Maarifa Ni mmoja tu gusa link Bonta Maarifa Ft. Nikki Mbishi - Jua kuchekesha Jua kuongea (Official Lyrics Video) Producer: *@Scardee* Directed by *@Xaimaco* *Cc: Entertainment Bank* ruclips.net/video/8fjznj-k5mk/видео.htmlsi=ImqqfiZyJV_r__HI
Hongera mkubwa UNJU BIN UNUKI.kuna watu wametoa ngoma zao hazina ujumbe wowote zaidi ya kujisifia sifia tu.....! Halafu wanajiita wasanii wakubwa....upuuzii....&$^@#,
Comasava ndo inapewa air time na show za mbele😅😅😅😅sio poa ,dotto magari leo naye anaupata utajiri kimasihara sana huyo ndo anaenda ivo let us keep believe in elimu,ujuzi,maarifa haturudi nyuma
Mexcortez ame onesha kuwa amaweza kubato na male gender ukubwa wake kwenye game sio kivile ila amefiti kukaa kati kati ya ngosha na Road sio kitu rahisi unaweza kukimbia kolabo respect mex 🎉🎉🎉
Bonta na Nikki mbishi!! Hongereni kwa kuacha pembeni tofauti zenu. Nyie ni wakali mno.
Hawajawai kuwa na utofauti hata siku moja Ile ni ushindani wa gemu la hip hop sio utofauti
Watoto wa 2000 hawawezi kuelewa, bonge moja la ngoma lenye inner creative content✍️🔥📌
Dingooo
@@scardee.7630 dingoo
Tanki la fikra. Elimu ya ndani kabisa yenye ufundi wa Ghani, na mizani ni ya juu. Korodani imesimama
Wakat baba styles anatoka na Nura mabisho wa ngokolo wanauza sura. 😂😂 washinyanga asipite bila kulike hapa. Ngokssss 💪
Au sio mwana
Maarifa ni mmoja BONTA MUUZA KURAAAA❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
😂😂😂 oyaaa kumammamamakeeee safiii sanaaa bonta kumuweka unju nakubaliana na ninyi
Noma Sana ngoma Kali kwanza huo mdundo unaimba wenyewe
Jua Kuchekesha 😂 Jua Kuongea Jua Tu Viwili, Hapa Ubobezi Hautakiwi 💯💯💯 🔥🔥🔥
Nimekoshwa sana na hii collabo 👏
unju bin unuki....the legacy will stay there forever bro...bado shule tunasoma
Noma Sana hii ndo hip hop, creativity nzuri ambayo ndani yake kuna mtazamo wa maisha ya sasa ya hapa tz, mmetisha wakubwa🔥
Bonge moja la ngoma
Nikki imekuwaje tn ktk video hayupo jmn......!!!! Daaaaah
Bonta kizazi changu kabisa huwezi elewa
Wana wanakunywa bia
SALUTE BONTA MAARIFA
Watching from Kasulu to Kigoma
Maarifa Ni mmoja tu gusa link Bonta Maarifa Ft. Nikki Mbishi - Jua kuchekesha Jua kuongea (Official Lyrics Video)
Producer: *@Scardee*
Directed by *@Xaimaco*
*Cc: Entertainment Bank*
ruclips.net/video/8fjznj-k5mk/видео.htmlsi=ImqqfiZyJV_r__HI
Mmeweza 🎉
Kazi muzuri
Producer wa hii beat ni nani naipenda sana imeshiba
@Scardee
Uko vizuri kaka nakuaminia sana
Wakwanza nipeni like zangu
ruclips.net/video/1B3eSJ2Z9PQ/видео.html
Maarifa ni mmoja tu Bonta muuza kura 😂😂😂...
Nacheka huku nikiongea.... Big up director XAIMACO 🔥🔥🔥🔥
Watu wa hiphop Bado tupo na nyinyi
Hongera mkubwa UNJU BIN UNUKI.kuna watu wametoa ngoma zao hazina ujumbe wowote zaidi ya kujisifia sifia tu.....! Halafu wanajiita wasanii wakubwa....upuuzii....&$^@#,
Real hip hop, tumemis haya mafundisho.legend bonta
ruclips.net/video/1B3eSJ2Z9PQ/видео.html
Maarifa ni mmoja tu sisi bado tupo kwenye misingi bro hautuangushi
Angalau huyoo mjamaa anaweza kuja kwenye ulimwengu wako
Black maradona 💪💪👍
Congrats…. Nice track .. creativity 100💯
UMERUDI VIZURI KAKA MKUBWA.... BIG UP
Sawa kaka hongera zako
Nimeelewa sanaa iliyotumika humu
Kam unamkubali bonta.tupia like
Elimu ya bure hii apa❤
Bonge la ngoma bonge la dude hahahaha daah nimelipenda sana
MAARFA NI MMOJA TU, Feat Nikki 💯💯💯🤙 Tujiandae kula 🐟 mkubwa wa Hivi
Uchawi brother
aseeeeeeeee jua tu izo vitu viwilii
Icho kitu kimenistua skutengemea mzuka sana🔥🔥
Next level
Tunaenda mjini sasa..🎉🎉🎉
Unju u r da best. Flow and content is 🔥🔥🔥🔥
Ni fire
Ukitaja conscious please usimtaje bonta
Kazi nzur
Bonta maarifaaa🎉🎉🎉🎉
wanabusu ma.....😂😂😂😂
black of new talent action(BONTA)
Bongo noma sana !
Naijua sana tz kuanzia hapa
Ngoja Kali ideas Kali so appreciate sanaa
Conscious mcee bonta and goat Unju
Comasava ndo inapewa air time na show za mbele😅😅😅😅sio poa ,dotto magari leo naye anaupata utajiri kimasihara sana huyo ndo anaenda ivo let us keep believe in elimu,ujuzi,maarifa haturudi nyuma
Dokta ujawai niangusha.....nauza kura yangu
🔥🔥🔥🔥🔥 bonta
Lit sanaaaaaaa
Kubum kubaaaa
Conscious 💪🏾💪🏾
emcee's on fireee
definition of HIP HOP Love from green city 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Maarifa ni mmoja tu Bonta muuza kura
Oyaa weew bonge moja la ngomaaaa🔥🔥🔥🔥
Viva Maarifa
Nomaaah
Ma bishoo wa ngokolo 😂😂
Nakubali
Weusiiii,,maarifa mengi bonta..🎉🎉🎉🎉🎉
Kali sn. Akili kubwa tu
Balaaaaaa wakuuuuu
Nobody is talking about the production bruh those instrumentals💯🔥
Maarifa ya miaka 10k🇹🇿🎧
Bonta musoma stund up 💪
Hili missile la balaa!!
Bonge Moja La Goma Aisee 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Hophop is live & for life
Nomaa
Mama kaamka bar nzima ikaamka ikatuliaa, chawaa wote wamekaa kwa adabuu, idea kali sana sanaaa nzuriiii
Welcome back though you never left
Fireeeee
Noma sana❤
Hatari sana, maalifa ni mmoja tu
This track ni 🔥🔥🔥🔥
Conscious 🫡
Bonta ft Unju ❤❤🎉🎉🔥🔥🔥🙌
Maarifa🔥
Unamuheshim unagundua bro kavu unyama unyamani hainaga ku show love 🔥🔥🔥🔥
I can say Hallelujah!..na pia sitosahau kusema Inshallah! maarifa yamekamilika🔥🔥🔥🔥
Nipeni like zangu jamani
Unju Vigetti in this one 😅😅 Classic
unju you the best
#JuaKuchekeshaTu Maarifa ni mmoja tu NA Unju Bin Unuk 👑👑👊🏿✊🏿
Moto sana oioioi
HIP HOP ✊🏿
Huyu bonta anawaza sana
Bontaàaaaa
Mexcortez ame onesha kuwa amaweza kubato na male gender ukubwa wake kwenye game sio kivile ila amefiti kukaa kati kati ya ngosha na Road sio kitu rahisi unaweza kukimbia kolabo respect mex 🎉🎉🎉
Umetokea wap ww
Kama kawaida strictly hiphop salute wajomba
🎉🎉vitu viwili🤣🤣
Wana wanywe bia
Only TRUTH spread in here. Big brained Lecturers Bonta & Nikki
Mpo vizur sana
Maarifa ya maarifa na Unju bin unuki