@@imanipirfa225 ndo hivo wanaomba sana like kuliko point maana ya ku koment ni kutoa maoni je anaweza? au je angefanya kitu fran angetisha au aongeze kitu gani?
Jamaa anajua sana bairam atakua kaenda bongo movie wakamchomolea mungu alivokua fundi akampa nafasi mja wake ndio mana bongo movie inakufa kwasababu mabadiliko hamna
Yani ukipendwa Na msela imekula kwako, ndo maisha ya Siku izi wa sela awaogopi Uwe mke wa Nani wao wanachuguwa tu!!! Naitaji sehemu ilio ya 02 kama kawaida
Hamna kitu movie imefeli nani atakubali mke wake aje muhuni tu amzingue sababu mteja amempend yule mke wa mtu kisa ubabe wanaume asilmia ndogo Sana kwaheri
Naombeni like 100 tu kwa leo
Zitoke wap hahahaa
Hahahaha!bhailam,Anitha sio mpenzi wako,nimke wa mtuhuyo,umechelewa ameshawahiwa,
Bayilam anafaa kucheza bongo movi sio comedy
Muwe mnatowa maoni sio kuomba like
Ilo ndo la kweli sio kuomba like
@@imanipirfa225 ndo hivo wanaomba sana like kuliko point maana ya ku koment ni kutoa maoni je anaweza? au je angefanya kitu fran angetisha au aongeze kitu gani?
Safi Sana bro
Kweli
Wanayumba kweli mtu ata kitu ajaangalia anawai kuomba likes
Hakika bhailam unaweza naona nafasi ya kanumba unaikava hongera kk pia ongeza juhudi kk zaid ya hapo
Hahaha makofi kwa bhailam jamaa anajuwa bhana😂😂
Bhailam mapenzi 🤣🤣🔥🔥🔥
Nakubar bro good work from zed
Msele kidogoo amebug ku act uwo usela sema good aidiaa mnaweza
Nakubali bayiramu
🔥🔥🔥. Amakweli Huyu jamaa Anajua kuigisa Sana Huyu Atakuja Kuwa mwuigisaji mkubwa # comedian
Much love from🇰🇪
Bahiram Fundi👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Noma sana 🔥🔥
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Aaah we byramu sio msanii unalia mbk unaboa
Jamaa anajua sana bairam atakua kaenda bongo movie wakamchomolea mungu alivokua fundi akampa nafasi mja wake ndio mana bongo movie inakufa kwasababu mabadiliko hamna
Anita mkubali broh🤣
Nakubali 💯🥂
Nakubari brow from mozambique ❤🔥🙌🇲🇿
KAZI Hii Inakifah Bhailam
Bhai lum 🔥
Kali ya mwaka😂😂😂
Hahahaha msera kweliii huhuuuu mbaka hme
Yani ukipendwa Na msela imekula kwako, ndo maisha ya Siku izi wa sela awaogopi Uwe mke wa Nani wao wanachuguwa tu!!! Naitaji sehemu ilio ya 02 kama kawaida
😂😂😂😂wa Kenya 🇰🇪🇰🇪
Sharukhan wa tz ❤️🔥🔥🔥🇴🇲🇴🇲
Jaduuu hio kabisa 👌🫡
Bahilam naja tz
Msela kweli
Nice content
Jitahid San sana na ufanye mazoez sn kuiga swaga za kanumba maan huyo mtu ni hatar
Mmm nice saaana content
Wap khairat
SHARUKH KHANI🔥🔥🔥🔥
Mweusi
Unajuwa sana bro
Muhuni kapenda ahelewi wala nini 😅😅😅
Ramani ya hiyo nyumba imependeza
Nc
Nakubari sana mwamba Bairamu
Nzur
Aniiiitaaaa
Hongereni sana kwa kweli
🔥🔥🔥
Bailam ww duhhhh 😀😀😀😀
Kanumba unastahili the grit
Nakumbuka bongo movie 🤣🤣🤣🤣 itaendelea part 2
😂😂Part2
Wapi wewe
Upuuzi kabisa
Bhailama nakupendq
Kimapenz au
@@samwelimoshi5614 Ndio kimapenzi
Nakubali xana bailam...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Like kwa huyo Anita,anaviweza
Masela huwa hatuongeii hivyo
Huyu mume vipi sasa mkeo anatongozwa we upo kimyaaaa
Maigizo tuu
Wa pili Leo kucoment
😂😂
Ivi munatuacha wapi? tunahitaji épisode 2 ♥️🇨🇩
Bhailam😂😂😂😂
Hamna kitu movie imefeli nani atakubali mke wake aje muhuni tu amzingue sababu mteja amempend yule mke wa mtu kisa ubabe wanaume asilmia ndogo Sana kwaheri
🤣🤣🤣
😢😢 Jmn Jojo ndio anabebwa na handsom😢 uwii
Hii movie kama kweli vile ...yalinikuta mm mwenzenu
Sory ikawajeee ulimkubali au na mumeo ikawaje
@@samwelimoshi5614 nili hamaa mtaa
@@marywairimu5682 ulikuwa umeolewa eehee ikawaje baada ya kuhama
🇧🇮🤝🤝🤝🇧🇮
𝑮𝒐𝒐𝒅 𝒎𝒐𝒗𝒆
😂😂😂😂😂😂😂bangi zimekolea kwabailam anapenda hata wake zawatu.huyu dada nayee kapenda kusimamishwaa mana angempitaa kama mshalee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kosa kumpa nafasi kumsikiza
Kweli kabisa
Kumekucha Baillam
Mchizi kazuzuka na mkia wa Anita
Mapenzi jamani
Bailam unamuiga shahrukh khan
Usenge mwingi
Kweli msela kapendaa nae ni mtuuu
Mbaya
Hii kali 😄 🤣 😂 😆
Ila Hawa jamaa wanatisha san
Bhailam km sharkhan
Uyu Ata kuigiza hajui bana anazingua anaita tuuu aaaah mpaka anakera
Mke kacheza vizr kuitetea ndoa yake ila mume mmm hayuko Sirius na ndoa yake
Huyo bn muogaa
Huyu mwanaume duuh
Mi naona bailam anaarbu
Ya usela kayumba kidg
KAIGIZE WEWE UPATIE
Bailam huyo mke wa mtu mbna usielewe
Sounds like #Steven Kanumba
Utakuwa umzingua Kama aitoendelea
Itaendelea
Syo kwa mume huyu mke anatpngozwa na unashangaa tyuu
Hawez kuigiza
Anaigiza poa sana lakini sidhani kama ni bora kuangaliwa na watoto.
💪💪💪💪
Xwali langu ni kuwa mnapata changamoto gan katika kuxhuti video
Tutafika tumechoka sana
Yani Uyu Mbuzi Bailam Ana Kenyuaga Mimeno Tu Mtu Mwenyewe Apigi Ata Mswaki Meno Yanga Tu Anakera Kinoma
Haya maisha yakupendwa na wasema wengi tumepitia mana hawa viumbee ni gundi haswaaa
Bailamu wewe ni mwamba
Naomba jambo moja kwa mashambiki wakweli vile tunatazama hivi basi zote tuweze kusubscribe kwa ajili ya upendo kwa ndugu zetu. Tutafika bali
Anita kaferi kwenye part yake
Kimuvi muvi inawezekan kumpenda pisi ya mtu kiasi hicho ila kiualisia duh amna kitu ka icho zaidi ya kula chuma
Mbona style za kanumba???
Srk style,darr movie
Unamtaka anita alf unaongea kma mganga
Achen Ujinga unapata wapi ujasiri wa kumpenda Hvyo mke wa mtu.......bahilam nakukubali lkn hapa umefeli mwamba wangu Unajua Uchungu wa mke Ww!??
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Siyo kwa shepu hilo la Anita