SONGA × PRO SEVEN × NACHA × NIKKI MBISHI - ( AIN'T NO LOVE )
HTML-код
- Опубликовано: 18 дек 2024
- Wimbo wa NO LOVE wa Pro Seven ft Songa,Nacha & Nikki Mbishi unazungumzia kukosekana kwa upendo katika nyanja mbalimbali za maisha.
#ProSeven #Songa #NiiteSonga #Nacha #NikkiMbishi #NoLove
Download audio on www.mdundo.com/a/972
Songa,,,na Nikki ,,,,walitosha kwenye hiii ngoma🎉🎉🎉🎉🎉,,,,,
Mwiteni uyo mtoto wenu lunya aje asikilize NGOMA 🔥
Chuma ya moto sana Man, Heshima haiji kwa Tai taita 😂
WANADAMU KUWA NA CHUKI HIZO NDIO ZETU!! Pro7✊🏾🔥
🔥🔥🔥🔥🔥 More fire mmetishaaaaa
Nakupa kazi masanja Majizzo
Proseven Jacaranda on top of green city
Nilim miss sana kuskiliza uandishii huu wa songa,heshima sio tai aiseee
Upendo wa kweli upo kwa pendo demu wangu tu wengine wote ni TYSS mapendo
Real hip hop is back
Mbishi babu bomba tishio,au sio,na samaki Mwenye kiu ndani ya MAJI Mmekunja beti kinoma sio poa.Dude Kali sana
Aww My Geof so so proud of you, Mbeya City Stand Up
Daaah, aseee nyie nd Ma Legend w Bongo Hip Hop .
Unaniona kwa mbali umekaa mwishooo, mbishi 🔥💯💯💯
P mawenge alitakiwa humu
Kakosekana Tu apo Niite moko wa miujiza
Siku hizi watoto sijui wanawaza nini kwenye uandishi aisee, sikiza hii ngoma vizuri utaskia uhalisia wa maisha neno kwa neno yaan na sio bragging aisee respects to the legendary NIKKI MBISHI X SONGA
Hakuna Upendo😳💔❤
Mkali uwaga ajitaji majina ovyo nimewapa maua yao wale ambao wanapokea verse kwakuchana tu mpaka najiuliza huyu ninani kaimba hiz vers🔥🔥🔥
I like how nikki commands the beat, its effortless
WATU WA KARIBU NDIO WENYE ROHO MBAYA - NACHAA 🔥
Ngoma la kwenda Punch za kwenda🔥
Dah mawe km aya 2naya.miss xna
Unaniona kwa mbali umekaa mwisho!!
Songaaaaa s o n g a
Nakupa kazi Masanja- Majizo
Nikki bado mbishi ❤
Davoo capten nisapotn hip hop yangu ni ya stor ya kweli tok chanka
UPENDO WAUONGO CHUKI YA KWELI
Kaliiiiiiiii❤❤
Mmeua sana wazeeee🔥🔥💪
nawapenda sana ma G but hii hamjafanyia justice..ya jayzeee no niggas nmekataa
Samaki❤❤
Unyamaaaa
Nakupa kazi masanja, majizooo
Ain't no love
Kaziiii
Nakubali
Acha moto zilie
Nacha hatari
Hivi ndio hip hop inavyokuwa sio tunakuwa na rapu kama za young lunya zenye staili moja tu na kujisifu basi lunya aje aone hip hop inavyokuwa maamc walivyo chana kwenye hili ngoma hatari mtupu songa x pro seven x nacha x Nikki mbishi
lunya hafanyi hizi mambo, elewa kwanza anafanya aina gani ya mziki. Mimi ni DZST Vina Team.
P MAWENGE YUKWAPI??
#tellaaxistz
Real hip hop ndio hii lunya anafanya tantwist sio hip hop
Lunyaa aimba trap music sip hip hop
Tunavo muhitambuzi tunamanisha ubora wamdawote ubora mumuogop
Songa kawafunika wote mliochana umo ana fata pro seven. Mara ya kwanza kusoma jina nilijua Dj seven 😂😂😂
Homeeeee boyyyyy the king
Nikki was freestyle😂😂😂and was the nicest
🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾
Ngoma kali sana hii ndyo hip hop
Asie faa ka faa
Unju bin Upupu mkali sana
Pro seven kama langA noma sana
Michano Mikali kama hii unaipata tamaduni music
Unjuuuuuu
Unjuu🙌🔥
Good morning Hip hop
Unyama saana❤❤❤❤
Wanyama hawa
Nacha
Nia hatari na nusu
pro 7 pro 7 pro 7
Great work, nice theme and message
Nakubali sana
Kizazii sana
>>>🔥🔥🔥
Og❤❤❤❤
✍️🏿💥💥💣
trust no one
Noma!
huu ndo mzik
Asiye faha kafaha haya yote mapito
P MAWENGE kwanini hayupo humu????
Nimemaindi😮
#tellaaxistz
Kweli aise mwana kakosekana
Mbona one hayupo?? Mlioanza sikiliza mziki juz mnachosha
Bomu la gesi
❤❤❤❤
oyaaaa Nikki mbishi kachinja sana, huyo Mwamba wa pili na nacha wamepwaya sana
Kwani huko bongo lunya ni Nani?
💣💣💣
😬😬
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Producer beat ka copy Kwa dj Khaled ongeza ubunifu bro
Ndani mbona kacopy beat ya dj Khaled 😂
Hata sio dj Khaled, wewe
@@dostovan5142 kasikilize thankful ya Khaled na lil Wayne mjomba alafu urudi tena hapa
@@GiftMuba Wametumia sample ya Bobby bland - aint no love in the heart of the city.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💣💣💣🏌️
Sumu
Unaniona kwa mbali umekaa mwishooo, mbishi 🔥💯💯💯
Upendo wa kweli upo kwa pendo demu wangu tu wengine wote ni TYSS mapendo
Nacha