naomba tuache kujenga mifereji au chaneli hizi kwenye mitaa hii, kwani pamoja na kuwa mbovu ni hatari sana na zinaweza kusababisha ajali kwa vikongwe na watoto... ni bora bomba lililofungwa kabisa na mimi naona litakuwa. muhimu kujenga sidewalks pana sana.
Hongera TANROADS pia kwa content kama hii sisi pia mnatupa fulsa ya kuisambaza zaidi ( no logo no title safi)
Hongereni lakini kuna baadhi ya taa haziwaki na msiporekebisha soon mradi huu utaanza kuwa wa hovyo
Kuna vitu sio vya kuvielezea kama ammendeleo ni wajibu wenu kufanya maana mnakusanya kadi kwa nguvu
Tengeru je
naomba tuache kujenga mifereji au chaneli hizi kwenye mitaa hii, kwani pamoja na kuwa mbovu ni hatari sana na zinaweza kusababisha ajali kwa vikongwe na watoto... ni bora bomba lililofungwa kabisa na mimi naona litakuwa. muhimu kujenga sidewalks pana sana.
Tanzania dont know english kkkkkkk