MZARAMO WA SIMBA-WAZEE WA ZNZ WAMEMPA SIKU 7 KAYOKO ZA KUOMBA RADHI SIMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 20

  • @ImaNmweli
    @ImaNmweli Месяц назад +2

    Ongela sana mzalamo

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil Месяц назад +1

    Kayoko katuzowea sana mbuzi uyo😂

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Месяц назад +6

    Njia pekeee ya kutatua utata wa marefa wapuuzi na warushwa nikuwapiga wamwagike damu wengine watajifunza na kuto zichezea mechi za simba mana watajua kwamba watapigwa haswa

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 Месяц назад +1

    Safi sana. Endelea kuwa Elimisha

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Месяц назад +2

    KANYOKO NA WALIOMPA RUSHWA WOTE WAPIGWE KISOMO AU AKUBALI NA AWATAJE WOTE WALIOMPA RUSHWA TENA HADHARANI DAGAA MDOGO YULE.

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 Месяц назад +1

    Hahahahaha kabisa kayoko anatuumiza sana Simba kila akichezesha anatuonea

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix Месяц назад +2

    piga lubadili ili njaa zao tuone njaa zao litawaponza

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix Месяц назад +2

    piga lubadili

  • @XhazyAgain
    @XhazyAgain Месяц назад +1

    Na kama kafanya kwa mapenzi ya timu yake yanga

  • @ExcitedAlpineVillage-kp4jz
    @ExcitedAlpineVillage-kp4jz Месяц назад +1

    toa namba sisi wafanya biashara mnitangazie

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix Месяц назад +2

    kipa lubadili wakome hao hiyo haimuachi mtu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Месяц назад +1

    KANYOKOO WATOTO WANATAKA KUNYA 😂😂😂😂 NJAA ZAKE ANATUUMIZA WENGINE HANA ADABU KANYOKO YULE

  • @YakubuMohamed-z4i
    @YakubuMohamed-z4i Месяц назад +1

    We mzaramo hakuna mpira wa hivyo mnatisha waamuzi wapumbavu wakubwa mara ngapi Simba inabebwa hamkusoma Albadiri mjinga sana, hlf unatakiwa uitwe TFF kwa kutisha waamuzi

  • @YustonLukumay
    @YustonLukumay Месяц назад

    Inaonekana marefarii wa kitanzania wanaenda uwanjani kubeba timu fulani ipate ubingwa ndio maana hawaitwi kimataifa kila mechi hii inashusha uwezo wa timu

  • @hassanyassin-ny3qh
    @hassanyassin-ny3qh Месяц назад

    Mzaramu. Ukiwa unaongerea mpila ongerea mpilatuu. Mam anakujajetena kwenye mpilaa.? Usiusishe mpilawetu na mambo ya siasaa. Unazingiwa banah.

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 Месяц назад

    Wachezaji wa Kitanzania wanaocheza Simba na Yanga,umri Sawa Kayoko ni Kbabage,Hamza,Kagoma,Mzize,Dickson,Bacca,Mashaka,Kalabawa.Maamuzi ya ovyo yatawapoteza hawa vijana.Vijana wenzao kutoka mataifa mengine wanatushangaa,hivi kweli tutapata timu ya Taifa nzuri!?That why Congo anatufunga ndani na nje.

  • @ExcitedAlpineVillage-kp4jz
    @ExcitedAlpineVillage-kp4jz Месяц назад

    toa namba

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 Месяц назад

    Mtangazaji hafanani na kipindi hajui kumuhoji mtu

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q Месяц назад +1

    Hakuna mambo ya kuomba radhi tena. Kafanya matendo mabaya na machafu sana.
    Huo ni ujinga na upumbavu mkubwa sana
    Ramadhan Kayoko ni lazima ashtakiwe, afikishwe mahakamani na apewe adhabu kali sana, ambayo itakuwa funzo kwa marefa wote wa ligi kuu pampja na viongozi wa bodi ya ligi wanaoshirikiana na waamuzi wa mchezo ya mpira wa mguu Tanzania.