Wimbo huu nilikuwa nairafuta. Hawa kama sikosei ni Jessica Zanzibar mghani ni Mohamed Sekaya cjui yuko wapi sasa. Ingawa picha iliyooneshwa sio wimbo huu..nimefurahi ahsante. Nataka mtoto kinda kindaki wa malindi au naad ikhwan safaa
Dah! Siku hizo nilikuwa napendelea kusikiliza kipindi cha 'lala unono' kilichokuwa kikirushwa na Sauti ya Tanzania Zanzibar kwenye radio ya Bibi yangu aina ya National 277!
Mwalim aliuliza darasa zima neno national linatamkwaje wote wanafunzi walikosa walitamka kiswahili mm nikatamka kwa kiingereza mwalim alinipa zawadi. Home kulikua naredio father alikua hunitamkia kiingereza ndio nikalijua. Allah amrehemu huko aliko yy na mama pia
I miss my Zanzibar my Motherland 😭
Wimbo huu nilikuwa nairafuta. Hawa kama sikosei ni Jessica Zanzibar mghani ni Mohamed Sekaya cjui yuko wapi sasa. Ingawa picha iliyooneshwa sio wimbo huu..nimefurahi ahsante.
Nataka mtoto kinda kindaki wa malindi au naad ikhwan safaa
Hiii nyimb ynikumbush mengi....
Moja ktk nyimbo bora kuwah kuzisikia
Zanzibar oyeee
Watu wameimba zamani sio saiv .kweli vya kale dhahabu
Dah hizi nyimbo za kale Flani hivi mmmh
Wimbo mtamu kwelikweli!
Zanzibar is my heat
kila nnapo sikiza hi nyimbo yanikumbasha kule kwetu mwabao Malindi kenya
alhamdu lilaah na lala salam
Dah! Siku hizo nilikuwa napendelea kusikiliza kipindi cha 'lala unono' kilichokuwa kikirushwa na Sauti ya Tanzania Zanzibar kwenye radio ya Bibi yangu aina ya National 277!
Zanzibar asili haipotei

asili isipotee