MURO: TOBAAH!! SIMBA YAFANYA KUFURU ,KUMSHUSHA ELIE MPANZU WINGA BORA DR CONGO/ AKITUA TU MMEKWISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 май 2024
  • #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
  • СпортСпорт

Комментарии • 10

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 25 дней назад +9

    Jamani msiifanye hii channel kuwa ya ubabaishaji, tunawaamini sanaaa, muwe na heading na habari za ukweli

  • @user-bf3mm5wu1s
    @user-bf3mm5wu1s 24 дня назад +1

    sima nguvu moja😅😮

  • @user-kb4vi4zz7m
    @user-kb4vi4zz7m 25 дней назад +1

    Mkiona tayari ndipo mtujuze

  • @DavidKibaha
    @DavidKibaha 24 дня назад +1

    Pia nijazie Ayo muro anaongea sana kipindi kizina msisahau tunatumia bando apa 😂

  • @gentilmikoka1247
    @gentilmikoka1247 19 дней назад

    Una danganya apo eti bujimayi njo Muji wapili kotoka Kinshasa 😢😢😢

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla 25 дней назад +2

    sas hii timu inasajili bila ya pendekezo la mwalimu

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 25 дней назад +1

      Timu nyingi zinasajili hivyo siku hizi.. wanafata project yao siyo mwalimu

    • @MuammaryAbdalla
      @MuammaryAbdalla 25 дней назад

      @@nkoydavid9658 km wanafata project yao kwnn mwalim anapofeli wanamfukuza si wafukuze wachezaj waliowasajili wenyewe

    • @ramadhanmusa8505
      @ramadhanmusa8505 22 дня назад

      We ushaona wap team za tanzania 🇹🇿au kwengime km Kenya wanasajili kutona nakocha kutaka angalia sary Kaletwa na kocha benchikha hadi sasa tunamtukana

  • @user-kb4vi4zz7m
    @user-kb4vi4zz7m 25 дней назад

    Hatutaki tetesi bali tunataka vitendo au walisia