TGUN TOZZ nakukubali sana japo mwaka huu ulikuwa wetu sema show ya mwisho tulifel kwenye kuchangua wimbo wa mwisho iyo ndo ilikuwa sababu ila unaweza sana🫂
Naomba ntumie tafsida zakijuba... Qbabaqe wajomba wameua kinoma Noma 🔥🔥🔥Hawajamaa nikweree... Madame butterfly big up I dea Yako ya BBS ni nzuri... Master j unyama sana Mchomvu & Salama appreciate ✌️
Ngoma ya fid ni nguumu But skia vile imekainishwa🥰🥰🥰🥰🥰Respect wanangu
Tigun akikanyaga nyimbo sikuiz lazima iingie ontrending kama umeliona hilo toa like hapo 😂🙌🙌
Noma nawakubari sana
Kabisa an
This Tgun boy is going far ako na fans wengi kuliko ata mwenye aliwin 😄😄😄 great talent👏👏
Hili li duetttt Kama unelirudiaaaa Mara Tatu gongaaaaa like hapaaaa aseeeee mbona wana hatariiiii hiviiiii bombaaaa sana
TGUN for life mameeen
Nimeludia sana bando lenyewe la jero😂😂
Hii nimeirudia zaidi ya kumi kaka
Mimi narudia Kila siku
Ni hatariiii sana
Huwa nalia nikiona vipawa kama hivi vibataabika ila ni maisha. Mungu awabariki sana BSS hii historia itabaki miaka hata ya 2080
T GUN brother is fire unajuaa sana kiukwel mmetisha brother's
Tgun TOzzy will win this huyu ananipea goosebumps☺
Nlijua ni me tu kumbe tuko wengi jamaa wamenipa goosebumps
Namuombea MUNGU ampe ushindi anajua sana
Hiv majaji mbon wanaongea short and clear wakat me huko had goosebumps jmn
Wauni sio watu wazuri uyu mwamba ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Dah bado nasikiliza hii nyimbo,, really was fantastic 🎉 12/9/2024
Hii duet amazing wowww big up asagwilee never seen👀 b4!!! Tgun yaani all the best!! You make this bss different 🏆🏆
TGUN TOZZ nakukubali sana japo mwaka huu ulikuwa wetu sema show ya mwisho tulifel kwenye kuchangua wimbo wa mwisho iyo ndo ilikuwa sababu ila unaweza sana🫂
Master J amekubali,moto sana.watching from Kenya,Madam Rita oooyeee
Huyu jamaa ni the best rapper natamani kupita uwezo wake
Wote ni wamotooo hatari
This Boys Means Bizness 🙌🙌🙌💪. Wishing them all the best during the final. They killed
daaaah huyu mshkaji wa ndotoni anaua sana 😜🥰
Mwamba bado tuponyumayako Yani mumetisha kiakili🔥🔥
That's is God help them to reach their duties
Ilikuw 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sharap kwak tgun tozzy 🙌🙌🔥🔥🔥🔥
hiseee nomaaa kitu hiyo 👏👏👏👏👍👍👍💯💯💯💯♥️♥️♥️♥️
Jamani Asagwile anajua sana duh acha Tgun ni kiboko
Ozaaa weee TGUN 🙆🙆🌟🌟🌟
mwamba huyu hapa kutoka swax❤❤❤
BSS this season....has full apprieciation💥🧨
Tgun always yupo kikaz
Naomba ntumie tafsida zakijuba... Qbabaqe wajomba wameua kinoma Noma 🔥🔥🔥Hawajamaa nikweree... Madame butterfly big up I dea Yako ya BBS ni nzuri... Master j unyama sana Mchomvu & Salama appreciate ✌️
Broo Tgun tunakuelewa sana
Hii duet jamaa walijipanga sana Aisee
Walh walh walh Wametishaaa sanaaa Daah wanaweza sana
My favorite one Tgun 🔥🔥gud combination guys
Aiseeeeeee kimbembe kipooooo hawa watu ni fireeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂 all the best ma men
Hawa daaahhh
Hivi niseme nn sasa
🙌🙌🙌🙌🙌
God bless your duet i like your performance.
Wakumwitu tgun tozy sumbawanga hom boe 🔥🔥🔥
Jaman jaman asangweli manina kabisa alafu tgtoz mtatuua jamaa
Asagwile bro hiyo sauti, mtukuze nayo mungu bila kuchoka, bila kukoma, ipo siku
Utabiri ulitimia
Kwani hapo anamtukuza shetani
Asagwileeee👏🏼👏🏼👏🏼💥
Asagwile ni fire
Congratulations keep it up good job 🎉❤❤❤
Daah nmependa sana
Nyie watu duh❤
Mimi shabiki Yako kinyamaaaaaa dogo unatisha 🔥🔥🔥🔥🔥
Asagwile brother ww n 💥💥
Duet imeweza more love
Approved
Nimeikubari hii Duett ila sidhani kama inashinda hii hapa Aise
Majaji mmenikoshaaaa❤️❤️
Tgun yko vzr xanaaa bro hongera all de bxt
Nimewamiss sana❤
Hii combination ni Zaid ya fire
umetisha kk omba mungu utafikia malengo
Mazeee ukipata master j na salama we mkali
Toka Unitalent T Guny ni mnomaaa, ila asagwile nae mtu mbad.
Tgun mwamba .yani huyu jamaa nampenda
TGUN tozzy hatari broooo
Nomaaaaaaaaa sana hawa watuuuuuuu wanajua
one love for tzeee
Dah mmeuwaaaa❤️❤️❤️
Wahuni wametisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tgun wa trending🙌
nyanda za juu kusini✌️✌️✌️✌️✌️❤️❤️❤️
Respect broders
Wanajua sanaaaaaaaaa
Kila siku zaicheki iiiii🌟🌟
bonge moja la performance
Bunduki💥
Huyu dada yuko wapi? Naendelea kumtazama nampenda
Best collaboration sure
Asagwile Kam zot Zak💥
Muzik n hisia t gun tozzy anaimb kw hicia sn big up🙌💣💣
Duet Kali sanaaa😂
Nmeirudia leo hii kitu nitamu nyieeee😘😘😘
I like this guys
Simba wanga huu saut zuri sana jamani
Jamaa wanajua
The ending part is amazing
Best performance
I love it Nice
Asagwileee 🔥🔥
Tgun anajuwa san
Dada ake Tgun Niko hapa
Hahahaha ushindi wenu huuu familiaaa
Asagwile noma
😅😅😅😅mpka master kainuka wew
Asagwile Mwambaa sanaaa
Wametisha👌👌👌👌👌
Yani ata sielewi niwe upande wa Nani coz wote ni 🔥
Mumeuwa 🔥🔥🔥💯
Tisha Sana mabroooo
Viziri Sana
Oya so poa🔥🔥🔥🔥
Hatarii sana
Daah🔥
Hiii Ngoma namna ilivyonoga wangeweka verse tatu moja aijatosha kabisa
Aiseeee🤙🤙🤙👌👌👌👌👏👏👏👏👏👏
Sensational 😮
Unyamaaa mwingi
This Gun is from Russia 🙌🙌
Eti Tgun ndo mshindi wetu wa season 13 eti kwenye ndoto hakii
Noma sana
TGUN 🔥🔥💣
So nice
master niko upande wako hahaha tozzy tgun ni balaaa
Wakikosa ubingwa uniite mbwaaaaaaa