TAG GEITA PENUEL CHRISTIAN TABERNACLE KONGAMANO LA UREJESHO SIKU YA TANO (5)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2024
  • KONGAMANO LA UREJESHO AGOST 2024
    SOMO: KUINGIA KATIKA MSIMU MPYA WA HAKI ZETU
    MNENAJI: MCH THOMAS AMOS
    KONGAMANO LA UREJESHO .DAY5 AGOST 22, 2024
    Kutoka 13:17-18.
    1. kujifunza kanuni za kibiblia.
    Yoshua 8:1-6.
    Efeso 6:10 .
    MAMBO YA KUJUA JUU YA VITA YA KIROHO.
    2 Korinto 10:3-4.
    I) Vita za kiroho ni halisi kama vita za Kimwili.
    II) Vita ya kiroho inapiganwa rohoni sio mwilini.
    III) Vita yeyote inayo kuja kwako jambo la kwanza linakutoa Rohoni Linakuleta mwilini.
    IV) Vita ya kiroho inatumia silaha za kiroho. Silaha zetu zina nguvu ukiwa Rohoni lakini Zinapoteza nguvu zikiwa mwilini.
    ILI KUWA HODARI KATIKA VITA YA KIROHO NA KUREJESHA HAKI ZANGU ZA KIROHO LAZIMA NIJIFUNZE MAMBO MAKUU MANNE(4)
    Waefeso 6:18
    [18]kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;
    1. Lazima nijifunze aina mbalimbali za maombi. Zipo Aina 14 za maombi na kuomba.
    2. Nijifunze Kuomba/Kusali katika Roho kila Wakati.
    3. Nijenge Uwezo wa kukesha katika kuliombea jambo.ili tatizo Lisiwe sugu niwe serious hadi matokea yaonekane. Sio kumaliza maombi na kusema eti nimepata amani.
    4. Uwezo wa Kudumu katika kuombea jambo.
    Kuomba kwa muda mrefu kunazalisha nguvu ya kurejesha haki zangu. mikakati ya kujenga maombi ya muda mrefu na kanuni na ajenda hadi izalishe matokeo.

Комментарии • 2