Baraka Mpenja: Nilikuwa nazungumza mwenyewe barabarani, watu walidhani nimechanganyikiwa - Part 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии •

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 года назад +3

    Kati ya watangazaji mahiri east Africa kwenye mpira ni mpenja namkubali sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @DaimoniMalila-zq6sp
    @DaimoniMalila-zq6sp Год назад

    Ndg yangu,Baraka mpenja.mwamba wa umalila.mm nikutakie happy bathday! Namungu akupekila laheri.nakazizako ziwenabaraka zaidi.ninakufuatilia Sana,ndg yang mm Daimoni malillah.mtt wakiwanji og.nikiwa dar!! Nakushukur sanamung awenawe kwakilajamb.

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 4 года назад +4

    Na mkubali Sana Baraka waga ninaenjoy Sana anapo tangaza Mpira fundi wa kuwapa majina wachezaji

  • @hotspotmediatz9751
    @hotspotmediatz9751 2 года назад +1

    Media in veins......one day tutafanya kazi nae❤️❤️

  • @japhetlust5662
    @japhetlust5662 4 года назад +2

    Nawa kubali sana ckay pamoja na baracka mpenja

  • @lucymlawa9131
    @lucymlawa9131 4 года назад +2

    Bonge moja la story,big up mpenja

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 4 года назад

    Mpenja kijana mwenye bidii👍🏻👍🏻

  • @hydrazineazine8764
    @hydrazineazine8764 4 года назад

    Leo umechekeshwa sana Sky

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 4 года назад +1

    Saf sana brother baraka

  • @adamj9723
    @adamj9723 4 года назад +1

    🤩🤩sky kama sky uko juu.

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 4 года назад

    Mshkaj yupo vzr

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 4 года назад +1

    Sauti ya Radi🔥

  • @mlawacharles2503
    @mlawacharles2503 4 года назад

    Bro unaweza

  • @allanjr1035
    @allanjr1035 Год назад

    🔥❤️🇧🇮

  • @zeshahamisi1803
    @zeshahamisi1803 4 года назад

    Adi raha jamn

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 4 года назад

    Daaaah hayo makochi makali sana aiseee nimeyapenda saana nayaapataje ?????

  • @bongotowntv5943
    @bongotowntv5943 4 года назад +1

    Part 2 wekeni

  • @japhetlust5662
    @japhetlust5662 4 года назад +4

    Hivi sns mnaskika mkiwa wapi
    Huko dar cu mwnza ?

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 4 года назад +1

    Nimecheka mpaka machoziii gmdaaah

  • @louiskayange-kz7ec
    @louiskayange-kz7ec Год назад

    Matai kalambo

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 4 года назад

    Isikilize hii hapa
    ruclips.net/video/hur9ZtUkVaA/видео.html