Sikilizeni nyie vijana wa siku hizi mnaopiga kelele wala hamjui nini mnakiimba na kukata mauno na kuonesha miili bila ya sababu, hawa waimbaji wa zamani walikuwa hata hawachezi walikuwa hawana haja ya kufanya upuuzi kuvutia watu, maneno na mziki tu yalikuwa yanatosha
Mashallah nyimbo za zamani nzuri sana sana
nakupenda sana nyimbo hii nampelekea mpz wangu
Haishi humuu dah🎵🎵🎵❤🎶
Njoo mm ni mkwel hali yngu nistir sikiza yngu kauli upime na ufikiri...😍😍 pendo langu likupate
Kuna watu wanajua kuimba mashallah mungu amlaze pema peponi Prince abdul aziz
Naipenda sana hii nyimbo nilikuwa naitafuta siku nyingi asante kwa kupost
Hata mimi nimeitafuta saana
Superb
nitose kwenye asali niokowe na shubiri mmmh
Nice znz
I love so much this song
Sikilizeni nyie vijana wa siku hizi mnaopiga kelele wala hamjui nini mnakiimba na kukata mauno na kuonesha miili bila ya sababu, hawa waimbaji wa zamani walikuwa hata hawachezi walikuwa hawana haja ya kufanya upuuzi kuvutia watu, maneno na mziki tu yalikuwa yanatosha
Kweli kweli sasa hivi mijitu imejua kukaa uchi tu tafran tupu kweny tv bas tu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu amrehem
soo lovely
Very sweet
Love Zanzibar bin Seif❤❤❤
Sauti ya marehemu Abdulaziz yusuf
sara kumbe uyu muimbaji ni marehem.......!!???
Ya kale dhahabu
Old is gold 😘😘😘