa better generation.

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g Год назад

    Chidi benzi yn km umuwelewi utasema anaongea pumba lkn km Unamsikiliza kwA Umakini zaid yn Anaongea vizuri cn she took very good

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 Год назад +1

    Genius spoke..!

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Год назад +2

    Kwa Mara ya Kwanza anaongea sense, watu tukisema wanasema tunawaonea wivu, afadhali kaongea chiddy

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Год назад

    Nakukubari sana chid msanii og

  • @jonathansimba6749
    @jonathansimba6749 Год назад

    Ilala

  • @riziwaniramadhani6280
    @riziwaniramadhani6280 Год назад

    Waelewa wooote gonga like

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Год назад

    Pesa siyo nzuri

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 Год назад

    Chiz anayeelimisha

  • @yahaya-yr9wy
    @yahaya-yr9wy Год назад

    Nimekuelewa

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 Год назад

    Mnahoji kichaa

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 9 месяцев назад

    Dogo ameongea kitu kikubwa sana ukikifikiri kwa taswira ya ndaani utaelewa

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Год назад +2

    Mziki ni njia ya shetani kuwa potosha wanadam

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад

      Uko sahihi kabisa Ila wengi tunahisi ni burudani tu

  • @emmanuelsilungu446
    @emmanuelsilungu446 Год назад

    Kazi IPO hapo😅😅😅

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Год назад

    Chidi benzi Anahitaji appate mtu wakumlingania

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 Год назад +1

    Mm hua simuelewi kabisa huyuu mmhhh anaongea ongea ovyoo tuu ongea uelewekee mala HIV mala vile

  • @SethMwaigomole-k2h
    @SethMwaigomole-k2h 11 месяцев назад

    This is brain thinker