SIMULIZI MAGUMU ANAYOPITIA YA BIBI WA MIAKA 60 ALIYEACHIWA MAPACHA BAADA YA MAMA KUFARIKI
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Bibi mwenye miaka zaidi ya 60 aliyefahamika kwa jina la Kashindye Mhoja mkazi wa Kata ya Mwendakulima Manispaa ya Kahama Mkoani Shinynga ameiomba serikali na wadau mbalimbali kumsaidia kuwalea Watoto mapacha walioachwa baada ya mama yao kufariki kwa tatizo la upungufu wa damu.
Akizungumza na Jambo FM iliyomtembelea nyumbani kwake bibi Huyo amesema kuwa Baba wa Watoto hao hajulikani alipo kwani alitoweka mara tu baada ya mazishi na kwamba kwa sasa Watoto wanahitaji maziwa, Mavazi na sehemu ya kulala kwani hawana godoro na wanalazimika kulala kwenye mifuko ya Sandarusi.
Mungu Hawabariki Wote mliojitolea Kumsaidia na Mapacha wetu Maraika wa Mungu Hao pacha🤝🤝🤝🤝🤝🤝