Prof. MBARAWA AMPA HEKO MKANDARASI WA SGR MWANZA - ISAKA “PAMOJA NA MVUA, KAZI INAENDELEA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 18

  • @onetwoem1808
    @onetwoem1808 Год назад +1

    Safi sana kwa kipande hichi cha mwanza kweli speed ni nzuri sana, Matumaini yangu viwango viwe vya standard nzuri.

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 Год назад +3

    Big brains live and leave early.....Mliosoma Cuba mshanipata

  • @meshackpendael9162
    @meshackpendael9162 Год назад +3

    TRC mleteni waziri huku Morogoro -Dodoma -makutupora, tuna miezi mitatu kazi zimesimama tumelala camp ... Hakuna dieseli, Gypsum, Gypsum board,cement,soundprof, rangi nk... Sisi wafanyakazi tunadai nssf kwa miezi 11 sasa

    • @dickchambilo9138
      @dickchambilo9138 Год назад

      Bora umesema, maana hawa TRC ni taasisi ambayo bila kuibusti haiwezi kwakweli, yaani kuna uzembe wa Hali ya juu Sana sjui tatizo liko wapi? Uzembe unaonekana hata kwenye hizi computer tren za mjini, kuna mda wanafanya vzr Ila kuna mda wanakuwa nje ya mda, vituo havijajengwa abiria tumisubiri tren mvua zikija tunanyeshewa miradi ndo hiyo inasuasua it's like there is no leadership in TRC.

    • @edson2450
      @edson2450 Год назад +1

      YAPI MERZKEZI ni wahuni, Tunadai pesa ya kazi tuliyofanya toka February mwaka Huu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Год назад +2

    Siku zote mngekuwa mmempa huyu kipande cha Dar Morogoro tayari watu wangekuwa sasa hivi wanajivuna ka pesa za kodi zao.

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 Год назад

    Uwongo amsimamii vzr mnatupanga tu reli dar to morogora hadi leo ajaisha kwel

  • @JumanneIddi-x9c
    @JumanneIddi-x9c Год назад

    Ikifika muda wa uchaguzi ndo mtamaliza 😂😂😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Год назад +1

    Njia za trein zinatakiwa ziwe mbili moja kwenda na moja ni ya kurudi.

    • @mduda_i
      @mduda_i 6 месяцев назад

      wew uliona wapi hiyo 😂😂😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Год назад

    Trein inatakiwa ikuwepo kutoka Dsm , Tanga na Kilimanjaro. Kwa nini mmeiuwa trein ya Tanga na Kilimanjaro?.
    ,

  • @Ramoko5040
    @Ramoko5040 Год назад +1

    Mbona jamaa anajichanganya. Sehemu ya juu inawezaje kuwa sehemu ya reli ya zamani?!!.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Год назад +1

      Nadhani anamaanisha sehemu stesheni inapojengwa

    • @Ramoko5040
      @Ramoko5040 Год назад

      @@josephwilliam5813 Rudia tena utagundua ninachokisema. Anazungumzia stesheni inayojengwa. Haitakuwa tofauti na ya Dar kwa muundo wa utendaji. Kwa sababu kuna viaduct, reli ya kisasa inakuwa juu na ya zamani inakuwa chini. Yeye amesema vice versa!

    • @jworld1480
      @jworld1480 Год назад

      waziri wa ujenzi si mbashungwa au@@josephwilliam5813

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Год назад

    Tanzania tuna hela

    • @dickchambilo9138
      @dickchambilo9138 Год назад

      HeLa za wapi? Wakati zipo mifukoni mwa waliopewa dhamana kusimamia miradi wanazikula maskini mheshimiwa rais anasaka HeLa na nchi kaifungua vzr, utarii kautangaza vzr, Ila viongozi alonao baadhi ni tatizo Sana. Hata miundombinu ikiharibika kwa sasa ni ngumu kuona inatengenezwa, mfano barabara ya kuelekea pugu mnada wa ng'ombe ukitokea gongo LA mboto. Yaani inanatia kichefuchefu kbs, wanasubiri samia aje aitengeneze 😂 Ngoja tumsubiri mwenezi wa chama aje