MRISHO GAMBO BILA WOGA AJIBU MAPIGO kwa RC MAKONDA - "MIMI si MTORO - NAWAJIBIKA kwa WANANCHI"....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 14

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  15 дней назад

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 15 дней назад +2

    Hoja ilikuwa kuhushuria vikao vya Mkoa kama kamati ya Mkoa
    Hajasema kwamba ni mtoro
    Bungeni Amesema kwenye kikao na Waziri hukuuudhuria kikao Cha ndani Cha kujalidili Maendeleo ya Mkoa Ambacho Waziri alikuwa Mgeni

  • @STELLAMARCELY
    @STELLAMARCELY 15 дней назад +1

    Mwaka umeanza kuchangamka....mbunge Mrisho uko sawa kabisa

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 15 дней назад

    Yeye kasema kuhusu kuuzuria vikao

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 15 дней назад

    Muite doctor makonda

  • @atufigwegelusajo955
    @atufigwegelusajo955 15 дней назад

    Upo sawa makonda amerith ubaya

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 15 дней назад

    Unajitetea kwasababu alikusema vbaya mbele ya watanzania.

  • @Vicentgasper-t9g
    @Vicentgasper-t9g 15 дней назад

    Kwann usimjibu hana

  • @sixtusmayebwa5128
    @sixtusmayebwa5128 15 дней назад

    Hakuna haja ya kuongea mengi, Vikao viko na Changamoto nyingi kachukue hizo Changamoto peleka huko unakowakilisha acheni chenga chenga!!!
    Makonda kaza Kamba hadi wazembe kama hawa waumbuke tu, kama Mkoani unapadharau Halmashauri kwenye Vikao vya Baraza unaenda???😁

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 15 дней назад +2

    MAKONDA alikuwa sawa,maana bila vikao,kati ya wewe mbunge,na mkuu wa mkoa na jimbo unaloongoza ni muhimu

  • @carloschikawe3244
    @carloschikawe3244 15 дней назад +2

    Upo sawa kaka yangu gambo ujumbe umetufikia sisi watu wa uswahilini tunakupata zaidi

  • @kakaimbela2597
    @kakaimbela2597 15 дней назад

    Too late!

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 15 дней назад +2

    katiba inamtambua mkuu wa mkoa kuwa ni mhimili katika Bunge

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 15 дней назад

    Mbona unamwita bwana muite mkuu wa mkowa