Golden Star Modern Taarab - Nasumbuka Bure Naomba Sitara (New Taarab Music 2018)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 35

  • @ramadhanisebogwe9011
    @ramadhanisebogwe9011 5 лет назад +11

    Kitu bora kitaendelea kuwa bora daima, haijalishi nimuda gani umepata. Hizi taarab zamuda mrefu ila haziishi raha kuzisikiliza

  • @khadijaomar767
    @khadijaomar767 3 года назад +3

    Sifanyi matungu kwakunionea

  • @KorintoPaluku-s8w
    @KorintoPaluku-s8w 10 месяцев назад

    Serushaboby nastor ,Nzavonimba Abdallah Kabendera Shinan .Mongi Tito,Wimana Abdallah ni wakati walipokuwa watangazaji wa radio Rwanda Kigali izaa ya kiswahili sana tisa na nusu

  • @AishaKingoso
    @AishaKingoso Год назад

    Baba yangu mungu amlaze mahali pema nimekumbuka mengi inshaalah

  • @saidawairimu545
    @saidawairimu545 4 года назад +3

    MashaAllah nakumbuka enzi zangu nkiwa mdogo lo!!

  • @salimsaleh4773
    @salimsaleh4773 2 года назад +1

    MashaAllah wana golden star jamani nawatakia mema wimbo zenye jamani inaniba moyo wangu kutulia kweli. sisemi kitu

  • @sofiachikolo971
    @sofiachikolo971 4 года назад +4

    Nimekumbuka mbali sanaaa,

  • @rahimalewe2835
    @rahimalewe2835 4 года назад +3

    Nimeipenda hii nyimbo 😭😭😭

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 Год назад

    Mashaalah I love this song very much

  • @habibajuma9233
    @habibajuma9233 6 лет назад +4

    Ni kweli kabisa Bora kumuacha muumbaji ndio Kila kitu

  • @FatumaNoor-lt5yj
    @FatumaNoor-lt5yj 10 месяцев назад

    Apa mmenifikisha jaman

  • @rukia1113
    @rukia1113 2 года назад

    Usijipiganie mungu ndio mlipaji

  • @mariamhamis3079
    @mariamhamis3079 Год назад

    Nakosa cha kuandika 😢

  • @khadijanawawi4191
    @khadijanawawi4191 4 года назад +2

    Yaani nazikibali hizi nyimbo mana Na Mimi nnakipaji tangu mdogo ila basi waacha tuu

    • @twahajuma4216
      @twahajuma4216 4 года назад

      Khadija Nawawi bila kukifanyia kazi kipaji utabaki kuwa shabiki. Jitolee kuimba hata bure kwenye majukwaa ya wenzio In sha Allah utafanikiwa kujiendeleza.

    • @thumabby3655
      @thumabby3655 4 года назад

      Sautti tamu safi japo niza kale lkn bado nttamu sana mashallah

    • @rajabustima8995
      @rajabustima8995 4 года назад

      KWELI YAKALE NI DHAHABU.(Sifanye machungu kwa kunionea.kwani bwanamungu atanilipia)Ni maneno ya hekima na yanayo ishi.

    • @muhindihamisi7091
      @muhindihamisi7091 3 года назад

      @@thumabby3655 sawa

  • @sopabanda8811
    @sopabanda8811 4 года назад +1

    Since 1990s mashaallah

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 5 лет назад +1

    Mashallah shukran my mom ameinjoy sana

  • @AishaKingoso
    @AishaKingoso Год назад

    Nakumbuka enzi ya baba yangu pale duga maforoni kituo Cha polisi clabu ya polisi alikuwa anaimba mwanahela mi nilikuwa mdogo nakumbuka mbali

  • @switnush5885
    @switnush5885 5 лет назад +2

    Mola ndie Hakimu wa yote💖💖💖👌

  • @sofiachikolo971
    @sofiachikolo971 4 года назад +3

    MASHAALLAH.

  • @khanifayusuf8948
    @khanifayusuf8948 6 лет назад +3

    Sifanyi machungu 😥😥😥😥

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 5 лет назад +3

    Swadaqta

    • @katangakatanga858
      @katangakatanga858 4 года назад

      Kiukweli nyimbo hizi zikipigwa zinanikumbusha marehem mama yangu Pumzika kwa amani mamaangu

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 лет назад +4

    Mashaallah nyimbo hizi likuwa mtto sna ssa twazckiza tena

  • @iddisaidi1331
    @iddisaidi1331 5 лет назад +2

    Yes

  • @abuanzal7355
    @abuanzal7355 4 года назад

    Old is Gold

  • @khanifayusuf8948
    @khanifayusuf8948 6 лет назад +5

    My favourite song

  • @saidawairimu545
    @saidawairimu545 4 года назад +1

    MashaAllah