NYUMBANI KWA DANGOTE, BABU YAKE AKASIRIKA "NI MCHAWI, WATU WANANIOGOPA, ALIKUWA ANAISHI HAPA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 ноя 2023

Комментарии • 364

  • @user-pd5qb2mc2u
    @user-pd5qb2mc2u 6 месяцев назад +2

    ya allah ya razak ewe mola wetu mtukufu jaalia tuwe na watoto wema watakao tufaa ss wengineo allahunmnma amina😭😭😭

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 6 месяцев назад +10

    Kitambo ilikuwa watoto wa kike ndo walikuwa wanalindwa sana but skuizi ni watoto wa kiume wah Allah atunusuru na watoto wetu Atufanyie wepesi kwa malezi Amin...

  • @bashirfuad1130
    @bashirfuad1130 6 месяцев назад +38

    Daaah!! Mzee anatia huruma sana, na anabusara sana

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 6 месяцев назад +53

    Mtoto mbaya ni mzigo kwa wazazi,kwakweli tumuombe mungu na wazazi tushirikiane katika malezi ili kuiokoa jamii

    • @user-rn5ov9lr4v
      @user-rn5ov9lr4v 6 месяцев назад +5

      Amiin Inshaallah Allah tujarie vizazi vyetu mpk na wajukuu zetu

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 6 месяцев назад +7

    Huruma yangu ni babu tu, mnyonge sana mzee wetu🙏 pole sana tatizo mwana alizidisha mambo yakiduanzi

  • @harithkinamfinanga4086
    @harithkinamfinanga4086 6 месяцев назад +35

    Mwenyezi mungu nakuomba bariki matumbo ya wanawake wooote na wape watoto wetu malezi mema amiiin

  • @user-ys6pr1mg2v
    @user-ys6pr1mg2v 6 месяцев назад +16

    Pole sana mzee kauli yako ni njema sana kikubwa tuombee watoto wetu mahana kiukwel uyu Dogo ni mdogo sana akaika inaumiza matukio alofanya pili mzee asaidike swala pa mwili kuagwa mochwari mahana akika wananchi kwa asira walzo nazo. Wata bomoa nyuma ya mzee wa wawatu

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 6 месяцев назад +23

    Uyu mzee kaongea vyema sana

  • @user-pv1hh6hc4o
    @user-pv1hh6hc4o 6 месяцев назад +8

    EE MUNGU BABA HUSIKA KWENYE MAISHA YA WANETU NABA😢😢😢😢

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 6 месяцев назад +56

    Hakuna mzazi anae penda kuzaa mtoto mwizi au mlez wake alee mtoto mwizi hapana huyu babu hana kosa msimuhukumu jmn 😭 inauma sikia kwa mwenzio 😭huyu babu ahusikii na na yule kijana

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 6 месяцев назад +6

      Kweli kabisa huyu Babu namuonea huruma

    • @stellamwasha1409
      @stellamwasha1409 6 месяцев назад +4

      Pole babu

    • @queenmunny244
      @queenmunny244 6 месяцев назад +4

      Nikwel ndugu watamuonea babu wawatu tu

    • @nuryatmussa9966
      @nuryatmussa9966 6 месяцев назад +6

      Kabisa nimejikuta namuonea huruma babu

    • @queenmunny244
      @queenmunny244 6 месяцев назад +3

      Babu au bibi sio wenyewe makosa makosa yako kw mjukuu wao kuchagua njia alioona nisahihi kwenye maisha yake namwisho wasiku ndo kama hivyo kufanya matukio ya kishetwan na kupata kifo Cha aibu

  • @user-cc2ll7bw7u
    @user-cc2ll7bw7u 6 месяцев назад +7

    Pole mzee kombo ,msiba ni msiba Mungu akutie nguvu, najua hakuna mzazi anayependa mwanae aharibike, Mungu atetee kizazi chetu

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 6 месяцев назад +68

    Poleni sana mwenyezi tulindie watoto wetu wawe watiifu na wakumuogopa mungu

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 6 месяцев назад +2

      Aamin Yarabilaallahmiin kwa sote ndugu zangu.

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 6 месяцев назад +2

      Aamin wamuogope Mwenyezi Mungu

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 6 месяцев назад +1

      Mungu onekana kwenye hii familia huyu babu anapitia magumu sana😢

    • @maryumamapunda8910
      @maryumamapunda8910 6 месяцев назад

      @@magrethmbuma3045 ndio tena anaumia sana😭

  • @fatiajuma4685
    @fatiajuma4685 6 месяцев назад +7

    Subhanna Allah mungu akutie nguvu babu unajua binadamu huogea wasio yajua mungu mwenyewe ndie anajua ukweli wako

  • @allychande6408
    @allychande6408 6 месяцев назад +30

    Mungu tunusulu na watoto wetu 🙏

  • @user-bw3fu2wl3s
    @user-bw3fu2wl3s 6 месяцев назад +16

    Binafsi nmependa majibu ya mze maana yanaereweka

  • @bahatimngwale7902
    @bahatimngwale7902 6 месяцев назад +14

    mungu awatie nguvu family nzima,,,,wazaz tuwe makin na makuz ya watoto wetu,,kuna umri tukiwakosa tu hapo ndy mwishowe hutokea haya😭😭😭

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 6 месяцев назад +37

    Maskini mzee wa watu ,anaonekana muungwana sana, hata akiongea, ila huyo mjukuu ni shida kwa kweli, mzee ana haki kusema anaogopa hata maisha yake, kwa kuwa kuna watu labda wanafikiri nguvu ya huyu mhalifu marehemu, labda babu pia anahusika. lakini naona hapana, mzee wa watu ni muungwana.

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 6 месяцев назад +58

    Mtoto wa kiume kulea ni kazi mnoo ukifeli awa mwizi ,mbakaji,,Teja 😭😭😭mungu mnusuru mwanangu

    • @shukranjulius9526
      @shukranjulius9526 6 месяцев назад +5

      Mimi hata sisemi watoto wakiume sikuhizi mtihani

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 6 месяцев назад +1

      Amin Rabil Amin

    • @swissvany55
      @swissvany55 6 месяцев назад +3

      Umesahau kitu kimoja..ukifeli pia anakua shoga

    • @Tiffany340
      @Tiffany340 6 месяцев назад +1

      Ongeza na ushoga apo

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 6 месяцев назад +2

      Aamin Amiin Yarabilaallahmiin duaa na iwe Makboul kwa soote ndugu yangu.

  • @mwanahussein5935
    @mwanahussein5935 6 месяцев назад +23

    Pole Sana baba Allah akutie nguvu na Akupe subra

  • @duwwesimba
    @duwwesimba 6 месяцев назад +3

    amekufa azikwe tu mungu alaze roho ya marehemu mahala pema peponi

  • @florachogo243
    @florachogo243 6 месяцев назад +63

    Mungu tunusuru na watoto wetu,mungu tuhurumie

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 6 месяцев назад +23

    Nimeona imani sana kwa huyu bab laiti ningekua na uwezo ningechangia kifo ni kifo mwenyezi mungu atujaalie mwisho mwem

  • @user-bv3bx2pm8s
    @user-bv3bx2pm8s 6 месяцев назад +61

    Mungu nusuru uzao wa tumbo langu😢

  • @queenmunny244
    @queenmunny244 6 месяцев назад +16

    Nikumuomba mungu atujalie watoto wema na mwenye hofu na mungu tuombee vizazi vyetu kwan hakuna anezaa nakujua kuwa mwanang atakuwa mwizi muuaji malaya n.k

    • @BettyGeorge-sn2nn
      @BettyGeorge-sn2nn 6 месяцев назад

      Nakuuga mkono inapaswa tuombe mungu atujalie uzao bora mm mpaka tumbo limeniuma

    • @queenmunny244
      @queenmunny244 6 месяцев назад

      @@BettyGeorge-sn2nn Amiin

  • @zakariasengo8930
    @zakariasengo8930 6 месяцев назад +98

    NIMEMUONEA SANA HURUMA HUYOO MZEE, saaaaaaaana 😢😢😢,nyie mnaofanya kazi ya kuzaa na kuachana Kisha watoto wanabaki wanatapakaa oneni hayoo,,mzeee ana hekima sana na anakiri kwamba kijana alikuwa na tabia mbaya,,MUNGU AMSAIDIE SANA.

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 6 месяцев назад +10

      Nami pia nimesikitika sana .. Mzee anaongea kwa hisia kali sana.

    • @zurfapahenge8802
      @zurfapahenge8802 6 месяцев назад +4

      hata mimi

    • @rachelmikey5493
      @rachelmikey5493 6 месяцев назад +2

      😢😢dah

    • @bintimbuto5740
      @bintimbuto5740 6 месяцев назад +8

      Iyo ni kweli ata invo Kuna wengine ni wabaya kuliko uyo aliye uwawa ila bado awaja kamatwa mungu atusaidiye na vizazi nvetu😢

    • @dinnarmtewele8435
      @dinnarmtewele8435 6 месяцев назад +5

      angeweza hata kumuua siku moja babu yake maana inaonyesha alishakuwa sugu.

  • @vailethkivuyo620
    @vailethkivuyo620 6 месяцев назад +3

    Duh Babu wa watu ana wasiwasi mno🙆‍♀️Mungu tulindie watoto wetu🙏

  • @user-fv1gi1gr5g
    @user-fv1gi1gr5g 6 месяцев назад +1

    Pole san mzeee kombo mungu akupenguv na umrrii mrefu pole san

  • @JaphetThabit
    @JaphetThabit 6 месяцев назад +3

    Sema angetafutwa baba yake au mama yake ili tujue ally dangote alipatikanaje kwa mganga au kawaida tu kama watoto wengine mi naami yapo mengi tusio yajua watoto wa aina ya ally dangote wenye roho za kishetani wapo wengi sana sauth africa na mayotte

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 6 месяцев назад +10

    Mzee wa watu anaonekana hana shida, Muungwana na mwenye hekima. Sasa yeye ameshaibiwa na dangote grander.

  • @200Stella
    @200Stella 6 месяцев назад +23

    Poleni sana familia.Maana kawaletea maumivu sana.

  • @jacquelinefrankie5309
    @jacquelinefrankie5309 6 месяцев назад +3

    Mwacheni babu wa watu jaman😢Hana hatia yy

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 6 месяцев назад +1

    Apandacho mtu ndicho avunacho.na ukiua Kwa upanga utakufa Kwa upanga. Mungu anachukia kifo Cha mwenye dhambi Maandiko yanasema.poleni sana familia

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 6 месяцев назад +9

    Babu uwe naamani maana ni mjukuu wako ulimpenda ila kutokana na tabia zake mbaya hukumu itampata mwenyewe na ishampata, wanabchi mtuhumiwa kashapatilana msimtishe huyu mzee hana kosa kabisa

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 6 месяцев назад +6

    Poleni sana bora angepelekwa huko serikalini akaaome😢😢

  • @beatricehaika6918
    @beatricehaika6918 6 месяцев назад +1

    Pole babu kwa changamoto za mjukuu, ,asiye fuzwa na wauazi hufinzwa na ulimwengu,, afe afe afeeee

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 6 месяцев назад +1

    Pole Babu, mzigo umeutua. Tumwachie Mwenyezi Mungu kwa hukumu yake

  • @user-dy6jk7cb1d
    @user-dy6jk7cb1d 6 месяцев назад +1

    Shida ni tofauti kidogo tuu wanandoa wanakimbilia kuandika talaka bila kuangalia hawa malaika tulio leta duniani mungu tupe moyo wakuvuliana

  • @albertmoris7925
    @albertmoris7925 6 месяцев назад +3

    Bado mm nageuza shilingi mzaz atabaki kua mzaz uyu Mzee anaumia jamani 😢

  • @samiamazoea9348
    @samiamazoea9348 6 месяцев назад +30

    Hayo ndo madhara ya wazazi kutengana watoto hawapati malezi bora

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 6 месяцев назад +6

      Nikweli lakini allah ndio anaoongoa jamani mimi mwanangu nimelea na baba ake na tulijitahidi alitugeukia tukawa tunaliya tusikufuru ikifika time bora watu waachane kuliko watu kudhuriana kwani hatuoni matukio ya kuuwana kila siku tumuombe MMungu atuongolee watoto wote wengine hufiwa na mume watoto huleya mama wanaonguka tusisahau

    • @nackymrutu1869
      @nackymrutu1869 6 месяцев назад

      Inategemea na malezi,hata mngeishi pamoja Kama shindikana utafanyaje???

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 6 месяцев назад +2

    Ni mhalifu sanaaa, ila hii stori yaa kifo chake naona kama kuna maapicha picha.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 6 месяцев назад +7

    Pole sana mzee

  • @issacksaimon-oy5sv
    @issacksaimon-oy5sv 6 месяцев назад +5

    Nilicho gundua Babu mpole sana kwenye malezi Babu kamshindwa jaman watoto wanatakiwa wapate malezi ya wazazi mna tesa watu

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 6 месяцев назад +6

    Ee Mungu tujaalie tuwalee watoto wetu kwa njia ipasayo

  • @user-um5hm5rc7h
    @user-um5hm5rc7h 6 месяцев назад +2

    Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana Mungu....

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk 6 месяцев назад +10

    Mungu tulindie vizazi vyetu 🤲🙏🙏🙏🙏😭😭😭

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 6 месяцев назад +2

    Jaman wamama msizae ovyo kama hamna uwezo wa kulea mnapeleka watoto kijijin kwenu kwa bibi na babu afu matokeo yake wanakua vibaka watoto

  • @samsonsanga4368
    @samsonsanga4368 6 месяцев назад +1

    Maskini huyu Mzee ad huruma yn,,,, dah Mungu ampe nguvu.

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 6 месяцев назад +6

    Mtuhumiwa kashajiua basi mwacheni huyu baba aishi kwa amani yeye hana kosa pls msimdhulu huyu baba 😢😢😢

    • @HalikiRasuli-ko9rv
      @HalikiRasuli-ko9rv 6 месяцев назад

      Awee hawawez kumleteaa fezeah yoyt maan atashikwa mtu tako

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 6 месяцев назад +2

    Pole sana babu kwa mitihani..hata wewe hukupenda awe hivo..mpaka wewe kakuibia kikweli mtihani

  • @perfectpixelsstudio3603
    @perfectpixelsstudio3603 6 месяцев назад +1

    Sasa kama babu anasingiziwa uchawi inawezekana hata marehem hakuwahi kuua mtu sema ndo vile Tena aliokufa hawezi kujitetea

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 6 месяцев назад +10

    Subhanaallah

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 6 месяцев назад

    Poleni wandugu

  • @sadasalim4649
    @sadasalim4649 6 месяцев назад +2

    Maskini babu😢Allah awape subraa

  • @TissueLost-bo5jo
    @TissueLost-bo5jo 6 месяцев назад +5

    kama aliwauwa wa ua watu weng xana kuna haja gan ya kuxema kauliwa kikatili mbn ni kawaida tu maana ameuliwa kama anavouaga yeye

  • @neemajoseph5439
    @neemajoseph5439 6 месяцев назад +1

    Babu ana hekima mjukuu alishindwa kurithi jamanii

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 6 месяцев назад +3

    Duh yani huyu atakua kashaanza kupigwa marungu kabda ata ajazikwa mana kajua kuleta hekaheka 😢😢

  • @RachelMallya-gx1sv
    @RachelMallya-gx1sv 6 месяцев назад +1

    Pole babu jaman mtoto mwenyew bhn

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 6 месяцев назад +1

    hila Uyu Babu Mtu Makini Sana

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 6 месяцев назад +5

    Wazazi wanapitia Mengi. MTOTO anakua, anakugeuka, anahama home. Anakuwa jambaziThen lawama zinarudi kwa MZAZI. 😢

  • @user-ev2qn5td3f
    @user-ev2qn5td3f 6 месяцев назад

    Pole babu changamoto hizo

  • @user-yq3kh5zd1t
    @user-yq3kh5zd1t 6 месяцев назад +2

    Inauma sana tuwaombeeni Watt wetu haswa wakiume

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz 6 месяцев назад

    Noma

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 6 месяцев назад +1

    Wanao umia ni wazazi jamani huyu Mzee na muonea huruma kwakweli atakama nimbaya mimjukuu wake mungu atussidie vizazi vyetu

  • @TedyChiguru-sm1nr
    @TedyChiguru-sm1nr 6 месяцев назад

    Pole babu yangu

  • @user-yq2iu4uh5z
    @user-yq2iu4uh5z 6 месяцев назад +2

    Tatizo ni elimu yetu,,,kiukweli ni mbovu aina maana Kwa wanyonge ila inafaida Kwa wanene,,,unasoma histori mtaani ukutani nacho ulichosoma hapo ni lazima uwe mwizi

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 6 месяцев назад +4

    😮Na wengine mbadilike msiposikia mtakiona

  • @JovitherAlex-ck8gv
    @JovitherAlex-ck8gv 6 месяцев назад +1

    Dah maskin Mzee wa watatu

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 6 месяцев назад +1

    Kiukweli Mungu atusaidie sana kunasisi tupo nawatoto Kiukweli changamoto kwenye malezi

  • @mwanahussein5935
    @mwanahussein5935 6 месяцев назад +10

    Hii Habari kiukweli inasikitisha sana kiukweli hapa ni kumuomba mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu hakuna mzazi anatarajia kua na mtt wa dizaini hii😢😢😢very sad wallah 😭😭

  • @eliasndomba7937
    @eliasndomba7937 6 месяцев назад +1

    Kuna maneno yamekatwa kutoka kwa Babu , ukweri ni kwamba akuna mzazi anapenda mtoto mwizi

  • @IsabellaCleah
    @IsabellaCleah 6 месяцев назад

    E mungu umpe nguvu uyu babu jameni sio kupenda kwake mungu wangu 😭😭

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 6 месяцев назад

    Vijana njoni kwa Yesu shetani hajaumba mtu na hatawahurumia mkikubali na kutii Mtakula mema ya nchi mkikataa na kiasi mtaangamizwa kwa upanga tubuni jamani mrudieni Mungu

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 6 месяцев назад +1

    Vijana wetu wans tuumiza sana yani roho inauma sana ndugu yako akiwa mwezi unamkanya lakini awasikii vijana bozi jako miyanguu😢😢😢😢😢

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 6 месяцев назад +5

    WANAUME WA ARUSHA KAMA WA DAR YAAN MTOTO WA MIAKA 19 MNAMUACHA HADI KUUA WATU 8

  • @verowilly5822
    @verowilly5822 6 месяцев назад

    amepigwa mchekecho huyoo usumbufu wake eti kajirushaa mmmh..walishamchoka mi napita tu natania jamn😂😂😂😂

  • @user-ur8cq1ye3b
    @user-ur8cq1ye3b 6 месяцев назад +1

    Mtihan sana

  • @hakimbachani1508
    @hakimbachani1508 6 месяцев назад +5

    Poleni sana😢

  • @user-nw5iu8lh7e
    @user-nw5iu8lh7e 6 месяцев назад +2

    Pole sana Babu

  • @isihakamohammedy6322
    @isihakamohammedy6322 6 месяцев назад +1

    Sasa wale watu wa arusha ile lafudhi wameitolea wapi??

  • @dorismkoma4228
    @dorismkoma4228 6 месяцев назад

    Mzee pole sana

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 6 месяцев назад +3

    Innalilah wanna ilah lajighuni

  • @ireneimbuhira7759
    @ireneimbuhira7759 6 месяцев назад +2

    Jameni watoto tuna weka wazazi wapitie hali ngumu 😢

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 6 месяцев назад

    Jaman hyo ni vita eee Mungu wangu, Azkiwe hko hko hospital????. Daaaa mh

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 6 месяцев назад +1

    Ona wazee wa zaman wanavyojua kuongea kwa busara yaan sjui tutawapata wapi Maana wengi wametangulia, yaan baadae cjui itakuaje kwakwel

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 6 месяцев назад +1

    Angekuwa amempa yy hiyo dawa iAsingefanya jitihada ya kukamatwa

  • @Mywife886
    @Mywife886 6 месяцев назад

    Maskiniii, Babu wa watu ni mpole sana hata kuongea kwa upon sana hata sio muongeaji. Mungu amtie nguvu. Wananchimsameheni babu jamani hana hatia.

  • @user-eu3sg7oz5o
    @user-eu3sg7oz5o 6 месяцев назад

    nini kwan

  • @AmidaKomba
    @AmidaKomba 6 месяцев назад +1

    MUNGU amsamehe makosa yake ,,Babu Mungu akutie nguvu katika hili

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 6 месяцев назад +1

    Pole sana babu

  • @MawazoMwamba-fz5hr
    @MawazoMwamba-fz5hr 6 месяцев назад +1

    Pole sana Mzee😭😭

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 6 месяцев назад

    Ila kweli watu wa hivo huwaga na hirizi kuna mmoja mtaani kwetu pale (kwa sadala) alipouwawa alikutwa na hirizi subhanallah 😢😢

    • @khadeegaabdallah5756
      @khadeegaabdallah5756 6 месяцев назад

      Sikupingi lkn mtu akishafikia hatua hiyo hujitafutia mwenyew uyu mzee wana wanamuhukum bure tu uyo shetan kama alikuwa na hirizi wenda aliipata kwa mashetan wenzake uko mtaan

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 6 месяцев назад

    Polesana babu nihuruma sana lakini ndio hivoo tena

  • @user-lt9eh6nn6s
    @user-lt9eh6nn6s 6 месяцев назад

    Mh,kweli tuzae na kuwaombea😢

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 6 месяцев назад +1

    Wazazi kutengana ni jambo baya sana 😢😢😢😢

  • @tabumpate9722
    @tabumpate9722 6 месяцев назад +2

    Inalilah wainailah rajiunh

  • @hallin9561
    @hallin9561 6 месяцев назад +9

    wanaume wa arusha hawana tofaut na wanaume wa Dar. Katoto ka19 kanatishia kanda nzima

    • @MartinyMaryogo-nt6xg
      @MartinyMaryogo-nt6xg 6 месяцев назад +1

      kabsa, akitaka afanywe kichuri aende akafanye ujinga huo kanda maalum mara, arusha ni kama dar tu.

    • @danielmwita2136
      @danielmwita2136 6 месяцев назад +4

      Acha ufala, hata Mara wamewahi kutokea mtu mmoja, anatetemesha sehemu kubwa tu. Kawaulize Wazee wako "Kenonke" alifanya nini sehemu kubwa ya Serengeti na Tarime.

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 6 месяцев назад +1

      Alafu wanajiita wadudu😂 katoto kanasumbua miaka 19...wadudu wapo Mara na Tarime😂

    • @BettyGeorge-sn2nn
      @BettyGeorge-sn2nn 6 месяцев назад +1

      @@user-zs4qz4wm2n haaaaaaaaaaaa wale hawafai nikikutana na mkurya namsalimia bila kutaka

    • @fefeonlyme5394
      @fefeonlyme5394 6 месяцев назад

      😂😂😂😂eti kafa ndio wanasema wanataka wanatak nin sasa kwa maiti

  • @user-wy9si9hg7p
    @user-wy9si9hg7p 6 месяцев назад

    Mbona mdogo Sana dh aliwe supu

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 6 месяцев назад

    Pole baba

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 6 месяцев назад +2

    Pole sana babu 😢

  • @WilsonMalolela-jz1hf
    @WilsonMalolela-jz1hf 6 месяцев назад +2

    Sawa