Hiyo nyumba nje ni nzuri papyri mno. Ndani hata mimi niliesoma historia ningefanya vizuri zaidi. Jiko, bafu, milango mwe. Nguzo mtu atakuwa anagongana nazo kila kukicha. Fundi serelemala kabuni nyumba.
Martin Odhiambo umeona mtaalam. Yaani hata madarasa huwa hayana nguzo ndani. Hata viwanja vua mpira ukiona kina nguzo ndani ujue ni vile vilijengwa miaka ya nyuma sana. Kachemka hapo...
This is how we live in most of the African countries. And after purchasing it, there is always room for renovation however u want it to be. Stop being bitter somehow 😏
@@cneamses3645 Yes but when building try to pay attention to detail when it comes to the interior. And no, not all Africans live like that. There are Africans with better taste.
You ain't lying! I'm finding that I love the exterior of most of the houses I've seen shown (Unapologetic Nomads) but the interiors are not my cup of tea. Although they use high quality materials, in my opinion, the interiors lack warmth.
@@devorahstree671 agreed, but anywhere tropical climate is always tile floors and not much to make the home feel "warm". I think its trying to make it cold on purpose.
This house looks quite good from outside but inside it has been designed very poorly, Whoever buy It should hire a professional interior designer to amend and re design the whole interior structure.
Maxwell King na hizo nguzo za kati kati ya sebule unazigeuzaje kuwa urembo? Vipi hizo bafu za nyumba kubwa hivyo zinakuwa ndogo kweli kweli na hazina tofauti na guest house za 20,000?
The bathrooms and kitchen are a huge disappointment. Where is the tub for the master bedroom? Where is the huge kitchen with an island? While the outside property is well manicured and immaculate, the interior design leaves a lot to be desired.
Acha maneno ya nyodo ndugu yangu ayo ni maisha tuu ata ukikaa nyumba ya vipi mwishowe utazikwa mavumbini tuu nyumba zetu ni makaburi ata wewe mwenye nyodo utakufa tu yote hayo utayaacha apa apa duniani ni mambo ya mpito tu wa kidunia ayo
Big up Aaron from Unapologetic Nomads. Wow, Tanzania got it going on! Great craftsmanship. Can the color of the ceiling lights be changed? Also, what is the approximate cost of this property?
@@Manomacho nimeiona globalbuilding lakin globalbuildingzone sijaiona, na pia kwenye hii globalbuilding hakuna ramani ni picha za majengo kwa muonekano wa nje
Wewe ni mjinga sana, unawezaji kufananisha yaliyoko ktk ulimwengu huu,na mbingu ambayo hata baba yako hajawahi kufika hakika piga magoti utubu hiyo njaa Itakuuwa,
Mchafu gani huu finishing mbovu kama nini mabafu mabovu hata hamjui kazi agalieni nyumba za mbele kabla hamjatuonyesha uchafu wenu milango finishing mbovu
From saudia rabia nilitka kununua iyo jumba lkn kwa mdomo wako mchafu na kuzarau watu nimeisamehe kwan jumban lote ilo alf tukifa kabr wanao chimba na ao maskin unao sema ww kuna heshima bas alf mbinguni unakujua ww vzr hakuna taka taka kama izo za kibanda chako izo ww unaona jumba sana iyo yakaida sana kabsa
I’m not understanding the neon lights on the ceiling throughout. It takes away from the house. Those stairs are what Americans use outside or for commercial property. This house have potential but the layout is little to be desired.
Ulipo kosea nipale ulipo fananisha nyumba za duniani Na mambo ya mwenyezi Mungu , usifanye ivo tena utapata pigo Ahlla sio wakumuingiza ktk mambo yenu ya kipuuzi , Ahlla yeye kutenda jambo lolote Kwa kauli tu iwe Nuru inakua fanya ukatubu haraka Sana tena upitie ktk mitandao hii ulipo kufuru .
Kwamza dalali una kauli chafu hakuna jengo duniani lenye mfano mbinguni kule si mikono ya wanadamu wanajenga hilo ilijue na usisema eti watoto wa matajiri wanavuta bangi omba rehema
Kwamimi nyumba Ni nzuri kwa nje ndani ipo kishamba sanna.lakini ninaongea hivi hata tofali moja sijawahi kuwa nalo.allah atupe maisha na sisi yaraby
Unapologetic Nomad brought me here and this home is beautiful!
Hiyo nyumba nje ni nzuri papyri mno. Ndani hata mimi niliesoma historia ningefanya vizuri zaidi. Jiko, bafu, milango mwe. Nguzo mtu atakuwa anagongana nazo kila kukicha. Fundi serelemala kabuni nyumba.
Duuh Mzee kauli zako sio Ingawa nyumba nzuri
The two pillars in the main living room spoils everything.
Noted that too. Technically it distorts the ambiance in the room.
You have good eyesight
Thanks bro, it's part of my profession.
Martin Odhiambo umeona mtaalam. Yaani hata madarasa huwa hayana nguzo ndani. Hata viwanja vua mpira ukiona kina nguzo ndani ujue ni vile vilijengwa miaka ya nyuma sana. Kachemka hapo...
I agree. Its still a nice house though. But the interior design could be adjusted.
THE OUTSIDE OF THIS HOME IS BEAUTIFUL. THE INSIDE IS WHAK😂😂😂😂😂😂😂
Reminds me of someone's granny's house...or a 80's hotel
This is how we live in most of the African countries. And after purchasing it, there is always room for renovation however u want it to be. Stop being bitter somehow 😏
The interior is a horror.
@@cneamses3645
Yes but when building try to pay attention to detail when it comes to the interior. And no, not all Africans live like that. There are Africans with better taste.
Duuh tokaini umeona pingu ikiuzwa bab hongera san kwkua umeingia mbinguni wew broo unazingua bn
Beautiful property but I'd have to spend a fortune in remodeling.
@libra moon, I concur.
You ain't lying! I'm finding that I love the exterior of most of the houses I've seen shown (Unapologetic Nomads) but the interiors are not my cup of tea. Although they use high quality materials, in my opinion, the interiors lack warmth.
💯.
@@devorahstree671 agreed, but anywhere tropical climate is always tile floors and not much to make the home feel "warm". I think its trying to make it cold on purpose.
Nyumbaa nzuriii cnaa
Beautiful home I love it. I come here from the unapologetic nomads channel 👍
This house looks quite good from outside but inside it has been designed very poorly, Whoever buy It should hire a professional interior designer to amend and re design the whole interior structure.
Maxwell King na hizo nguzo za kati kati ya sebule unazigeuzaje kuwa urembo? Vipi hizo bafu za nyumba kubwa hivyo zinakuwa ndogo kweli kweli na hazina tofauti na guest house za 20,000?
Yeah that's true
U dont h've money be quitly.
Wapi uko
the kitchen is horrible
Waoo. The house is superb. I like the security of the doors.
honestly nyumba ndani ni ya kishamba sana, nje is very presentable
The house was better from outside. Interior is very ordinary though. Wewe bana, cheki interior designs za nyumba Kenya, Nigeria or Sa?
I agree. Anafaa aangalie interior designs za huko Kenya.
Mmmmh which Kenya lol
nigeria interior designing is woooow
I can't agree more. The outer part is beautiful including the landscape but interior needs a remake.
Kenya 🤦🏽♂️ same pia ,check SOUTH AFRICA
Mmm umetisha. Nyumba nzuri sana.
Pole Sana hujui kusemea mbingu unasema matofari na miti mbingu hujielewi
Dalali kuwa na maneno mazuri ya uwsilishaji kauli unazotumia sio nzuri
The bathrooms and kitchen are a huge disappointment. Where is the tub for the master bedroom? Where is the huge kitchen with an island?
While the outside property is well manicured and immaculate, the interior design leaves a lot to be desired.
Agreed... that is the problem in tz houses , rooms are small also , this house outside is amazing but inside only the sitting room is nice
True the inside is disappointing
Hey very beautiful I like this ❤❤
Mimi Ninao uzoefu wa ujenzi bey yaiyo nyumba ipo Sawa kabisa
Mashallah ni nzuri saaana safi
si vizuri kufananisha mbinguni na vitu vilivyotengenezwa ni mikono ya binadamu
Ya kweli hayo kwani mungu kaumba mbingu tu
Siku moja ntanununua jengo ka hili. 💓
Hiyo nyumba aina thaman hiyo Mzee hiyo ya kawaida sana ikizid sana million 600
Million 600 kama utajenga mwenyewe una kiwanja ndio kweli unaweza ukajenga
ukubwa wa eneo na thamani ya eneo lilipo na thamani ya materials zilizotumika kwene hiyo nyumba japo ni ya kawaida but it deserve the price
Hii kama hela unayo unalipa 1.1 bil very fair
Apo sawa
Eneo kubwa
Kitendo cha ghorofa Kuwa na Nguzo ndani hata kama limejengwa namna gani hilo ni likepitwa na wakati sanaaaaa
Ok nimeona ndugu yangu je imeshanunuliwa au bado ipo hiyo nyumba
Acha maneno ya nyodo ndugu yangu ayo ni maisha tuu ata ukikaa nyumba ya vipi mwishowe utazikwa mavumbini tuu nyumba zetu ni makaburi ata wewe mwenye nyodo utakufa tu yote hayo utayaacha apa apa duniani ni mambo ya mpito tu wa kidunia ayo
4:23 na maskini kadhaa waliokuzunguka😅😅😅
daah acha kk.....maskn maskin kadhaa😁😁🙌🙌
huyu dalali kiboko
Dalali Anazingua
Naona Bei sawa sawa na nyumba
Nyumba nzuri sema kutokuwa na hela ndo maana tunaponda
Nyumba inaonekana imejiminya sanaa ndani
Big up Aaron from Unapologetic Nomads. Wow, Tanzania got it going on! Great craftsmanship. Can the color of the ceiling lights be changed? Also, what is the approximate cost of this property?
$603,567
Now for this price I’d go for the Magnolia 12 house in Kenya. It’s way better.
BUNGALOW! Sio Bangalore
Mbona haina tofauti na ile niliyopangishaa,, acha dharau kusema maskini wanazungukaa pengine hao maskin wakawa maboss zako
nyumba nzuri sana
Ipo vizuri Sanaa yaani hiyo fence na Paving ni zaidi ya 25M
Nipigie 0658494763 kuna nyumba nauza bagamoyo unitafutie mteja
house ni interior.....ndani wameharibu vibaya..atakaye nunua..itabidi abomoe
Mbona kama konde village ivyo...sijaelewa
Still available......????
Nyumba nzuri xn ila bei kubwa sana hiyo
Naitaka hiyo nyumba,
tubadilike waafrika tuachane na mambo ya kiuchawiuchawi na kuwanga.
Mm naitaka hio nyumba Kenya shiling ni ngapi???
Nyumba kama ya harmonize
Kwa nje ni nzuri na sebuleni ni nzuri
Good
Khadija
Ww mwenyewe masikini wajitia shobo tu
Duuuh hii nyumba nimefanya mimi wiring chini ya mmiliki prof endrow mbwambo
Mr ninaweza kupata ramani ya nyumba ya vyumba 7 vya kulala lakini isiwe na ghorofa? Email yangu ni 3354422@gmail.com
@@albertchuma4313 naomba ramani ya hyo hyo Bangalore inayo tangazwa ka ukiweza nicheki obedimichael8@gmail.com
@@albertchuma4313 tafadhali pitia @globalbuildinngzone intagram,kuna ramani kali
@@p2rmtv628 Albert Chuma tafadhali pitia @globalbuildinngzone intagram,kuna ramani kali
@@Manomacho nimeiona globalbuilding lakin globalbuildingzone sijaiona, na pia kwenye hii globalbuilding hakuna ramani ni picha za majengo kwa muonekano wa nje
Tiles za ukuta wa jiko zinatia giza hazina mvuto wa macho...na pillars katikati ya sittingroom zimeharibu
Unatoa unaweka zakwako mbona simple we toa pesa tu
Nyumba sio mbaya lakini zile piller mbili pale ukumbini zimeharibu nyumba yote na kwenye vuil hakuna hata jakuzi moja na interior design amefeli
Ndo ivyo kizur hakikos kasor
bullet-proof door.. cool
Hacha zarau etikochi Bei yanyumba kwenda
How mush is the house
Hiyo nyumba au pub ?
Mungu atakusaidia ww kaka nyumba waita mbingu.Nyumba gani inaweza fanana na mbingu bwege ww
Habari
Wewe ni mjinga sana, unawezaji kufananisha yaliyoko ktk ulimwengu huu,na mbingu ambayo
hata baba yako hajawahi kufika hakika piga magoti utubu hiyo njaa
Itakuuwa,
Huyu jamaa ni shoga kweli
Nashangaa Sana mpuuzi huyu kufananisha hii choo na mbinguni jinga kweli hili jamaa
Hiyo nyumba amepangisha harmonize alafu wanajiita masuperstar kumbe hadi nyumba hawana yakwao
Nice
Ipo maeneo gan iyo nyumba
Konde gang,mjengo wa harmonize
Haya bhana
Gud
Jamani naiitaji Nyumba Hii
Usimfananishe yesu nausenge wako mbwa
Harmonize house
Aloo..kunawatu wanakula maisha bhana
Mchafu gani huu finishing mbovu kama nini mabafu mabovu hata hamjui kazi agalieni nyumba za mbele kabla hamjatuonyesha uchafu wenu milango finishing mbovu
Tunakubali
The house is very very beautiful inside and outside BUT the Inside needs a bit of work... how much is for?
Hi
From saudia rabia nilitka kununua iyo jumba lkn kwa mdomo wako mchafu na kuzarau watu nimeisamehe kwan jumban lote ilo alf tukifa kabr wanao chimba na ao maskin unao sema ww kuna heshima bas alf mbinguni unakujua ww vzr hakuna taka taka kama izo za kibanda chako izo ww unaona jumba sana iyo yakaida sana kabsa
Mwenyewe kanikela hatary ..dharau kibao
*KABURULI* REKEBISHA RUGHA KAKA! UNAKOSEA! INNA LILAH WA INNA ILLAH RAJ-UN!
Mbona hakuna kibaya Alicho kiongeya binadamu bwana
Nyumba ni nzuri sana
Naomba namba yako
Hii si ndio île nyumba ya konde boy??
Mbona inafanana na Nyumba ya HARMONIZE
Hiyo sio konde village hyo
You have such grate taste if your projects . Keep up the grate content
How much is it
Ni tamu sana tuombe mungu corona hishe naja nikichukue hicho nimeipenda sana
Helllow
Kiukweli nyumba nzuri
Harmonize hili
Konde village
Hii nyumba ninavyo ongea sasa hivi anakaa harmonize
Ayse
I’m not understanding the neon lights on the ceiling throughout. It takes away from the house. Those stairs are what Americans use outside or for commercial property. This house have potential but the layout is little to be desired.
It’s too much
Tuma.nambazako
Kama mkenya kuna uwezekano kununua nyumba Tanzania??
Jumba kubwa jamani
Samahan.INA vitu vilivyomo navyo vinauzwa???
Please explain with English
Hii kweli hatari
I love the outside of the house very beautiful, the inside needs work! How much is this house, is this house for rent or for sale?
It is for sale about 1.4 Billion Tsh. which is approximately 603,400 Usd.
@@cneamses3645 ain’t no way😂
Eti mbunguni pepo shetani wew
Hivi ni masikio yangu au vipi nime sikia umeme laki 7 kwa mwezi ni kweli
Kitchen ya kishamba
ASTAAFIRULLAHX3...umekosea sio mbinguni
Acha ufala we mbinguni unapajua?
Bonge ya mjengo hongera sana boss L
Ulipo kosea nipale ulipo fananisha nyumba za duniani Na mambo ya mwenyezi Mungu , usifanye ivo tena utapata pigo Ahlla sio wakumuingiza ktk mambo yenu ya kipuuzi , Ahlla yeye kutenda jambo lolote Kwa kauli tu iwe Nuru inakua fanya ukatubu haraka Sana tena upitie ktk mitandao hii ulipo kufuru .
Kwamza dalali una kauli chafu hakuna jengo duniani lenye mfano mbinguni kule si mikono ya wanadamu wanajenga hilo ilijue na usisema eti watoto wa matajiri wanavuta bangi omba rehema
Hajitambui huyu mtu
Huyu dalali nae kwanza mvuta bangi 😂😂
@@kennedymlay9532 ndio mana ana kauli za kihuni 😏