WHOZU KAFUNGUKA MIMBA ALIYOMPA WEMA KUTOKA, ADAI YUPO TAYARI KUBADILI DINI “HAPA TU NISHAMUOA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 252

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +2

    Woyooooo safi kabisa Whozu,Jina Othuman umeongea ukweli👍👍👍❤❤❤❤❤

  • @munam7104
    @munam7104 2 года назад +17

    Allah barik chibaba mwenyezi mungu awabariki wewe na chimama kila laheri awafanyie wepesi ameen rabilalamin

    • @neemasweya3053
      @neemasweya3053 2 года назад

      umeongea points kubwa sana nimeipenda hio jamani yaani hautafanya mpaka akuje naakija siku3 nikulushatu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💪💪💪💪woooooozuuuu

  • @clarionsalvatory4563
    @clarionsalvatory4563 2 года назад +10

    Mungu amjaalie kheri Wema Sepetu apate mwana na pia apakate kama wanawake wengine.Pia awe mama kama wanawake wengine.Hakika Mungu ni mwaminifu sana naamini atampatia mtoto.Usikate tamaa kpnz Mungu u pamoja nawe.Ipo siku utaamini nilituma sms yangu nikimaanisha.Ameen

  • @ibramrzebra1675
    @ibramrzebra1675 2 года назад +31

    Allah atufanyie wepesi wazazi wote hapa Duniyani

  • @imanibakili8028
    @imanibakili8028 2 года назад +24

    Jamani Whozu evu muoe Madame ajisiikie raha kumbe na ujauzito mlipeana mwangoja nini sasa🥰

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 года назад +13

    Namuomba Mungu upate mimba wema.lkn usiwe unadanganya.omba Mungu upate.

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 месяца назад +1

    Nimefurahi mno❤❤ 😩wema amelia yake yote ila allah kaskia kilio chake😢Allah akulinde daa wema pmj n hicho kiumbe chako nkupnda❤❤

  • @adonettebucumi-w7q
    @adonettebucumi-w7q 2 месяца назад +3

    Huo niuonho😂wemanamimba kamanikweti nitatowachochotekitu tenacagarama❤❤❤❤🎉🎉🎉

    • @MwajumaKandale
      @MwajumaKandale Месяц назад +1

      Na wewe naye kuandika ujuwi au maana sielewi

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 2 года назад +14

    Mi nampenda wema sanaaa jamani mpk basii

  • @regansifael2833
    @regansifael2833 2 года назад +27

    kama kunakipengele umemskia whozu akisema afanyi mapenzi kwazia leo adi WEMA arudi gonga like apo au tuma namba yako ya luku nikununulia umeme hii ndo bongo

  • @K25795
    @K25795 2 года назад +60

    Nipeni likes za chibaba Na chimama

  • @gloriajulius829
    @gloriajulius829 2 года назад +17

    Amen mpate mtoto

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 2 года назад +65

    MIMBA YNGU ILITOKA SABABU YA STRSS MPKA LEO NAMULAHUM MUME WNGU😭😭😭😭ALLAH ANIJLIE NIPTE TENA MIMBA

    • @greatwolfrare
      @greatwolfrare 2 года назад +1

      Amen

    • @greatwolfrare
      @greatwolfrare 2 года назад +2

      Atakujaalia 🙂

    • @johnsonbagambi1908
      @johnsonbagambi1908 2 года назад +2

      Utapata mungu ni mwema kila wakati🙏🙏🙏🙏

    • @SADEE._
      @SADEE._ 2 года назад +6

      Stress aitoi mimba dada usimlaumu mwenzio Mungu tu hakupenda muombe akujalie mwengine

    • @halimamimarich3799
      @halimamimarich3799 2 года назад +2

      @@SADEE._ ujukuaa n strss ndio mn my dear ungenionaa vile nilkuaa nadhn ungeliaa 😭😭😭

  • @amirikiponda3993
    @amirikiponda3993 2 года назад

    Jah atabless sister Wema !! Whozzz kaza uishangaze Dunia .....kamtooo bhanaaa 🔥

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 года назад +10

    Iahaallah mungu amjaalie mwingine ishaallah

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 2 года назад +22

    Mungu majalie ampe mwengine jmn 😭

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 года назад +12

    Amina Mungu awasaidie!!

    • @vaultpkmr
      @vaultpkmr 2 года назад

      MUNGU abariki jmnb

  • @HopePatrick-bu5pv
    @HopePatrick-bu5pv Месяц назад

    Ameen namtabiria Kwa jina la YESU January 30 itakua na mwez mmoja

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 2 года назад +11

    Mi namuombea wema apate mapacha hata 4

  • @SarafinaKajiji-um3mm
    @SarafinaKajiji-um3mm 2 месяца назад

    Amen mungu mwema chi mama wetu mungu akutangulie so mwaa😍😍

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 2 года назад +11

    Hata huku kwetu wapo wengi ambao mimba zinaharibika mnooo awe mvumilivu na subira

  • @JacklineNehemia
    @JacklineNehemia 2 месяца назад +1

    😮Abdullah linafaa

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 2 года назад +12

    Mama mzazi athumani.... 😳Maisha haya...

    • @marychris8224
      @marychris8224 2 года назад +1

      🤣😂 tutaona mengi jamani🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

    • @nuraynmakoya803
      @nuraynmakoya803 2 года назад

      Eti jaman Hhhh makubwa haya wallah

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 2 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wzu fwala sana ila Kweli me mwenyewe nikiwa na stress kma ckuingia mwezin bc zitatoka au km cjamaliza na kesho au kesho kutwa ndo namaliza bc hazimaliziki🤣🤣🤣😂😂😂

  • @RichTemu
    @RichTemu Год назад

    Inshallah ❤️mwenyez Mungu amjalie apate nyingine

  • @suleimannanda9299
    @suleimannanda9299 2 года назад +1

    Kariba Mr othman 👏👏👏

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 2 года назад +10

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen mungu adhidi kuwalinda 🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤💜💜💜💜💜💜💜

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 года назад +7

    Hongera whozu

    • @sizelinamarolen1167
      @sizelinamarolen1167 2 года назад +1

      Whozu ni really mwanaume, inshaallah Mwenyezi Mungu awajaalie mpate mapacha🤲🤲🤲💞

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 2 года назад +7

    wema atamaliza wasanii wote wa tz!

  • @Teaching356
    @Teaching356 2 месяца назад

    Ya kweli haya!

  • @HawaDickson-d8n
    @HawaDickson-d8n Месяц назад

    Atimae mungu katenda mungu katenda

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂wewe mungu atajalia inshaallah yarabi halima kutoka kenya

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 года назад +3

    Mmmmmh mtihani mkubwa sana daaah.

  • @salamalsawaqi1206
    @salamalsawaqi1206 2 года назад +1

    Abdullah linakufaa❤️❤️❤️❤️❤️🇴🇲💋

  • @suleimannanda9299
    @suleimannanda9299 2 года назад +1

    Twalaalbadiru alaina❤️

  • @evilynbetha2350
    @evilynbetha2350 2 года назад +1

    Amen aki rusha kabisa upee wema furaha

  • @dottohami
    @dottohami 2 года назад +12

    Insha Allha mungu ampe nyingine

  • @benadetamasanja3966
    @benadetamasanja3966 2 года назад +2

    Kuna nguvu kubwa ktk msamaha, na pale mtu unapoona mtu mgumu kusamehe, daah Huwa it's too painfull....na Huwa inaleta negative impact Kwa wamama wajawazito

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 месяца назад

    Mungu awajalie san kaka

  • @JaklineFred
    @JaklineFred 2 месяца назад

    Jmn hongerenii 😊😊

  • @ZawadiMwabadilanga
    @ZawadiMwabadilanga 2 месяца назад

    Kaka Allah afanye wepesi kwa kweli

  • @franglynesifuna1054
    @franglynesifuna1054 Год назад

    Rusha kabisa ❤❤❤❤

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 2 года назад +11

    Chibaba wa chimama ❤️

  • @SarahMpwehuka
    @SarahMpwehuka 2 месяца назад +1

    Ila kiukwel kama kweli nimjamzito angemshukuru mungu tu alafu akajikabidhi mikononi mwa Mungu akishajifungua ndio akatuambia sababu hii kwakumbukumbu zangu sio mala yakwanza kuskia wema ni mjamzito na mwisho inayeyuka pia unapopata ujauzito hujui umebeba nini watu wanafurahia mtoto coment yangu isiguswe

  • @asmahabdallah9555
    @asmahabdallah9555 2 года назад +1

    Mungu awabless amin

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 2 года назад +1

    Amin Amin Amin

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 2 года назад +10

    Uongoo tuu,wema apate uja uzito anaotamani sana afu ajiachie Hadi uharibike? Wasanii mwapenda kiki sanaa

    • @terrychiku440
      @terrychiku440 2 года назад +1

      Si mara ya kwanza mimba zake kutoka

    • @sadasaid4408
      @sadasaid4408 2 года назад +3

      Sio kweli kiki wallah

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 года назад +4

      Wema hakuwa na mimba no uongo

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 2 года назад +3

      kumbe tupo wengi😳😳😳😳😳🚶🚶🚶🚶🚶🙋🙋🙋

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад

    Kumbe wozu mbaya sana kwanini unamuudhi wakati unajua anamimba kwanini unampa hasira au hupendi azaye hujui mwezio kila mara ikitoka unafanya kizazi kitakuwa chepesi halafu kitampa tabu jaribu usimpe stress na pia msitangaze mimba ni mpaka azaye ndo mtasema

  • @leamwalimu312
    @leamwalimu312 2 года назад +5

    Rusha baba rusha😂😂😂😂😂😂🏃🏽‍♀️

  • @MariaHasha-m6t
    @MariaHasha-m6t Месяц назад

    Mungu n imwema

  • @rashnibanaty7645
    @rashnibanaty7645 2 года назад +6

    Kapendeza na mtoto maskini mungu akujaliye

  • @AminaDivine
    @AminaDivine 11 месяцев назад

    Kwakweli nafurahi kusikiya kam wema alikuwa mujamuzito.mungu ataleta heri tena

  • @salamalsawaqi1206
    @salamalsawaqi1206 2 года назад +1

    Kwahiyo slim we chibaba😍🇴🇲

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc 2 года назад

    Fungeni ndoa acheni uzinifu unajisifia ujinga na unamtaja Yesu kwenye ujinga wako

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 3 месяца назад

    Zina ya wazi wazi huyu anajitangaza kbsa yaan hana aibu kbsa innalillahi wainna ilaihi rajiuun

  • @HalimaFadhili-qy7mp
    @HalimaFadhili-qy7mp Месяц назад

    Mashaallah

  • @NeemaJuma-t4g
    @NeemaJuma-t4g Месяц назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @aminanyondo7481
    @aminanyondo7481 2 года назад +10

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣whozu anajaza bundles

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Месяц назад

    Mi mwenyewe nimefurahi

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 2 года назад +1

    Tatizo mnatangaza kilakitu Acheni maisha yamitandao ktk majaaliwa yamungu.

  • @monicajoseph2203
    @monicajoseph2203 2 года назад

    Mungu siyo asiman

  • @Nayra976
    @Nayra976 2 года назад +2

    Whozou bila miwani unakuwa mbaya😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 2 года назад +1

    Twende zetu home tukatambike utaenda?

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 года назад +4

    Dogo nenda gym unaanza kunenepa, utapoteza uhandsome wako usipoangalia na not good for your health pia

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 года назад +4

    Mungu awajaalie

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 2 года назад +1

    Uongo huo ni uongo bhana

  • @kjah345sophialuvuno9
    @kjah345sophialuvuno9 Месяц назад

    fasta😅 asumani 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jan6703
    @jan6703 2 года назад +8

    Maswali mengine bwana!! Eti plan za kupata mimba nyingine ziko 🙄🙄

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 года назад +6

    Whozu bwana😅😅😅

  • @donisiapeter2396
    @donisiapeter2396 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 Ni mwendo wa kurusha tu 🤣

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Год назад

    Wema amenipa msanii wauu

  • @moshimnyeda9435
    @moshimnyeda9435 2 года назад

    Whozu jazii bendi sana huyu chalii 🤣🤣🤣🤣

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 2 года назад +1

    Apo kwenye bando🤣🙌

  • @woldentyger6558
    @woldentyger6558 2 года назад +2

    😂😂😂 wozu 🙌

  • @mwajumajuma2999
    @mwajumajuma2999 2 года назад +1

    Uwongo uwongo uwongo uwoo

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 2 года назад +2

    Kifurushi...🤣

  • @tantinemalenga5819
    @tantinemalenga5819 2 года назад +11

    Amen 🙏🏿 rush’s Mungu atasaidia kaka nimeipenda iyo❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @quenielizzie9724
    @quenielizzie9724 2 года назад +1

    Rusha baba uwakilishe wanaume wa dar

  • @bhokewarioba3224
    @bhokewarioba3224 2 года назад

    Penda Sana wema na whozu napenda Sana couple yenu

  • @salmasaidi5359
    @salmasaidi5359 2 года назад +10

    🤣🤣🤣Anarusha

  • @ZawadiMhono
    @ZawadiMhono 5 месяцев назад

    Kweli jaman utapata 2 wala uxjal 2 mwaya

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 2 года назад +1

    Nyie huyu mtoto wa kiume ni wahovyo etiii

  • @niahussein5387
    @niahussein5387 2 года назад

    Whozu umenipa raha sana🤣🤣🤣

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 2 года назад +2

    Iyo mimba ya miguu

  • @sherryrocky3067
    @sherryrocky3067 2 года назад

    Inshaalla rabilalamin🙏🙏🙏

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 года назад

    50 kwa 50 kuamini

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 2 года назад

    Umalaya tu muwowe muishi mkiwa halal sio vizuri kuzini. Allah hapendi

  • @marymolel616
    @marymolel616 2 года назад +7

    Mmmh ety stress inatoa mimba mimi nakataa kama imetoka kweli wema aende hospital akachekiwe labda kuna tatizo lililotoa huo ujauzito sio mawazo

  • @yasminkituku3743
    @yasminkituku3743 2 года назад +1

    Chibaba unamambo🤣🤣

  • @mauaabdullah7349
    @mauaabdullah7349 2 года назад

    Hahahahaa ufanyi mapenzi kuanzia leo sio

  • @sarahissa5796
    @sarahissa5796 2 года назад +1

    Yana mudaaa?..!🥱🥱....😂😂😂...nshauona uongoooo hpo

  • @norasalum6680
    @norasalum6680 2 года назад +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila whozu comedy

  • @rochenyambura7990
    @rochenyambura7990 2 года назад +2

    Huyu kalewa😂😂😂🙌

  • @wizfbeb
    @wizfbeb 2 года назад

    Halafu we Wozu acha kutufanya sisi hatuna akili

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 Месяц назад

    Mi namuombea wema apate mtoto

  • @Officialtbb_
    @Officialtbb_ 2 года назад

    whozu acha usee, Mimba itokee wapiii???

  • @Mina.15
    @Mina.15 2 года назад +2

    It could be from to much drinking alcohol 🍷

  • @aishaabdallah9327
    @aishaabdallah9327 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unarushaaaa

  • @triplep716
    @triplep716 2 года назад

    Ww ulisikia wapi

  • @Realme-xm3sh
    @Realme-xm3sh 2 месяца назад

    Lingumbalu ilo liwema. Limetoa mimba sn mpak kizazi kimechoka kupokea mimb tena.nalist ya wanaume alopita ninyingi mno nakila mwanaume anasaiz yake bana saangap atashik mimba km sio kijifarij tu😂😂aya bana si dua njema twamuombea kwanza apate ndoa alaf ndo mimba