Bwana Yesu asifiwe sana Kanisa linahitaji Nguvu mpya tena ya Roho Mtakatifu. Ukijiuliza kwa nini kuna ambao wana 72 books na Bible, na wengine 66 books ni zote ni wa Kristo? Tofauti hii ilianzia wapi? Na Mungu anakubali vitabu vingapi?Mungu atusaidie sana tunajitaji kumuona Yesu Mwokozu wetu Amina
Kwa nini ; sababu gani watu wako wamezuwiya wenye haja ya kuonana nawe wamezuwiya? Njiya zote wame funga ; aliye na hitaji afanyeje? Ama kuna mipaka kati ya wale unao weza kuhudumiya?

BABA Aposto ubarikiw sana WW una roho ya ki mungu
Amen mtumish Asante kwa somoZurii Nimebarikiwa
Ahsante kwa neno zuri ,, nitafanyia kazi 🙏🙏
Ameni mtumish asante kwa somo zurii
Asante sana Apostle kwa Neno zuri la uponyaji 🙏🙏
Amen 6:19
Thank you, apostle.
🕊️🕊️🕊️🔥🔥🙏🏼
Apostle unanibariki
Asante sana Apostle
Powerful
IPm ndo mwalimu namba Moja WA UWONGO Tz.
😂😂😂😂😂 nilijua tu wewe utaendana na Akili zangu
Kirefu cha IPM?? @@ombenkallenge1924
14:50
Amen
Ukiwa WW una roho ya mapokeo usiposti''mana haya mafundisho yamenyoka
Nawewe unahitaji kuokoka kweli kwa kujiita chief je?huyorohowa mungu anakufanya ujiite hivyo?😅
Bwana Yesu asifiwe sana Kanisa linahitaji Nguvu mpya tena ya Roho Mtakatifu. Ukijiuliza kwa nini kuna ambao wana 72 books na Bible, na wengine 66 books ni zote ni wa Kristo? Tofauti hii ilianzia wapi? Na Mungu anakubali vitabu vingapi?Mungu atusaidie sana tunajitaji kumuona Yesu Mwokozu wetu Amina
Usisahau biblia ya ethiopia ambayo ni kongwe zaidi ina vitabu 88 na kuna wengine wana vitabu arobaini je ipi ni ya kweli
Kwa nini ; sababu gani watu wako wamezuwiya wenye haja ya kuonana nawe wamezuwiya? Njiya zote wame funga ; aliye na hitaji afanyeje? Ama kuna mipaka kati ya wale unao weza kuhudumiya?
Amen
15:03