Jazaakallah Ikhair shekh Ramadhan Mwenyeez Mungu akusimamie katika kazi ya dawa kwa kuendelea kuutangaza uislam kwa kutufundisha hata sisi tulio waislam nilitamani sana uje tena Tanzania tunakupenda sana kwa ajili Allah ndugu yetu katika imani
Allah akulinde na kila aina ya shari na Allah akutangulie kwa kila hatua Sheikh RAMADHAN AMEEN. Ya Allah tulindie Masheikh wetu wote duniani na uwazidishie umri ulikua na manufaa na elmu ilikua na maarifa ili tuzidi kunufaika AMEEN YARABB
Masha Allah karibu sana Tanzania yote pia Mola akujaalie ufike na Dodoma uislam upo nyuma sana hasa pale tulihamia sisi panaitwa Chahwa tunapambanana tujenge msikiti juhudi Yako kwa ajili ya Allah tunahitaji ndg yetu
Alhamdulilah. Hakika Allah akupe umri mrf uzid kufikisha dawaa na akuondolee vikwazo uweze kuendeleza dini ambayo haina shaka ndani yake. Rabbana Ayaa Rabbana.
Allah akujaalie kila la khairi na akupe subra na uwezo wa kuendeleza daawa na akujaalie IKHLAS
Mashaallah tabarakallah mwenyezimungu azidi kukuongoza vyema 🤲🤲🤲🙏🙏
MashaAllah Allah akupe maisha marefu akuondolee husda
Jazaakallah Ikhair shekh Ramadhan Mwenyeez Mungu akusimamie katika kazi ya dawa kwa kuendelea kuutangaza uislam kwa kutufundisha hata sisi tulio waislam nilitamani sana uje tena Tanzania tunakupenda sana kwa ajili Allah ndugu yetu katika imani
Maashallah Allah awape kila la kher. Wakenya tumekumiss kinyongoli sheikh wetu twaomba mawaidha yako nizamanì umetembelea kenya
Juhudi zako sheikh Ramadhan ni kubwa saaanaa na INSHAALLAH ALLAH akujaalie janah.
Allah akulinde na kila aina ya shari na Allah akutangulie kwa kila hatua Sheikh RAMADHAN AMEEN. Ya Allah tulindie Masheikh wetu wote duniani na uwazidishie umri ulikua na manufaa na elmu ilikua na maarifa ili tuzidi kunufaika AMEEN YARABB
Allahmdulilah mashalla Mungu akubariki sana Ramadan kuria ❤kwa kazi yako zuri 😍
Napongeza juhudi zako ndugu Ramadhan , Mwenye Ezi Mungu akuzidishie Nuru na akulinde katika kazi kubwa ya Dawah.
Allah akuongozee family yako na family za ndugu zetu wote katika uislamu
MashaAllah naomba ALLAH atuzidishiye Imani waislamu wote tuipende dini yetu natuwe niwenye kupendana amini yarabb amin
Mashallah mashallah mashallah ❤❤❤
Masha allaah shekh ramadhan Allah Akulinde kwa kila hatua❤
Asalam Alaykum, Masha Allah Allah Ampe shehe wetu umri Amin Amin Amin
Masha Allah karibu sana Tanzania yote pia Mola akujaalie ufike na Dodoma uislam upo nyuma sana hasa pale tulihamia sisi panaitwa Chahwa tunapambanana tujenge msikiti juhudi Yako kwa ajili ya Allah tunahitaji ndg yetu
Tunakupenda sana kaka Ramadhani ALLAH azidi kukupa nguvu na afya na sisi katika kueneza dini yetu
Mashallah sheikh Ramadhan Allah akuhifadhi akupe umri
Mashaallh ❤️🤍 Ustadhi Ramadan 🎉🎉🎉
Mashaallah sheikh ramadhan,Allah akulipe janatul firdaus inshaAllah
Masha Allah Ramadhan Allah aku lipe pepo ln sha Allah
Masha Allah
Karibu sana shk ramadhan kwetu tz mm nakupenda sana nafurahishwa na unachokifanya hua nakufuatilia sana Allah akulipe pepo ya juu
Allah awajalie wazazi wake niwenye kufa wakiwa waislam
Mashaallah mashaallah sheikh Ramadhan kazi yko mzr san Mungu anaona
Maa shaa Allah, Tunakupenda kwa ajili ya Allah.
Jazak Allah khair maalim Ramadan
Alhamdulilah. Hakika Allah akupe umri mrf uzid kufikisha dawaa na akuondolee vikwazo uweze kuendeleza dini ambayo haina shaka ndani yake. Rabbana Ayaa Rabbana.
Mashallah karibu sana Tz tunakupenda sana Ramadhani kuria
Tunakupenda sana Ramadhani kwa ajili ya ALLAH.
masha Allah
mashallaaah ❤ mashallaaah ❤ mashallaaah ❤
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Allah akuhifadhi sheikh wetu
allaah akupe umri mrefu mwisho mwema
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
Mashalla Allah ❤❤❤
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
Masha Allah Sheikh. May the almighty Allah grant you jannatul Fardosa and bless your work here in dunia.
Alhamdulillah ,may Allah reward you shehk wetu
Allah akupe Afya njema shekh
Allah akuhifadhi na atufushe kwenye uislam
Masha Allah Ustaz
Masha ALLAH Tabarakallah ❤
MashaAllah brother
Nami naungana nao kukuombea aisee uishi San shekh wetu aaaamin
ASALAMU alaik, tunakukaribisha ufike Zanzibar kaka Ramadhani.
Mashallah Allah Akbar ❤
Jazzaka Allah kheri
Mashala mungu amulidi kwakilajabo
الله يجزيك الخير يا شيخ رمضان
MASHAA ALLAH ❤
Jazaakallah khayrii ❤
Masha Allah Allah Maak
mashallah
Asalam aleykum nduguyangu katikaiman Ramadhan kurya karibu pia kilmanjaro Inshaalah
Mashaalah mungu atakulipa inshallah
Maashallah
Mash Allah
Kiswahili chako Safi sheikh wala usiwe na shaka. Twakupenda kwa ajili ya Allah.
MASHALLAH 🤲 🤲 RAMADHAN
Mashaa ALLAH
TABARAKALLAH ♥️❤️🙏🙏❣️
Peace and love ❤
Jazakallah khairan
In shaa Allah tunaomba mtuchapishie na kwa lugha ya kiengereza.
Njoo na Zanzibar
Mashaallah
May Allah guide your Father my Brother ❤
Jazaakumu Allahu khaira
❤❤
MashaAllah...... Ramadan tutapataje copies ya kitabu hicho..... In which book shops in kenya
Asalam aleykum Mwalimu usisahau uunganishe kule mbeya
Dar
Jazakallah lkhair sheikh,kwa Zanzibar tunakipata wapi hicho kitabu,na kwa gharama gani?
Mashallah tunakukubali sana Ramadhan
Tutawatangazia inshaAllah
Toka mazambique allah a wape maicha marefo kua kutangaza dini ya haki mbele ya allah!
Tutafutie watu wa Legio Maria utuulizie Baba Simeo Ondeto ni nani
Shekh kitabu napataje na sh. Ngapi?
Tuma ujumbe kwenye namba zetu
We ulimsikiriza shetani lakini ipo siku utapata fedheha tu kwa uongo huruma sana kwako haya kaka
Ulikimbia ukristo ili uwe mfumu ndilo sababu yako kubwa ww kuwa mu islamu
Mashaallah