God Yanga,wakongo awakung’oa viti kuwapiga mashabiki wa yanga kwa sababu ninyi hamkung’oa viti,mngeling’os viti kuwapiga Wakongo hakika na wao wange ng’o viti kuwapiga nyinyi…
Huu mjadala hauna afya kwetu , sijui mwandishi wa habari hii anataka tupate kitu gani. Mimi kwanza simwelewi sauti kama chura amekabwa chambo kooni. Huyo Gongowazi pia siku zote hana pointi
Huyo mwandishi choko sana
God Yanga,wakongo awakung’oa viti kuwapiga mashabiki wa yanga kwa sababu ninyi hamkung’oa viti,mngeling’os viti kuwapiga Wakongo hakika na wao wange ng’o viti kuwapiga nyinyi…
Kichwa maji wewe
Hivi vituo vya uchambuzi uchara sana
Muandishi monyewe anaonekana ni yanga
Taasisi moja ina timu 4 bongo timu za manispaa ziko 4 na boss wao mmoja
Na Tv walivunja yanga😂😂😂
Hilo nalo sauti ya pombe Kali cuca double kik
Mashabiki wa Simba mbona mmejaaa sana
Mzaramo hapo unaongea na yanga watupu angalia sana maswali.yao maswali.yao.niyakukutega hao
Hapo mnashindanisha lishe,Simba kuna lishe kuliko Yanga angalia washiriki wa mdahali huu
Mbona huyo mwandishi anakuwa kama ana upande wake
Mzaramo amewakalish wote mwandidh pia utopolo
Sauti ya gongo
Mzaramo ondoka apo wanakushambulia wote upo pekeako apo muandishi ajielewi
Huu mjadala hauna afya kwetu , sijui mwandishi wa habari hii anataka tupate kitu gani. Mimi kwanza simwelewi sauti kama chura amekabwa chambo kooni. Huyo Gongowazi pia siku zote hana pointi
Mwenye mpira wake nani acheze yeye na familia yake karia kaweka na timu za Tanzania kama hakunatimu ataringa na nani.
Shida mwandishi inaonekana unamsaidia yanga .
Huyo mwandishi haana lolote yanga damu . Huyo jamaa nimwandishi au nae amekuja kuhojiwa maana wazi ni yanga huyo
Huyomwandishi.mjinganiyanga.kabisa.anakujibubadala.yauyo.utopolo
Mwandishi ni yangu hiyo anamsaidia God hajui mahojiano
Kumbe mashabiki wengi hawajielewi kwa mujibu wa mzaramo.