SHK.RUSAGANYA WAISLAMU ZINDUKENI MAMBO MATATU ALIYOYATABIRI MTUME YAMESHATOKEA MPAKA TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #ShkRusaganya

Комментарии • 30

  • @rahmaalkhatib9160
    @rahmaalkhatib9160 2 года назад +6

    Mashaallah mawaidha mazuri sana Allah akuweke sheikh wetu uzidi kutupa elimu

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 года назад +1

    Subhanallllah aaalllah atupe mwisho mwema yarab

  • @shabaniamisi7093
    @shabaniamisi7093 2 года назад +2

    Allah aku zidishiye elimu sheikh kwa mawahizhi nzuri saana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад +5

    Allhamdulillah ya Allah kwa kumuumba shehe wetu huyu, Allah kwa huruma wako mmpe umri mlefu wenye heri na yeye nasi tuzinduke lnshallah

  • @nsengimanalaurent3933
    @nsengimanalaurent3933 Год назад

    Very sensitive words,may Allah bless you abundantly and i wish you to be healthy and wealthy with your family.Volume up.

  • @ramaugumba3168
    @ramaugumba3168 Год назад

    Takbir...................Allahu akbar

  • @firo0ozdawah378
    @firo0ozdawah378 3 года назад +1

    ماشاءالله

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Год назад

    Amiin

  • @ayshahamisi1240
    @ayshahamisi1240 2 года назад

    Allah akulipe heri shekh wetu

  • @khadijamzee682
    @khadijamzee682 2 года назад +3

    Turudi kwa Allah kweli binadam wa ss tuna mitihani mikubwa Allah atulinde na kutuongoza Aamin

  • @wanusuleiman169
    @wanusuleiman169 3 года назад +3

    Allaah akulipe kilalakheri shekhe wetu uzidi kutupatia elimu bora kama hii .

  • @neemahassan5726
    @neemahassan5726 10 месяцев назад

    Allah atunusuru wote waisilam

  • @peterluppy8843
    @peterluppy8843 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @khadijamzee682
    @khadijamzee682 2 года назад +3

    Tuombeeni dua kweli dunia watu wa ss tunawkt mgumu Allah atuhifadhy

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 Год назад +1

    Katika mitume sheikh huyu ni mkali kwa ajili ya ALLAH Kama nabii MUSA (a.s) na katika maswahaba kama UMAR(r.a) ila nisichokijua ni msimamo wake kimatendo ALLAH ampe msimamo wake uwe kimaneno na kadhalika kimatendo . Wallahi mtu Kama huyu nampenda kwa ajili ya ALLAH lakini ile nikunyoa ama ni asili yake ya kutokuwa na ndevu kama kwa bahati mbaya ni kunyoa heshima ingekwisha

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 года назад +2

    Swadakta Sheikh Rusaganya

  • @niyindereraferdinand
    @niyindereraferdinand 2 года назад +1

    Allah akuongezeye umulimurefu

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 8 месяцев назад

    Nkweli kwetu Kenya yafanyika inalilahi waina lilahi rajuun

  • @ezekiellaizack3465
    @ezekiellaizack3465 Год назад +1

    Hi🙏🙏😂😂🤲🤲🤲🤲🤲👏

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад +2

    WAKULAUMIWA WANAO ONGOZA NCHI VIONGOZI WAOVU MADHALIM WAHUNI MAJAHIL MAKAFIRI WANAFIKI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN

  • @lukullikiwamba6494
    @lukullikiwamba6494 2 года назад

    Maneno mazito sana natumai watu watayazingatia anasema ukweli mtupu nilikuwepo kariakoo iyo miaka anayosema watu walikuwa na Neema sana

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 года назад

    UNAONGEA UKWELI KABISA. INABIDI WAUMINI WATOE SADAKA KWA AJILI YENU. BASI TUNAOMBA MUNGU AWABADOLISHE MIOYO YAO WAUMINI ILI WAWEZE KUCHANGIA MAISHA YA MASHEKH NA MAIMAMU.

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 года назад

    Kwelikabisa shekh maneno yako

  • @BasiliaAvelinoMarcos-jt8is
    @BasiliaAvelinoMarcos-jt8is Год назад

    Dalili ninyini awamini binadamu ngumo

  • @YohanaJoshua-kr3kw
    @YohanaJoshua-kr3kw Год назад

    Ndo madhala ya kuanzisha dini ya uongo

    • @RiyadhTvOnlineZnz
      @RiyadhTvOnlineZnz  Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 Mungu akusamehe hujui ulisemalo

    • @cheapunderage8228
      @cheapunderage8228 11 месяцев назад

      Ww kafiri tyu..iv ujajiuliza tu ww ulipo apo km fiksi