Najiungamanisha na madhabahu ya mtumishi wa mungu musa nasimama kinyume na roho za mauti na maroho wachafu yashindwe kwa jina la yesu ngoa kila roho chafu mtumishi wa mungu
Na mimi maramingi niki kufwatilia youtube usiku, nakuhona kundoto Naku fatilia nyuma uni sahidiye ila cha ajabu baba kuhani musa ulikuwa una ni kwepa ,kwa kweli na shindwa kupata majibu, napiga sim kwenye nember nime chukua hapa youtube lakini amu nipokei 😭😭🇧🇮
Kupitia madhabahu hii wates wangu woote nawaweka peupe kwa jina la Yesu.
Najiungamanisha na madhabahu ya mtumishi wa mungu musa nasimama kinyume na roho za mauti na maroho wachafu yashindwe kwa jina la yesu ngoa kila roho chafu mtumishi wa mungu
Pole sana Dada Mungu ni mwema atakufungua katika vifungo
Hakuna lakushindika ukiwa ngomeni mwa yesu,hakika yesu wa kuhana naomba unisaidie namimi katika masomo yangu nifanye vizuri 🙏 ameen 🙏
God's revenge is the best it has no appeal. Barikiwa sana maishani dada🙏🏼
kwakwel kuhani musa Mwenyeez Mungu azid kukusimamia baba atutokata tamaa watoto wako kama ulivo baba na ss wanao ndivo ivo ivo
AMEN AMEN AMEN. mungu ni.mkuu
Asante Yesu
Mungu ni mwema kabisa
Bonge la ushuhudaa!! Bwana Yesu na matendo yake makuu kupitia mtumishi wake Kuhani Musa, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa huduma njema
Amen
My god is spiritual in answering people's questions 😮😮
Yesu ni mwema sana
🤲🤲🤲🙏🙏ameni.sana
Ubarikiwe sana Nabii nakukubali
Ameeeeeen. Baba . MusaLichrd. Mwacha.
Balikiwa Baba. 😊
Mungu akubariki na aendelee kukuweka uendelee kutufungua
Amen, Yesu wetu ni mwema
Mungu abariki mitumishi wa mungu,nime barikiwa
Mungu wako afunguwe maisha yangu mitumishi wa mungu
😢😢Yesu asante Kwa ukombozi wako nalia Kwa huu ushuhuda yoote nimeyapitia hayo jamani
amina baba huu mwaka wangu
Amina sana yan
Yesu wa Kuhani musa naomba na omba mkomboe mume wangu mikononi kwa wachawi wamemchukua tangu mwezi wa saba kwa damu ya yesu naomba nisaidie.
Jamani mungu wa mbinguni azidi kukueka mtumishi wa mungu uzidi kutuokoa
Amina baba
Yesu Kama Yesu yupo Imara
Amen
Aminaa
Kupitiya ushuhuda uyu kilamabayawalonifanyiy nakupitiy kizazi cangu yawarudiliy kwajinala yesu ameeeeeeeen
Nakupend saan Babaa
Amina sana
Ameeeeeeeeeeeena
Baba
Musa
Lichard
Mwachard 🖐️🖐️🖐️🖐️😁😁😁😁😁
Aminna
Mungu wa kuhani musssa ni Mungu alive hai
Mungu ni mukubwa kabisa
Mimi naamini maana mtesi aliekua nanashikilia nyumba yangu nakusema yakwake alikata moto
Amina Amina 😁😁😁😁
Yesu ameimaliza
Da sawa sawa
Mungu akikutaka,lazima utapatikana tu,Amina kubwa mno.
Nami watesi wangu waisheee
Baba mudogo akakufa
Amiiiiiiiiiina
Baba
Aminaaa kubwa sana na Mimi nakuomba yesu wa ngomeni mussa unitembelee katika fammilyia yangu unitibu roho chafu
Majabu
Amiiina
Baba
Niko vibaya
Niombeye
Amiiina
Mungu fundi
Mmm shuuda konk 🙋
Asante yesu asante yesu
Niombee mtumish was mumg
Amina
Mtumishi redio ya channel yko ni ipi
Jina la bwana libarikiwe sana
Uni kumbuke Yesu wa kohani na Nabii Musa.
Kwajina na Yesu christ.
Mungu atusaidie sana🙏🏼🙏🏼
Amina
Ashukuriwe yesu alie kupa hii kazi,yakusaidia Hawa watu,baba kuhani.
Na mimi maramingi niki kufwatilia youtube usiku, nakuhona kundoto Naku fatilia nyuma uni sahidiye ila cha ajabu baba kuhani musa ulikuwa una ni kwepa ,kwa kweli na shindwa kupata majibu, napiga sim kwenye nember nime chukua hapa youtube lakini amu nipokei 😭😭🇧🇮
Na pokeya kwajina la Yesu christ
Eeeeh mtumishi asifiwe yesu mm nmkenya nautanisaidia vp mtumishi
Wanaomtesa mwanangu wanaswe na yesu wa ngomeni wa kuhani Musa wafe wafe katika jina la yesu
Amen
Yesu ni mwema Anaviinua vinyonge kutoka jaani
Amina mtumish niombee nasumbuliwa na tumbo
haponikiboko Baba hakika
Namie niponye bwana na mipango yote ya adui
Maumbili nayapenda na uponyaje mtumishi musa ninakukumbali
Nabii unapatikana wapi nimevutiwa na maombi shuhuda na unabii wako natamani kufika kwenywe kansa lako
Sio nabii ni Kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha, anapatikana Kimara temboni dar es salaam
Pihy naomba maombi niwwze kufika napitia magumu
Nabii wa kuhani Musa namiye bachawi yote vente balishaka funga batoto yangu bakate moto bote
Naomba namba ya simu ya kohani nataka nije huko
Doccoment
Malipo ni hapahapa dunian tuombe na kuamin jmn
Kipimo walichonipimia watapimiwa mara thelathini kWa damu ya yesu kristo
Naombini namba yamungozo nahitaji kuja huko mutumshi
Hakika MUNGU wa kuwani ni mkubwaa
Ngomen kiboko sana
🇮🇱 🙏 🇮🇱
Asante yesu
Amen
Baba mudogo akakufa
Amiiiiiiiiiina
Baba
Amen