Kigoli Part 1 - Madebe Lidai, Hidaya Boli (Official Bongo Movie)
HTML-код
- Опубликовано: 11 июн 2018
- Kigoli Part 1 (Madebe Lidai, Hidaya Boli) Nabii Mswahil Madebe Lidai
Watch Part 2 Here: • Kigoli Part 2 - Madebe...
CAST: Madebe Lidai, Hidaya Boli, Suleiman Barafu, Riyama Ally, Leah Mussa
STORY: Madebe Lidai
DIRECTOR: Madebe Lidai
PRODUCER: Madebe Lidai
Subscribe to Africa Movies on RUclips here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #MadebeLidai
Nyimbo inanimalizaaaa katamuuuu hadi hatarii 👌👌💋
Hivi mkinipa likes mnapungukiwa na nn et
Joyce Kilewa 😂😂😂bora umeuliza ?
Kwan ukipata una faidika nn
Nawewe usipolikiwa unapungukiwa na nini?
Movie nzuli Mungu akupe utunzi zaidi ya ulivyo.Mimi in Gandi from Kenya.
Filamu mzuri Mungu akuongezee nguvu uedelee ivio Ivo peter from Kenya
Muvi nzuri sana,Madebe dawa ya moto ni moto
Madebe domo utafikiri nyama ya kuongeza haha haaaa halo sina manen yang hayo maneno ya riama
Team madebe $ hidaya
Waoooooooo!! Madebe lidai
Madebe kwa Rihama kanywea kmy
Madebe kwa Riyama utakoma alivyokuchamba 🤣🤣🤣🤣
mpuuzi kweli mabebe,wewe mbona huoi hahhahaaaa
Kama ndo mimi nimemkosea riyama nachochola mapema sithubutu hata kusimama mwanamke anachamba huyo mh.
Mwanamke hatari uyo
🤣🤣
🏃🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera madebe kwakuelimisha jamii
Rihama kiboko MmmWaaah ❤️
Nice movies
Nakukubali madebe
Mmmmmh jaman mira tuziache
Mtto anamacho mazur kma saida matuga!!!!!😀😀😀😂😂
Ilove you rihama nakupenda bule dada ❤
kisonoko nilikua nimekumis hatr
Nimecheka sana eti domo ka nyama yakuongezwa maguu ka mapande ya tangawizi
Yan ukiingia kwny mzik wa Riama utachambka mpk ujickie ovyo kudadadek.........🤣🤣🤣🤣 Kwel huy dada anajua
Noma sana.
Rehama na
Nice movie pls part 2
nzuri
duuuh mungu akusidishie maarifa
Nakupenda madebe move zako
Kyaaa!!!! kyaaaaaa!!!!!! Kyaaaaaa!!!! Kyaaaaaaaaaa!!!!! Duh!! Guu kama pande za tangawizi
Huyo ndiye riama ally mtoto wa kizanzibari sarut kwako riama unajua kuongea mashallah
Movie nzur madebe. Usisikilize maneno ya watu piga kazi
utawala washetan
Dah eti mi danga, hahahaaha madebe bana hahaaha
Movie zipo vizuri sana hasa mazingira ya reality sio Yale ya kuigiza kwenye majumba ya kuazima.
Salut kwako broo madebe lidai
Ongera sana
Hahahahahaaaa na hiloo para ngekupiga chuma lka kichwaa wapangajii wamehamaa hahahahahaaaa
Madebe bwana,yule bwana anamke mweupe kama shati la shule hahahahah
Madebe na wish nifany kaz na wew upo vzr kaka nakuelewa mno
Liyama hahaa, ndosi watuwazima ovyoo hahaaha
O.g
Namini nauhitaji layk muvi bombasana
Niatr
makini sana madebe
Nice
Nice movie
nzr
nice
Nc movie
Good
Haahaaaahaaaaa🤣Rihama icho kichambo ni noma noma nimekupenda bure😘😍
Yan movies za madebe huwa nazipenda sana jmn😍😍😍😍
Hahahaaaa riama kwa kichambo atariiii
Madebe unajua sana movie ya kizazi sana
Kwa kweli kk yangu Madebe we zidi tu kuchapa kazi kazi zako zuri sn kweli napenda sn Allah akuongoze nauweze kufanikiwa ili utuze famille yako bien kwenye madili na misinge ya kislam kka yangu
Noma xana made be lidai
Ila wewe ni noma
Madebe😂😂😂😂😂😂😂😂 mpiga makelele
Nmeipenda hii
Mchezo huuu mzuri sio michezo ya sasa anoact
Nice movie brother keep it up
movie nzuli sana madebe naguoje kutoka Kenya
Nampenda sana mama boss jamani hadi naumwa.
Daah madebe kakutana na riama😂😂😂😂😂
No no no no no no no
🤣🤣🤣🤣
Hahaaa jaman kumbe wake tukiolewa tunaitwa bidaa
Big up.
Big up madebe
Kashindwa kujibu msomo , kakutana nacho leo , maleria ili upone ujaziwe miumbu dawa ya moto moto
Iko good sana
Mbna part 2 hakuna mazee +974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
wueeeeh,Madebe Kachambwa kweli kweli hahahahahahaaa
Madebee hongora sana penda ww sna cinema zko moddy Muscat kenyan from coast msa raha😂
Zuri sanaa
nice
Hatar xanaaa
yn madebe move zenu mnzur sn lkn wa2walia na camera san haziko pow
❤️❤️😘
Msala
Madebe kuchambwa kidogo tu anasema anaenda kudhtaki bungen
Haaahaaa liyama nakupenda bure yaaan
Riyama mbavu zangu🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰
Camera mbn iko ovyo but nice movie
Riyama shikamoo. Yani kwa style uliomchamba madebe umemuweza.
2024 tujuanee❤
Madebe siku yakuja tunga flm ukuwa bosi nikuone vipi unaweze
Ilikua nachukia kuangalia movie za madebe kwasababu ya kukata kata sauti ovyooooo ila hii kidogo imenitia moyo haijanikera kwa hilo.
Madebe lidai ninakipaji naomba nafas na mimi ila nikiludi tz nijiunge
Uyu Rihama kiboko😂😁😂
Dechi malemale chipato paaaa,sio kwa kipara hiko
Madebe danga😂😂
huyu mwanamke mwenye anamsomea sana madebe lidai anaitwaje?
madebe lidai unawez San
🤣🤣🤣kumbe madebe una kiboko Yako 😀🇰🇪
Onger xna madebe
Iko pos
Madebe camera sio nzur bhana
angalia setting za laptop yako picha iko clear sana kaka
Madebe umekutana na kichwa kibovu riyama
Mila
Eti domo kama nyama ya Nyongeza weee
Mjombaunajua
Madebee🤣🤣🤣🤣🤣eti babako alikuwa hakimu huogòpi kesi😃yote tisa ila Riyana kakuweza na mchambo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Korofindo,nilijua korona
Tokea Kenya kitu bomba
Milla
Hahahaaaaa we umeletwa Kama bidhaa tuuuu
jaman nimekapenda hako kawimbo kaimba nan
Kaimba madebe lidai na kizizi
💅💅💪
Part2 plz 😢😢😢😢
Hongera madebe group mko vizuri kazi nzur ila saut inazingu
Madebe aliyopewa na mtu mzima ovyo makali mpaka amevua shirt
Kweli mi danga
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndoa ya kulazimishwa haidumu