Wachanganyikiwe --tu !!! Kwa jini la Yehova yesu christo Wa ngomeni kupitia Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha please 🙏 Nipe na mimi ni wa maliziye watesi wangu na familia yangu.
YESU anakuja na kipimo utaonekana Kama Ni Mungu wa kweli fanya kazi bila kuchoka Kama Ni maigizo Mimi Sina kipimo yupo YESU anakuja na kipimo utaonekana
Shida yako ni nini?? watu wanapona yaan natamani ungefika kanisani, kwanza uone ibada zinavyojaa upako, na Maombi mda ote, wachawi waakamatwa kila siku, Mungu wetu yuko hai, na yuko kazini
Endeleeni tu kutoa kafala viungo vya ndani vya watu na ngome yenu ya uchawi kwa nilicho kipata hapo mungu tu anisaidie maana huyo ni jini na freemasoon hapo
Amina baba
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu neema yake Mungu ikutoshe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor niombee nasumbuliwa na watu ombao nawafaamu i like watching your video so much am in Nairobi.
Watachanganyakiwa sanaa tuu kwa jina la yesu wa ngomeni kuhani musa mwacha nionyeshe na mimi wates wangu baba 🤲🤲🤲 🤲🤲
Wachanganyikiwe --tu !!! Kwa jini la Yehova yesu christo Wa ngomeni kupitia Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha please 🙏 Nipe na mimi ni wa maliziye watesi wangu na familia yangu.
Najiungamanisha na maombi ya ngomeni kwa mchungaji musa mungu usiniaçhe
Ameen mtumishi tunajiungamanisha Mimi na familia yangu
Mtumishi tuwekee TV channels kwenye ving'amuzi tafadhali sana
Yadunia nimakubwa daaah ahsante YESU WA NGOMEN umemuponya huyu mama
Wajanganyikiwe kabisa katika jina la Yesu
Amina baba mutumishi
Jamani niko Nairobi naeza pataje vifaa vya Kiroho jamani
Amen
Naomba wachawi wangu wajitokeze
Amina mtumishi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Mungu tunaomba tupone
Amiiina
Baba
Musa lichard
Mwàcha
Guhani Musa
Eeh jamani!!! Kuhani Musa big up, Yesu azidi kujihirisha watu tuokolewe
Amen mungu mkubwa
God is good always!!!
amina baba tuokoe baba 🔥🔥🔥
YESU anakuja na kipimo utaonekana Kama Ni Mungu wa kweli fanya kazi bila kuchoka Kama Ni maigizo Mimi Sina kipimo yupo YESU anakuja na kipimo utaonekana
Shida yako ni nini?? watu wanapona yaan natamani ungefika kanisani, kwanza uone ibada zinavyojaa upako, na Maombi mda ote, wachawi waakamatwa kila siku, Mungu wetu yuko hai, na yuko kazini
Yesu wetu wa Ngomeni anaweza ww karibu Ngomeni mwa yesu
Najiungamanisha na ibada hii nikombolewe baba
MUNGU Ni mwaaminifu sana
Yesu wa Ngomeni anaweza yote
Ameeen
Endeleeni tu kutoa kafala viungo vya ndani vya watu na ngome yenu ya uchawi kwa nilicho kipata hapo mungu tu anisaidie maana huyo ni jini na freemasoon hapo
😅😅😅😅 Ameen. mungu ni mkubwaa
jamani nafurahia maombi yenu mnanibariki japo nipo mbali Niko babati
Jamani natamani kufuka ngombe ya resu
Hayo maji yanapatikana wap?
Yeyote akate moto. Naomba kupata vifaaa vya hapo ngomeni ya yesu jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🤝🤝💪
Mungu wa kuhani Musa nitendeye Nami bachawi ba Kate motoooo
Mafuta Na maji nayo Ni miujiza ya Yesu
jamani na Mimi natamani hivyo vifaa nabii
Kuwani
jamani najiuganicha na madabahu yako
Mimi niko mwanza nitapataje mafuta na maji
Yeyote akate moto. Naomba kupata vifaaa vya hapo ngomeni ya yesu jamani