Tumuombe sana Mungu kwa ajili ya ndoa zetu. Shetani yupo kazini. Hafurahii kabisa kuona ndoa zinasimama, anakipiga kichwa ili mwili usambaratike. Baba, mama tuombeane, tuchukuliane madhaifu yetu, tunyenyekeane. Kila mmoja aombe kuwa chombo cha amani.
Huyo mwanaume ni hasidi sana lakoni Mungu atamlipa huyu mama na hao watu wenye kupiga tarehe kesi kama hizi sijui wamelipwa au vipi ndio masna hawajali. Serekali impatie haki huyu mama jamani aweze kuishi kwa amani na kufanya kazi zake.
Jamani walimu mnashindwa kutoa 2.5milioni kusaidia mkono wa mwalimu mwenzetu. Hiyo pesa si ni mikoa 2 tu.Nashauri makatibu wa wilaya CWT pitisheni harambee hata 3000 tu kwa kila mwalimu tuchange,tumsaidie mwenzetu apate mkono.
Upelelezi ni Pamoja na muenendo yako huenda ilichangia mmeo akawa kichaa wakati anatumia panga, lkn pia mlichagya vibaya, wewe unafanya kazi Arusha, Mumeo anafanya kazi Dar es salaam tena wakati huu damu zenu zinachemka. Angalau ata mngekuwa mna watoto 5 na kuendelea.
Mie nashaa sana tz ni nchi pekee inaona ina ushaidi kabisa ila kumuhukumu inachukua miaka kumi maana ushaidi ni uwo mkono umekatwa ila kwanini mnaendelea nauchunguzi gani tena jmn au mnataka mtu ammalizie dada wawatu jmn 😭😭😭😭 why Tanzania atupendi kuhukumu araka kesi kama izi mnazichukulia kama kesi za kuiba kuku jmn 😭😭😭ndio maana mambo kama haya awauishi Tanzania
Mtumishi anauwezo wa kukopa akalipa kina masikini kibao tu na serikali si rahisi kumsaidia mtu mmoja mmoja serikali inatakiwa kuhakikisha inaisaidia jamii kwa makundi bado sana kufikia hatua ya kumsaidia mtu mmoja mmoja
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, comment za wenawake wengi hapa niza hovyo tu, mpaka yatakapowakuta nyie ua mabint zenu waolewe wakakatwe ndio mtajuaga.
Kuna uvumilivu na kupoteza muda na Kuna vitu vya kuvilia kwenye ndoa siyo Kila tatizo ni la kuvumilia ni vizuri kama mtu habadiliki ni afadhali mkaachana Kwa amani
Shida nyinyi viumbe ni kutotulia kwenye ndoa zenu michepuko sana mungu anasema ashupazae shingo atavunjika nimemukoa juzi dada mmoja bwanaake alitaka kumfyekelea mbali kisa mtoto mmoja anasema SI wako wa mtu mwingine ivi unaishi na mme harafu unazaa mwanaume mwingine ivi wewe mwanamke zinakutosha kweli msipo badilika tutasikia mengi
Inawezekana pia mnaangaliwa je bado mnatamaniana? Mnaoneana huruma? Je mmeo ana majuto ya kitendo? Na mengine mengi. Usiharakishe shauri. Inaweza kuwa hasara.
Halafu Kati ya hao Kuna wanawake humo aaaghhh 😫😫, hivi Hawa watu hawana dada zao au mama zao hata hawana watoto wake kike, ina wangetendewa haya wangefurahia kweli? Jamii yetu ina shida sana inachukulia unyanyasaji ni jambo la kawaida sana. Mungu wabariki kwa kumnenea mabaya mwanadamu mwenzao🙏
Duuh, hata kama unaugomvi na mweza au mke wako huwezi fikia hatua hiyo, jamaa ni katili sana na hana hata chembe ya utu. Nadhani achukuliwe hatua sitahiki
Huyo jamaa afungwe kwa miaka yakutosha kwa unyama huo ni wakutisha sana,pole dada yangu mungu akusimamie akupe nguvu pole sana maskini huyo sio mwanaume ni zaidi ya mnyama
Hongera kwa kuwa positive baada ya yote yaliyokufika. Alikata mkono, hamna kufikiria hapo, mbele kwa mbele tu.
Pole dear fanya maisha yako asije kukuua kabisaa
Pole sana dada Mwenyezi akupikanie akushindie akuweseshe vyema kwa yote katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana huyo usingedai hata talaka ni muuwaji ungechomoka tu hafai katika maisha tayari amekufanya kilema
Tumuombe sana Mungu kwa ajili ya ndoa zetu. Shetani yupo kazini. Hafurahii kabisa kuona ndoa zinasimama, anakipiga kichwa ili mwili usambaratike. Baba, mama tuombeane, tuchukuliane madhaifu yetu, tunyenyekeane. Kila mmoja aombe kuwa chombo cha amani.
Maria Hyerà ujumbe wako umenibariki
Mungu atasimama nawe🌞🙏🇰🇪.
Pole dada mungu atakulipia naomba allah amjaalie mama samia kupata hii habari atakusaidia nina imani haki yako itarudi
Nimekupenda sana Vero sauti yako maana somo lako wafunzi wanafahulu sana uko vzr
Huyo mwanaume ni hasidi sana lakoni Mungu atamlipa huyu mama na hao watu wenye kupiga tarehe kesi kama hizi sijui wamelipwa au vipi ndio masna hawajali. Serekali impatie haki huyu mama jamani aweze kuishi kwa amani na kufanya kazi zake.
Yaan hatari
Pole mdogo wangu. Wivu mbaya na ni hatari wanawake tujifunze ukiona hivyo ondoka na mapema.
Pole Sanaa dada nilifatilia Sanaa story yako mung kakuinua tena🙏🙏
Huyo jamaa aletwe 🇰🇪🇰🇪 tumpe fundisho. Pole sana mwalimu
abdala rua nitafute rafiki mwema nikwambie kitu!
God will take care of you
Pole sana jaman mwenyez Mungu azid kukulinda bora uachane nae kwakweli muache kabisaa
Mungu akufanyie Wapesi dada
Pole sana mwalimu Veronica
Pole sana Dada' kweli wanataka ushaidi gani wa kumaliza kesi si wamfunge hata miaka 30 ndani' Mungu akutetee pamoja na wanao
Pole sana dada,endelea na maisha yako dada,heshimu kazi yako tu na wazazi wako.
dada wa watu mzuri jaman angejua angeachanaga nae tu mapema,pole sana dada
Pole san Utaishi tuu YESU NI BWANA
WAKRISTO NA TALAKA 🙌🙌🙌 MUNGU TUSAIDIE... mtu asiguse comment
Pole Sana Dada Mungu akutie nguvu
Masikini,dah! Uyo mume mshenzi sanaaa...hafai kabisa katika jamii! Amekutia ulemavu wa Maisha.😢
pole sana dada
😭😭😭pole sana madam
Duuuuu pole sanaaaa
pole sister
Hivi ujaondoko mpaka leo unasubiri nini maisha ni popote dada yangu
Duh Pole Sana'a mmy
Pole dada ang
Bora muachane maisha yaendelee
Jamani walimu mnashindwa kutoa 2.5milioni kusaidia mkono wa mwalimu mwenzetu. Hiyo pesa si ni mikoa 2 tu.Nashauri makatibu wa wilaya CWT pitisheni harambee hata 3000 tu kwa kila mwalimu tuchange,tumsaidie mwenzetu apate mkono.
Pole sana Mdogo wangu
Pole madam , Bora akupe mwisho atakuuwa pole sana
Pole dada kweli bola uondoke
Huyo mume atoe hiyo gharama ya mkono,na hizi kesi zisizoisha Kuna walakini kwa wasimamizi wa sheria
Kumbe ww ni mrembo ivo,,,nenda mammy Mungu atakupa mwenye hofu ya Mungu,,,
Mungu akusaidie upate taraka yako asee du!
Duh jaman jaman inasikitisha sana
Inauma
pole sana dada yangu achanae
Pole sana 😢
Hivi ameshakatwa mkono ,,,na manyanyaso mengine anayoshindwa kuyasema ,,,,,,,KESI HADI LEO KESI BADO ,,,MWEEE TANZANIA YETU ,,,,,,
Jamaa awezi kumkata mkono Bure iko iko shida japokua pole Sana mm siwezi kumkata mkono namuacha tuu
Unasema hakumkata bure? Hebu tueleze hapa kuna sababu gani za msingi za kumkata mkewe mkono...Ingekua ni mtu wako wa karibu ungecomment kweli hivo
@@lilianraymond389 Huyo ni mpuuzi.
Vizuri sana sio mwanaume huyo
Pole ndoa ni vita
Upelelezi ni Pamoja na muenendo yako huenda ilichangia mmeo akawa kichaa wakati anatumia panga, lkn pia mlichagya vibaya, wewe unafanya kazi Arusha, Mumeo anafanya kazi Dar es salaam tena wakati huu damu zenu zinachemka. Angalau ata mngekuwa mna watoto 5 na kuendelea.
Hapana aisee hii sio sawa
Jaman tz hii sio haki Upelelezi gani ktk hii kesi mweh
Mie nashaa sana tz ni nchi pekee inaona ina ushaidi kabisa ila kumuhukumu inachukua miaka kumi maana ushaidi ni uwo mkono umekatwa ila kwanini mnaendelea nauchunguzi gani tena jmn au mnataka mtu ammalizie dada wawatu jmn 😭😭😭😭 why Tanzania atupendi kuhukumu araka kesi kama izi mnazichukulia kama kesi za kuiba kuku jmn 😭😭😭ndio maana mambo kama haya awauishi Tanzania
Dada yangu endelea kuwa jasiri usikubali kujishusha chini mungu yupo lazima haki zako utapata
Jamani mama samia tunaomba sana umsaidie huyu mama mwalimu inaonekana haki haitendeki
Ndoaa msikilizeee mmeeee,
Alimkata mkono asiendelee na kazi,Wivu Ni ugonjwa hatarii Sana!Hata Biblia inaonya kuishi na mtu mwenye wivu
ndugu yangu mungu yuko
Pole kipenzi mungu atakusaidia
Pole Sana Dada kwa mkasa huo.
Masiki mungu atakujaalia
@@عباسعباس-ش9ه4ت naona comment nyingi zikimpa pole lakini hawa wanawake ni pasua kichwa hawa
Jamani huyo jambaz
Mtu hanamkono alafueti uchubguzi unaendeleaje upelelezi unaendeleaje hahahah hii ndio Tz bhana eti uchunguzi haujakamilika
RAIS WETU NI MSIKIVU. NA MWENYE HURUMA anaweza kukusaidia. chukua hatua. Pole sana na MUNGU WETU ANASIKIA KILIO CHAKO.
Pole sanamwalimu
Lakn mapozi nayoo?wueeeeh.
🤣🤣🤣🤣
Mtumishi anauwezo wa kukopa akalipa kina masikini kibao tu na serikali si rahisi kumsaidia mtu mmoja mmoja serikali inatakiwa kuhakikisha inaisaidia jamii kwa makundi bado sana kufikia hatua ya kumsaidia mtu mmoja mmoja
Amejikubali
Huyo siyo mume ni shetani KBS,
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, comment za wenawake wengi hapa niza hovyo tu, mpaka yatakapowakuta nyie ua mabint zenu waolewe wakakatwe ndio mtajuaga.
Kuna uvumilivu na kupoteza muda na Kuna vitu vya kuvilia kwenye ndoa siyo Kila tatizo ni la kuvumilia ni vizuri kama mtu habadiliki ni afadhali mkaachana Kwa amani
Mhh apo wasi wasi asijekutoa uhai tu apo
Pole mama chanzo wivu na urembo ulionao
Tuma.no.nikuchangie
Mimi nikushauri tu Kama mtumish wa Mungu uwe makini huyo jamaa atakuuwa maana Ana roho ya mauti Ila mwamini Mungu atakusaidia
This is the deepest
Woi soo sad
Gonga like Kama umeona mtu kule nyuma kapotea 🤣🤣
😆😆
Duuuu kumbe Huyu Jamaa hajafungwa tu hii ndo tz yetu
Jamaaa yukokitaa anakula kuku duuuuh Tz hapana kwakwel
Dah Dada mzuriiii jamaa kamtia kilema
Jaman tusiwe wavumilivu sana tuondokage mapema sio mpaka watutoe viungo vyetu pole madamu so sad
Uvumilivu ukizidi ni uchizi tu
Shida nyinyi viumbe ni kutotulia kwenye ndoa zenu michepuko sana mungu anasema ashupazae shingo atavunjika nimemukoa juzi dada mmoja bwanaake alitaka kumfyekelea mbali kisa mtoto mmoja anasema SI wako wa mtu mwingine ivi unaishi na mme harafu unazaa mwanaume mwingine ivi wewe mwanamke zinakutosha kweli msipo badilika tutasikia mengi
So unaungamkono ukatil ?
Ulivumilia kupoteza mkono ,Mungu mwema hukupoteza maisha,Wanawake hawasikii itakuwaje mtu anakudanganya anakupenda huku anakupiga ?? Aliwaroga nani munajilazimisha kwa watu wasio wapenda ?
mmm lakini mbona kama mama kijacho hivi mtani pole sana
Unuhakika alijilazimisha??
Daah...
Wanaume jamani Mtatumaliza
Hivi huyu dada hana kaka zake????yani angekua dada yangu huyo jamaa ningemkeketa 😡😡😡
Kabsa
Jikubali my pole
Pole Sana dada
Inawezekana pia mnaangaliwa je bado mnatamaniana? Mnaoneana huruma? Je mmeo ana majuto ya kitendo? Na mengine mengi. Usiharakishe shauri. Inaweza kuwa hasara.
Wanawake tungekuwa na umoja tungeungana uyu mtu achukuliwe hatua.
Haongei kwa nukta,
Kama vile sio mwalimu
kuna watu wengne wanajifanya kujua sana kuhukum watu kwa muonekano wa nje .mnaofurahia kuumia kwa dada huyu hizo n roho za kinyama.
Halafu Kati ya hao Kuna wanawake humo aaaghhh 😫😫, hivi Hawa watu hawana dada zao au mama zao hata hawana watoto wake kike, ina wangetendewa haya wangefurahia kweli? Jamii yetu ina shida sana inachukulia unyanyasaji ni jambo la kawaida sana. Mungu wabariki kwa kumnenea mabaya mwanadamu mwenzao🙏
Duuh, hata kama unaugomvi na mweza au mke wako huwezi fikia hatua hiyo, jamaa ni katili sana na hana hata chembe ya utu. Nadhani achukuliwe hatua sitahiki
Huyo jamaa afungwe kwa miaka yakutosha kwa unyama huo ni wakutisha sana,pole dada yangu mungu akusimamie akupe nguvu pole sana maskini huyo sio mwanaume ni zaidi ya mnyama
Asifungwe akatwe na yeye mikono.yote ili aone.maumivu
Tangu amkate mkono hajawahi hata kuwekwa maabusu lisaa limoja sembuse afungwe miaka
Ondoka mama litakumaliza hilo
Talaka ya nini arudi kwa watoto wake wakaleee
Duu!Hilo pozi sio.ongea vzr Basi mwl!
Ndio alivyo,Kuna video zake za nyuma tazama
Wanaumee.hamfaiiii
Mapozi hayo sasa! Beee!
Ndo uzur wa uislam hakuna kuvumilia maumivu kwani tumezaliwa woote, poole dada mwenyezi Mungu atakupigania huyo so mume bali shetani
Huyu dada ni maumbile yake kuongea hivyo ,wakat mwingine msimjudge mtu kwa maumbile
Hukuwa na sababu ya kuvumilia manyanyaso. Matokeo yake ni mabaya.
Pole sana
Huyo mwanaume hajitambui hata kidgo zama zimebadilika ache ushamba.
Pole dada kwaiyo kuukata mkono ili usifundishe tena da
Pole dada
Nmewe alifanya kosa kubwa sana bora ange mpiga kuliko ku nkata nkono ni kosa kubwa aliyo ifanya nmewe
Pole Sana lakini punguza mapozi unapo ongea
mbn mbali kesi imepelekwa talehee 11 mwez wa 5 duuu
Wanaume jamani,uko huru kudai talaka.