Kenya maa shaa Allah mashekh mnazunguka sana kuwalingania watu wajue haki itakuwa nchi yenye waislamu wengi ❤❤❤ kulikoni Tanzania mashekh hawatembei mtihani
Islam continues to gain momentum and victory across the world. Even after the world pumping hatred of Islam through the media many people started researching on Islam and here are the fruits mashallah.
MASHAALLAHU TABARAKALLAHU FIYKUM ahlu STRAIGHT PATH DA'AWAH. MUWAPATIE Na miswala pia ambayo hata wakiwa makazini ,majumbani ama popote mbali Na misikiti watakuwa wakiswali Kwa masaa yanayo takiwa INSHAALLAHU.Kwa kufanya hivyo itakuwa pia mumewabainishia kwamba ALLAH SUBHANAHU WATTAALLAH popote huabudiwa alimradi tu! ni pahala NADHWIFU PAWE!. PIA wakumbusheni kwamba YEYE! (MUNGU) ametuhusia kwamba ARDHI YAKE ni Kubwa Na Pana, Na popote YEYE anaweza kuabudiwa ama kuombwa IPASAVYO!!. Shukran lakum wabihaadhihii QALIYL ALLAH yubarikikum bijuhuudikum wa kheyrun MINNAALLAHI WABARAKATAN INSHAALLAHU AAMIN!!!.ma'assalaam.
Masha Allah, Allahu Akbar. Allah azidi kuwaongoza Allah Ummah Amiin, Allah awaonyeshe haki wasio ijua haki na waweze kuifuata na awaonyeshe shari waijue kua ni shari na waweze kuiepuka Amiin Thumma Amiin
Mashaallah tabarakallah; Allah akujaze kheri na akulipe mema duniani na kesho akhera, hakika unafanya kazi kubwa sana kuwalingania na kuwaingiza ummah huu katika dini ya haki; Allah akulipe jannah
Mashaa llah mungu awajazi wallah na Huyo dada alievaa niqab mashaa llah amependeza Sana mpaka anitia wivu ashinda dada zetu walio zaliwa na sheikh mfuatilie kma Hana bwana tujue wallah
Assalam Alleykum Warakhmatu-LLAH Wabarakathu. ❤Mashaa ALLAH ❤ Kaka yetu amesilimu Alhamdhuli-LLAH. Hakika ameshika kishiko kilicho madhubuti na Njia iliyo Nyooka, Ila KAZI BADO. Maadamu ameamua kufuata dini, basi hii ni SEHEMU YA KIROHO. UISLAM NI MFUMO KAMILI WA MAISHA💯. Hivyo basi Ni muongozo katika Kila nyanja ya maisha. KAMA ULIVYO UISLAM NA MUONGOZO WA IBADA ZA KIROHO, NDIVYO ULIVYO KATIKA SIASA #khilafah . ❗SASA AWACHANE NA SIASA ZA KIKAFIRI #democracy ❗ DEMOCRACY NI MFUMO WA 👹KIKAFIRI👹:, NI HARAMU KUUPOKEA,NI HARAMU KUUTABIKISHA AMA KUUFANYIA ULINGANIZI(campaign). Sasa imebaki aongozwe na kuonyeshwa jukumu lake la KULINGANA kurudi kwa SAITWARA YA UISLAM #khilafah, ili upate kuhukumu kwa aliyoteremsha ALLAH TAALAH na Ar'Rasool. #KhilafahIsTheAnswer #democracyIsKufr #ArmiesToAqsa #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah
Mashallah uctadh wetu hakika Allahu ni mjuz/ muweza akujalie umri mrf uzid kupigana jihad ya kuutangaza dini yetu tukufu ambayo haina shaka ndani yake. Idhaa Aradallah.Thumma Allahumma Amiiiyn
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh mm nimependa sana mashekh wetu nawafatilia sana ❤❤❤❤nauliza je Kuna shule Mombasa ya streigth path daawah napenda mnavyo waelimisha mashallah Allah awajaze heri inshallah
Yes watu wanaangalia watu waislamu,hawaangalii uislamu ,lau kama angesoma tu quran Sura baqara tu ukiisoma wee hata hautashawishiwa na mtu Utaukubali uislamu mwenyewe, utapiga simu na utaka kisilimishwa
Kenya maa shaa Allah mashekh mnazunguka sana kuwalingania watu wajue haki itakuwa nchi yenye waislamu wengi ❤❤❤
kulikoni Tanzania mashekh hawatembei mtihani
Islam continues to gain momentum and victory across the world. Even after the world pumping hatred of Islam through the media many people started researching on Islam and here are the fruits mashallah.
Allahu akbar
Yani wengine tumezaliwa kwenye Uislamu na kusoma twajua lakin kuhifadhi bure kabisa
Subhaanallah tutakuja kuulizwa
MashaAllah MashaAllah MashaAllah, na wengine walo potoka twawakaribisha kwenye dini ya haki❤
Mash Allah ndugu zetu ktk Imani Allah awaongoze na sisi atuongoze sote na Mashekhe wetu Allah atawalipa.
Amiin
MASHAALLAHU TABARAKALLAHU FIYKUM ahlu STRAIGHT PATH DA'AWAH. MUWAPATIE Na miswala pia ambayo hata wakiwa makazini ,majumbani ama popote mbali Na misikiti watakuwa wakiswali Kwa masaa yanayo takiwa INSHAALLAHU.Kwa kufanya hivyo itakuwa pia mumewabainishia kwamba ALLAH SUBHANAHU WATTAALLAH popote huabudiwa alimradi tu! ni pahala NADHWIFU PAWE!. PIA wakumbusheni kwamba YEYE! (MUNGU) ametuhusia kwamba ARDHI YAKE ni Kubwa Na Pana, Na popote YEYE anaweza kuabudiwa ama kuombwa IPASAVYO!!. Shukran lakum wabihaadhihii QALIYL ALLAH yubarikikum bijuhuudikum wa kheyrun MINNAALLAHI WABARAKATAN INSHAALLAHU AAMIN!!!.ma'assalaam.
Maa shaa Allaah only one month na amehifadhi hizo sura ,Subhanallaah May Allaah keep this brother steadfast in the deen of Allaah and grant him janna
Mashallah
MASHALLAH unajitahd sana katka din ALLAH akuongoze
Kwakweli munafanya kazi kubwa Allah atawalipa inshaallah
Allahuma Baarik...May ALLAH help them to be firm on this deen
Maa asha ALLAH , MUNGU awajalie wepesi kwa kuisoma dini kwa wote waliosilimu amiin
Alhamdulillah nimefurahi kuona wengi wanaingia katika uislamu ALLAH awaongoze na kutuongoza sote AMEEN ❤
Allah akubariki ustadh Ramadhan kurya kwa kazi unayo fanya ni ngumu na ni rahisi kwa Allah
MashaAllah Tabarakah Rahman i love you all for the sake of Allah
Masha Allah, Allahu Akbar. Allah azidi kuwaongoza Allah Ummah Amiin, Allah awaonyeshe haki wasio ijua haki na waweze kuifuata na awaonyeshe shari waijue kua ni shari na waweze kuiepuka Amiin Thumma Amiin
Maa shaa Allaah, ni wengi waliosilimu, may Allaah keep them steadfast in the islam deen,and grant them the highest rank in janna
Masha Allah sheh Abdul atif Abdul kareem❤
Mashaallah tabarakallah; Allah akujaze kheri na akulipe mema duniani na kesho akhera, hakika unafanya kazi kubwa sana kuwalingania na kuwaingiza ummah huu katika dini ya haki; Allah akulipe jannah
Mashallah 😢😢😢😢
Mashaallah hongereni Allah azidi kuwapa nguvu ndugu zetu pamoja nasi atupe Mwisho mwema atutie peponi Amin
Mashaallah nawapenda kwa AJILI ya Allah waslim wote
Mashallah tabarakallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu atujalie imani thabith katika dini yetu ya Islam amin
Masha Allah may Allah bless you and your family Insha Allah ustadh Ramadan ur doing amavoules job...
Ma sha Allah tabaraka Rahman wamependeza waislam in Sha Allah tukutane peponi kw rehma zake muumba mlenzi wetu nae n Allah
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah Akbaar. Karibuni ndugu zetu ktk dini ya haki na ya ukweli
Ma sha Allah tabaraka Rahman.nmefrai sana kuona walioslim hujifunza nakufuata dini y haki
Maa shaa Allah ❤
MashaAllah AllahuAkbar Alhamdulillah ☝️🕌♥️♥️♥️
Manshallah mwalimu wetu Allah aendelea kukupea maisha marefu
Mashaa llah mungu awajazi wallah na Huyo dada alievaa niqab mashaa llah amependeza Sana mpaka anitia wivu ashinda dada zetu walio zaliwa na sheikh mfuatilie kma Hana bwana tujue wallah
MashaAllah hata nimetamani niwepo hapo kwenye uwanja ..
Maa shaa Allaah, waah huyo brother amesoma sura sabi isma maa shaa Allaah, hongera sana 😢😢hadi nahisi emotional
MashaAllah Allah awa zidishie elimu na hikima,Aamin.
Inshallah shehe mungu akuzidishie kwa dawa
Mashallah Mashallah Mashallah ❤❤❤ Mwenyezi Mungu Atuongoze
Allah'hu Akbar Allah'hu Amber❤❤❤🎉🎉🎉.
Mashaallah tabarakaallah
Assalam Alleykum Warakhmatu-LLAH Wabarakathu. ❤Mashaa ALLAH ❤
Kaka yetu amesilimu Alhamdhuli-LLAH. Hakika ameshika kishiko kilicho madhubuti na Njia iliyo Nyooka, Ila KAZI BADO.
Maadamu ameamua kufuata dini, basi hii ni SEHEMU YA KIROHO. UISLAM NI MFUMO KAMILI WA MAISHA💯. Hivyo basi Ni muongozo katika Kila nyanja ya maisha.
KAMA ULIVYO UISLAM NA MUONGOZO WA IBADA ZA KIROHO, NDIVYO ULIVYO KATIKA SIASA #khilafah .
❗SASA AWACHANE NA SIASA ZA KIKAFIRI #democracy ❗
DEMOCRACY NI MFUMO WA 👹KIKAFIRI👹:, NI HARAMU KUUPOKEA,NI HARAMU KUUTABIKISHA AMA KUUFANYIA ULINGANIZI(campaign).
Sasa imebaki aongozwe na kuonyeshwa jukumu lake la KULINGANA kurudi kwa SAITWARA YA UISLAM #khilafah, ili upate kuhukumu kwa aliyoteremsha ALLAH TAALAH na Ar'Rasool.
#KhilafahIsTheAnswer #democracyIsKufr
#ArmiesToAqsa
#WorkForChange
#WorkForPeace
#WorkForKhilafah
mashallah❤❤❤
Mashaallah Tabaraka Rahman. 👌 I
Mashaallah wamependeza wote🎉❤🇲🇿🇲🇿
Mashaallah
ma Sha Allah baraka ALLAH ❤❤❤❤❤❤
Mashallah barakallahu fiikum
MashaAllah TabarakaAllah 💪
Shekh Allah akulipe kheri Kwa kazi kubwa unayoifsnya
MASHAALLAH ♥️ TABARAKALLAH ❤🤲🤲
Masha Allah
Alhamdulillah Kazi Safi Ramadhan
Masha'allah Masha'allah
Mashallah uctadh wetu hakika Allahu ni mjuz/ muweza akujalie umri mrf uzid kupigana jihad ya kuutangaza dini yetu tukufu ambayo haina shaka ndani yake. Idhaa Aradallah.Thumma Allahumma Amiiiyn
Masha allah❤❤
MashaAllah tabarkallah ustadh
Manshaa Allah ❤ ❤ ❤
masha Allah......wallahi ni furaha sana...Allah...awafanyie wepesi
MashaAllah
Masha Allah masha Allah ni mefurahi kutazama iyi video / tafadhali Sheih muwemnatiya jina za inchi / asante kutoka Burundi buyenzi
Kenya
Mashallah tabarak rahman ❤❤❤
MAAA SHAAAA ALLAH
Maasha allah
MASHAALAH
True religion from Allah
manshaAllah, tabaraka Allah ❤❤
MashaAllah🌹🌹🌹🌹❤❤❤❤
Mashaaallh
Ma shaa Allaah
Mashaallah 🙏🙏🙏
MNSHALLAH Allah awabarikie
Mashallah mungu akujalie
مشالله تبارك الله ❤❤❤
Mashalah
Mashallah tabaraka Allah yani nafatijika nikiona hizi video hata kama nmeudhiwa mashallah
Napeñda sana harakati zako shekh
Allah yakulipe na yawafanye wazazi wako wawe waislam inshallah
Allahuma ameen 🤲
Takbir
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh mm nimependa sana mashekh wetu nawafatilia sana ❤❤❤❤nauliza je Kuna shule Mombasa ya streigth path daawah napenda mnavyo waelimisha mashallah Allah awajaze heri inshallah
Mashalah 🇹🇿
mash,allah
Subhana Allah.
Mashalah ndugu kheri
Masha Allah takbir Allah Akbar
Maa shaa Allaah
mashallah❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
maahallah
Nawapenda kwaajil ya Allah ❤
Allah kupe furaha na ahli yako awaongoze njia ilio nyoka
Allhu Akibaru
mashallah Allah akuzidishiye shekh
Hogera walim ngu Allah amtagulie Kila wakati
As salaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuh Eid Mubarak ustadh Ramadhan,
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala sauti mwalimu Ramadan hakuna
Sabir jameel
The first boy he was open minded, he did reserch
Nimeipeda tuleteeni marakwamar
Ni jitihada zako tu,za kufuatilia straight path dawa,ipo daily
Yes watu wanaangalia watu waislamu,hawaangalii uislamu ,lau kama angesoma tu quran Sura baqara tu ukiisoma wee hata hautashawishiwa na mtu Utaukubali uislamu mwenyewe, utapiga simu na utaka kisilimishwa
Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nika kumbuka surah An_Nasr