Mungu nisaidie sana nishinde hofu sikuwa najua ina madhara makubwa hivi. Yesu tuhurumie tusaidie watu wako. Asante mtumishi kwa maombi napokea neema ya Yesu ya kuvuka
Amen mtumishi wa Mungu nimekombolea, sitaogopa jambo lolote Lile Kwa kuwa Mungu Yupamoja nami roho ya hofu imetoka ndani ya maisha yangu, Mungu azidi kukupa ufamu zaidi mtumishi wa Mungu , Shalom
Yaani nimeteseka na roho ya hofu muda mrefu hadi nilipojifungua mtoto akarithi roho hiyo,Namshukuru Mungu kwa somo hili na maombi haya naamini tuko huru kwanzia sasa nikiendelea kusimamia yeremia 1:8 Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Bwana Yesu Asifiwe Namshukuru Mungu kwa ajili yako Kwa kuwa Hofu ni tatizo asante kwa kutufungua tunaomba sana Mungu atusaidie sana Mungu akubariki sana
Naishinda roho hofu katika maisha yangu kwa jina la Yesu amen 🙏 .
Amen and Amen more blessings 🎉🎉🎉🎉🎉🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu nisaidie sana nishinde hofu sikuwa najua ina madhara makubwa hivi. Yesu tuhurumie tusaidie watu wako. Asante mtumishi kwa maombi napokea neema ya Yesu ya kuvuka
Asante Yesu mwokozi wangu. Asante Mtumishi kuniongoza maombi haya. Mungu baba wa Yesu Kristo akubariki.
Amen mtumishi kubarikiwa sana na mafundisho yako
Amen mtumishi wa Mungu nimekombolea, sitaogopa jambo lolote Lile Kwa kuwa Mungu Yupamoja nami roho ya hofu imetoka ndani ya maisha yangu, Mungu azidi kukupa ufamu zaidi mtumishi wa Mungu , Shalom
Kwa mamlaka wa neno lako ,nafunga malango ya hofu na uoga kwenye maisha yangu katika jina la yesu na Kwa damu ya yesu 🙏🙏
Amen 🙏🏻🙏🏻
Amen mtumishi wa mungu ubalikiwe sana
Amen Amen 🙏
Thank you Jesus for the powerful and annointed teaching .
Amen
Yaani nimeteseka na roho ya hofu muda mrefu hadi nilipojifungua mtoto akarithi roho hiyo,Namshukuru Mungu kwa somo hili na maombi haya naamini tuko huru kwanzia sasa nikiendelea kusimamia yeremia 1:8
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe Sana mtumishi
Ameen Ameen baba barkiwa
Ameni
Amen Mtumishi 🙏
Ameen Ameen
Ameen🙏
Ameen
Mungu nisaidie yan mm kulala giza heee Mungu anisaidie na kwa hili somo umeniokoa ufaham wang naomba Mungu anisimamie niaze kuwa jasiri
Barikiwa mt
Mung nisamehe naunisaidie kuishinda hofu
Bwana Yesu Asifiwe Namshukuru Mungu kwa ajili yako Kwa kuwa Hofu ni tatizo asante kwa kutufungua tunaomba sana Mungu atusaidie sana
Mungu akubariki sana
Nimefunguliwa na uzao wangu .nimepona kuharisha kwa miezi 3sasa asante Yesu
Mtumish mi kipindi naomba kuhus roho ya hofu kwenye ulimwengu wa roho nimemwona jongoo mweus Ana maana gan
Amen mtumishi wa mungu ubalikiwe sana
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen Amen
Amen