Amen mtumishi wa Mungu. Kwa kweli hofu na oga imetufanya kurudi sana katika kazi ya Mungu. Ila kupitiya iyi mahubiri. Nimejisikiya nguvu nyingi sana tena ndani yangu. Mungu akuzidishiye nguvu.
Amen am so blessed nice courageous ND powerful message I ave learn a lot from this sermon praying believing ND trusting God is the key God bless you pastor
Nimeshukuru Mungu sana kwa kunielekeza kwa mahubiri hii. Inanilenga maisha kabisa sababu nimepambana ba woga ba wasi wasi kwa maisha yangu. Naamini Mungu ataniongoa ba hio roho katika jina la Yesu Kristo.
Ubarikiwe sana mtumishi Yani nmekuwa jasiri mpk najicheka mwenyewe kumbe hofu ilikuwa imenitawala ila saivi kupitia maneno Yako kutoka Kwa MUNGU nmekuwa jasiri
Asante sana mchungaji kwa mafundisho yako ila leo nina swali... Kuna vile sijajielewa maana uoga unaponingia mimi ina maana kuna jambo fulani lenye hautaenda sawa yaani halitaendana na mazingira mfano: lkawa nimeamka kuchelewa automatically nitachelewa kazini na kwa hilo uoga unajua tumboni kuwa nitafokewa lakini nilitoka napata hali ni safi na kipindi kingine nikachelewa na kuchukulia kawaida tu hapo ndio nilijua jiji. Nashindwa kutambua hili
Asanteh sana Ubarikiwe MTUMISHI wa MUNGU Kwa neno lenge NGUVU na lililokuja Kwa wakati sahihi kabisa.......lenye uponyaji. WOGA ~ni roho ya shetani ~ IMANI ~ni roho ya MUNGU~ AMEN 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, nimekuwa ujasiri sasa
Amen mtumishi wa Mungu. Kwa kweli hofu na oga imetufanya kurudi sana katika kazi ya Mungu. Ila kupitiya iyi mahubiri. Nimejisikiya nguvu nyingi sana tena ndani yangu. Mungu akuzidishiye nguvu.
Amina, mungu na azidi kukubariki n kwa ajili ya neno lake ,nabarikiwa kabisa
Amen am so blessed nice
courageous ND powerful message I ave learn a lot from this sermon praying believing ND trusting God is the key God bless you pastor
Nabarikiwa sana na hili somo limenigusa barikiwa pastor
Asante mwalimu kwa somo zuri. Bwana akubariki!
Amina Mungu atukuzwe
Amen Pastor. Nabarikiwa sana na mahubiri yako. Shetani alitaka kujitukuza katika hilo na hakika ameshindwa katika jina la Yesu Kristo 🙏
Amen
Amina saan mchungaji
Amina nimebarikiwa kupitia somo ziri
Nimeshukuru Mungu sana kwa kunielekeza kwa mahubiri hii. Inanilenga maisha kabisa sababu nimepambana ba woga ba wasi wasi kwa maisha yangu. Naamini Mungu ataniongoa ba hio roho katika jina la Yesu Kristo.
Amen Amen mtumishi barikiwa
Ubarikiwe sana mtumishi Yani nmekuwa jasiri mpk najicheka mwenyewe kumbe hofu ilikuwa imenitawala ila saivi kupitia maneno Yako kutoka Kwa MUNGU nmekuwa jasiri
Amen
Ameeen
I keep on laughing with your stories..Amen! the message is so touching and powerful..mungu aendelee kukubariki mchungaji
Asante sana mchungaji kwa mafundisho yako ila leo nina swali... Kuna vile sijajielewa maana uoga unaponingia mimi ina maana kuna jambo fulani lenye hautaenda sawa yaani halitaendana na mazingira mfano: lkawa nimeamka kuchelewa automatically nitachelewa kazini na kwa hilo uoga unajua tumboni kuwa nitafokewa lakini nilitoka napata hali ni safi na kipindi kingine nikachelewa na kuchukulia kawaida tu hapo ndio nilijua jiji. Nashindwa kutambua hili
Hofu imekua ikinisumbua sana, lkn kwa sababu ya mahubiri haya imeshindua kwamgu ktk jina la yesu, barikiwa pastor wangu
Am from Kenya I was in fear now am strong
Asante Mchungaji hili somo ni langu🙏🙏
God bless you Pastor
Amen
God bless you pastor
Asante mungu kwa kusema na mm
Ubarikiwe
Ubarikiwe mtumishi mahubiri yako yananibariki
Amina
Asanteh sana Ubarikiwe MTUMISHI wa MUNGU Kwa neno lenge NGUVU na lililokuja Kwa wakati sahihi kabisa.......lenye uponyaji.
WOGA ~ni roho ya shetani ~
IMANI ~ni roho ya MUNGU~
AMEN 🙏🙏🙏
Hakika kwa Mungu yote yanawezekana kwa Imani.
Amina.
Sauti haipo mtumishi rudia cjasikia
Bona hatusikii
Zamani kila sehem ukienda mizabibu ilijaa hadi porini sikuizi imejaa miba tu mungu turehem
Ameeeeeeeen
Haki pasta umenitoa kwenye mateso ya hofu
Mic imefanya je Ndugu
Naona hatusikii
Ni woga tu hofu
Amen
Amina
Amen Amen Amen
Haki pasta umenitoa kwenye mateso ya hofu
Amen
Amina
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen