Lyrics:1 Hatuendi hivyo sistee, Hiyo fake fugure ume-spend fifty, Million za kishenzi hizo business, Change hiyo vision understand when I speak sense, Kutwa hotelini huna kwenu, Huna kwako hamzionei huruma k*ma zenu, Unaosha vipi mbunye na hizo kucha ndefu, Gono lake haliponi mpaka atapo shuka Yesu, Usiende pupa peku utakufa mwanakwetu, Utatupwa bila wa kukupa hata thank you, Nawanyapia halafu nazuga nawadeku, Ukihisi nawakandia vunga Assalaam Aley'khum, Zinduka toka kwa hiyo day dream, Kuota utatoboa ukidanga India na Beijing, Urudi Bongo ujiite Bosslady kumbe ni slay queen, Mnapenda Wasafi ilihali hamuwezi stay clean, Madada poa in the line of duty, Hawajui the beauty ain't defined by the booty, Siku hizi tako kubwa ni zaidi ya degree, Generation Z hawahusiki na 3G, Mtamudu majukumu kwa hizo fedha wastaafu, Ashura na Mwantumu wanavyocheza kwa rafu, Hawajui hali ngumu na cha kupewa hakina nyongeza, Wanaitaka pesa ya madafu, Ukifua unachekwa na watu, Unabezwa hata kundi unawekwa na wafu, Unatapikwa ka" ulimezwa na chatu, Uwanja una visiki na hukucheza na viatu, Hook: Lowkey no fame no stress, Use your brain life game of chess, Don't bring no same old mess, Akili kumkichwa ama ujipate homeless, Lyrics:2 Mama yangu angeendekeza njaa kama ninyi, Sidhani kama angenizaa star kama mimi, Mnapenda sana raha mna tamaa kama fisi, Uroho wa mifupa na nyama mbichi, Mishangazi hawajiiti manyambizi, Watoto wa 2000 nao hawaishi manyapizi, Hawaogopi laana wanadai inapenya, Na wamama wanafurahi vyenye pipe inatema, Nipe nikupe ushaona type hii ya wema, Elewa sasa maana mi sitoirudia tena, Vijana wanang'ang'ana kurudi walipotoka, Tena nyama kwa nyama kwa hundi walizochota, Mafundi walizodoka kwa kuzidisha mbwembwe, Walitomboka na kujisahaulisha kuna ngwengwe, Kwa hii Dunia hatujaja kujenga tu, Najua unaniibia ila nakupenda boo, Una-date naye na anajua we ni first year, Huna cha kumpa anadanga ina-create fear, Anatoka na mibaba na unaitwa Bae pia, Baby,play your part son and stay clear, Hawana huruma hawa viumbe, Utafanyiwa hujuma sikushauri hata ujiunge, Utaachwa umenuna huna cha kutafuna, Umebuma bora ungejichunga usiyumbe, Waliumbwa waje kutusaidia, Leo wanatupunja hata kutupa hisia, Wanabishana na asili wanajifanya wana akili, Hawawezi kuwa nawe bila kukudai mia, Yaani Free Tu!
Aiseeee.... Are we experiencing the active revolution of the MVP of music in TZ!? The controversy will take this song the furthest he has ever been. He is going to bank big from this hit. Right on the money with the hatred of madada wa mjini.
Good prophesy but the 'MVP' has definitely hit the pinnacle a decade ago, Son. The Music industrial complex in our country is simply shitful such that im expecting nothing at all.
"Hawaogop Laana Vijana wang'ang'ana kurud walikotoka. Play ya part son stay clear. Hawana huruma hawa viumbe, Waliumbwa waje kutusaidia, Leo wanatuvunja hata kutupa hisia, Wanabishana na asili...."
Lyrics:1
Hatuendi hivyo sistee,
Hiyo fake fugure ume-spend fifty,
Million za kishenzi hizo business,
Change hiyo vision understand when I speak sense,
Kutwa hotelini huna kwenu,
Huna kwako hamzionei huruma k*ma zenu,
Unaosha vipi mbunye na hizo kucha ndefu,
Gono lake haliponi mpaka atapo shuka Yesu,
Usiende pupa peku utakufa mwanakwetu,
Utatupwa bila wa kukupa hata thank you,
Nawanyapia halafu nazuga nawadeku,
Ukihisi nawakandia vunga Assalaam Aley'khum,
Zinduka toka kwa hiyo day dream,
Kuota utatoboa ukidanga India na Beijing,
Urudi Bongo ujiite Bosslady kumbe ni slay queen,
Mnapenda Wasafi ilihali hamuwezi stay clean,
Madada poa in the line of duty,
Hawajui the beauty ain't defined by the booty,
Siku hizi tako kubwa ni zaidi ya degree,
Generation Z hawahusiki na 3G,
Mtamudu majukumu kwa hizo fedha wastaafu,
Ashura na Mwantumu wanavyocheza kwa rafu,
Hawajui hali ngumu na cha kupewa hakina nyongeza,
Wanaitaka pesa ya madafu,
Ukifua unachekwa na watu,
Unabezwa hata kundi unawekwa na wafu,
Unatapikwa ka" ulimezwa na chatu,
Uwanja una visiki na hukucheza na viatu,
Hook:
Lowkey no fame no stress,
Use your brain life game of chess,
Don't bring no same old mess,
Akili kumkichwa ama ujipate homeless,
Lyrics:2
Mama yangu angeendekeza njaa kama ninyi,
Sidhani kama angenizaa star kama mimi,
Mnapenda sana raha mna tamaa kama fisi,
Uroho wa mifupa na nyama mbichi,
Mishangazi hawajiiti manyambizi,
Watoto wa 2000 nao hawaishi manyapizi,
Hawaogopi laana wanadai inapenya,
Na wamama wanafurahi vyenye pipe inatema,
Nipe nikupe ushaona type hii ya wema,
Elewa sasa maana mi sitoirudia tena,
Vijana wanang'ang'ana kurudi walipotoka,
Tena nyama kwa nyama kwa hundi walizochota,
Mafundi walizodoka kwa kuzidisha mbwembwe,
Walitomboka na kujisahaulisha kuna ngwengwe,
Kwa hii Dunia hatujaja kujenga tu,
Najua unaniibia ila nakupenda boo,
Una-date naye na anajua we ni first year,
Huna cha kumpa anadanga ina-create fear,
Anatoka na mibaba na unaitwa Bae pia,
Baby,play your part son and stay clear,
Hawana huruma hawa viumbe,
Utafanyiwa hujuma sikushauri hata ujiunge,
Utaachwa umenuna huna cha kutafuna,
Umebuma bora ungejichunga usiyumbe,
Waliumbwa waje kutusaidia,
Leo wanatupunja hata kutupa hisia,
Wanabishana na asili wanajifanya wana akili,
Hawawezi kuwa nawe bila kukudai mia,
Yaani Free Tu!
Makini sana brother
Unju bin unuki🎉🎉🎉
Oyaaaa hizi kweli spana mzee
unju bin jitu kubwa
Mwez w 11 huu #Roma_Fa_hajalip ❤😂
Waliumbwa waje kutusaidia lakini wanatupunjia hata kutupa hisia 🙌🙌
UNJU THE GREATEST🔥🔥🔥
Kaka yetu ushindi ni mwingi
Olodumare ni mungu wa kabila la oyuma huko Nigeria
Sidhani Kama angenizaa Shujaa Kama Mimi... Unstoppable rapper....
Aiseeee.... Are we experiencing the active revolution of the MVP of music in TZ!? The controversy will take this song the furthest he has ever been. He is going to bank big from this hit. Right on the money with the hatred of madada wa mjini.
Good prophesy but the 'MVP' has definitely hit the pinnacle a decade ago, Son. The Music industrial complex in our country is simply shitful such that im expecting nothing at all.
Salute brooo🙌🙌🙌💪💪🔥🔥🔥siku hizi Tako kubwa ni zaidi ya degree😂😂😂
Wakikwambia Nala mbishi waambie Niki ni bro🔥🔥🔥💪
Understand when I speak sense
Nimesikiliza mara 100 hii ngoma 🙌
Kwa heshima hakuna Kama unju
Umetisha sana bob
Mmmmm bishiiii🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🏽
Sasa niki huku ndio kwako tunapokujua respect sana
Whatsapp Man!!!!
Bonge la Trakii Bro Nikki..
Hatariii waliletwa kutusaidia na kwelii wanajifanya wanaakili
inabidi utumie akili Kubwa ndo uelewe bars nyingine zinamaansha nn 😁 shout out you #UNJUU
Oya sio sifa tu tununue album
Jamaa kablock watu instagram,asa tunanunuaje??akini unblock nadaka albums he is a good artist
We umenuna..?
@@sembojwamaterial8409 mimi siyo Shabiki maandazi nna Album zote za Unju sibongi bongi tu
Hapo sasa anazngua mwamba kama ni kweli na kakublock ulimletea miyeyusho nn? @@underratedspirit
@@underratedspirit ukienda kisiasa zaidi anakublock
"Hawaogop Laana
Vijana wang'ang'ana kurud walikotoka.
Play ya part son stay clear.
Hawana huruma hawa viumbe,
Waliumbwa waje kutusaidia,
Leo wanatuvunja hata kutupa hisia,
Wanabishana na asili...."
No hiphop Tanzania without UNJU
AKILI KIMKICHWA VIJANA TUSISHINDANE NA TULIPOTOKA😂😂😂😂
Amini unju anajua kam hujaipata hii album fanya uipate mzee
KUMMMMKE HIIIII NGOMA NI YA GRAMMY
The Ground King ||• Handakini niko kuna Maarifa
Baba Malcolm in the building unajua bro bonge la pini
Hiphop ni maisha unayoish hii ngoma ni maisha namuelewa burudan na mafunzo him hum
Amini boi
Love from Rwanda 🇷🇼
😈Real 💯🔥
We ndio yule UNJU BIN UNUKI
Unju na conboi motooo...da real shit hiphop stand up...
Ngumu kumeza
Oya ni Sista gan tena au bongo movie tena
Mbishi anaendelea kudhihirisha ubishi wake
Kabisa
kwahiyo unjuu Unamsema MAMA 😅😅😅
Unju baba🔥🔥
Duuu! Shaoulin master 😊😊😊🎉🎉🎉mkanda mweusi
Unju ..baba Malcolm🚨🏁
Hizi ndotrcks za kuskiza sio matiti na matako kwa radio
Brother u stay new el days.. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Goma kubwaaa ujumbe konkiii Unjuuu nomaaa
UNJU THE GOAT
Ahhhhh ny wat na nusu🎉
Bongo hip hop has never died! Always lit! Of course R. I. P. Ngwair
Unju 🔥
Spana za unju🔥🔥 noma sana
🎉❤❤ low-key
Nyoso 🔥🔥🔥
Mnefiri uunjuu
Ooohh yeah AKILI KUMKICHWA 👑 100% content fully 🙌🏾🧠
gono lake haliponi npaka ashuke yes...💥💥💥💥✊🏿
Dr unju
Oyaaaaaa😂😂😂😂UNJUUUU😂🔥🔥
Mnaosha vip mbunye kwa izo kucha ndefuuu
Hilo gono lake halipo mpaka atakapo shuka yesu
hahahahaha bonge moja la song aiseeeee
nikki mbishi mkali sana ila punguza kuchana kivivu
fanya wewe
akili kumkichwa😮😮😮😮
jitu baya
Vijana wanan'gan'gana kurudi walipotoka noma sana......
NIKKI MBISHI,, umeuaaaaaaa sanaaaaaa,,,,, respect sana mzee wa kijusi
niki hakuna mbishi kama wewe broo
mbishi noma Niki hakuna wa kusema noo ...Akili kumkichwa
am from Kenya nikimbishi this album imeweza one of my favourite anatoka na mibaba naunaitwa baby high on bars
Verse kali na beat classic@ninjah
Ngoma imenyooka kinoma nooma Mr
😂😂😂 hamzionei huruma kuna zenu
AKILI KUMKICHWA💯🔥
Nmerudia rudia hii spana ya unju!
Kazi nzur sana
Kaangusha bonge la bomu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mm napenda sana ngoma zako ila napenda uchane sana km jogoo, babutalent, michipuko , nyakt za mashaka,play boy
akili kumkichwa✍🏿
Lines.
tako kubwa ni zaidi ya digrii
ngoma iko fresh kaka❤🎉
ngoma kali , tupate video mmoja yenye story tamu , no yetu
At the end of the day 😅you say that akili kumichwa
Unju hii kazi nahitaji broo lazima nikuchek bro
Izi kwl ndo spana sasa 💣
unjuuuuuuuu bin ukweliiii.
Nikk mbishi nyie ndo wenye hip hop
It's crazy💥💥
Kweli spana za ushu 😎
❤nkkimbish💥📻✊
when I grow up I want to be like unju....faaaacts!!!
Pa1 brother
🔥🔥🔥🔥💯
Oyaaaa nomaa sanaa
Mc bora wa muda wote Tz
Fire
King love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unju mtu mbaya 🔥🔥🔥
Unjuuuuuuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉
bin unuki 👊👊👊
Noma kaka🎉
Unju fundi
Mbishi ni mmoja tuu💪
Shairiki kibishiii
Aminia saaana jogoo 😊😊
Unjuu🎉
By far the best rapper in tz
Heavy weight tungo Somo limeeleweka kaka@nickmbish
Ngoma za kusikiliza ndio hizi hapa.
Unasikiliza na unagain something❤