Na mm mungu aniponye h.i.v nlizaliwa navyo pia nimepitia changamoto nyingi hii ni week ya pili kwanzia nije kanisani pia sioni jicho moja mungu aniponye kwa sasa sifanyi kazi niko tu nyumbani mungu aniinue
@@Kuhanimussa mtume nina matatizo makubwa sana nimejifungua mtoto wa kike alikuwa vizuri ila kwa sasa amebadilika kichwa kinakuwa kikubwa sana na kinaendelea na asaivi ana miezi mitatu
Nakukubali Mtumishi wa Mungu.KUHANI MUSSA
Bwana Yesu akutunze.UISHI MILEE
Amen Amen huu ushuuda ume nisaidia.
Mungu aku bariki mtumishi wa mungu.
Mungu akubariki binti,shuhuda yako inagusa maisha ya mabinti weng,Barikiwa sana.
Hadi nimetokwa na machozi mungu akutunze kuhani musa mwacha utuombee tuinuke tufanikiwe tuje kukutolea shukurani baba angu 🤲🤲😭
Hakika Mungu anatumia kuhani Musa kuharibu kazi ya shetani
Mungu akupe maisha marefu kuhani musa 👏 tuombee kuhani tupate kile kinacho sitahli katka maisha tuje kukushukuru baba
Kuhanii musa ubarikiwe san yesu akupe maisha marefu
Amina
Asantee Yesu kwa uponyaji napokea namimi
amina baba lazima nifike kwa yesu mwaka huu 2022 kwa kuhani Musa Richard mwacha kwa jina la yesu 🔥🔥🔥
Jamani maisha bila kuwa na YESU utateseka Sana maisha hakuna shetani kazi yake nikukuita vizuri mwisho ni anakupa mateso makubwa
Nimeona shuhuda hii imenijenga, mungu ni mzuri.
Barikiwa Sana kuhani.
Hongera umeamua vyema, MUNGU AKUSIMAMISHE KISIWEPO CHA KUKU ANGUSHA
Aminaa baba mungu akubariki baba mpaka machozi yananitoka
Jamani YESU NI BWANA....!! JESSICA Mungu aendelee kukuinua kutoka Utukufu kwenda Utukufu...! Amen.
Aaminaaaa kubwaaaaaa yenyeee ujazoooooo.na mungu akuwekee milele yoteee kuhani na mwalimu Musa mwacha
Mtumishi wa mungu niombee mimi na watoto wangu pamoja na mume tunapitia changamoto nyingi sana
Naitwa Sara naomba mungu afunguwe familia yetu
mungu akuweke miaka mia bba
😢😢😢 asante Yesu kwa kuniokoa
Mungu wa madhabahu hii hakika anajibu
Dada mungu akutie nguvu amina
Aiseee jmn mungu yupo hushuda wako umejenga wengi Ubarikiwe sana dada
Amen Amen🙏🙏
God be with you all thedays of your life
Amina kwa Mungu yote yawezekana
Dah!!!!! Mungu mkubwa sn ......
Kuhani Mussa Mungu azidi kukuzidishia miujiza ukazidi kuitenda mpk kwa levo za kimataifa ..... Zaidi na zaidi
Amen
Kuhani Musa MUNGu akulinde Sana namimi naomba MUNGu sn cikumoja nifike ndani yamadhabahu hii ameen
Amina baba
Hata Mimi napokea baba
Ameni ameni Yesu ni mzuri sana
Akika baba yangu mimi Niko n'a ushunda lakini Niko mungomani
Yesu ni mzuri.umelegeza shingo yesu kakuokoa.
Asante yesu yote yanawezekana kwa aaminie
Na mm naomba baba ukowe maisha yangu haliduni sina kwakua moyo wanga nmekukabizi
Na mm mungu aniponye h.i.v nlizaliwa navyo pia nimepitia changamoto nyingi hii ni week ya pili kwanzia nije kanisani pia sioni jicho moja mungu aniponye kwa sasa sifanyi kazi niko tu nyumbani mungu aniinue
Pole ndugu muamini MUNGUatakuponya hakuna linalo shindikana kwa MUNGU
Utapona
Hongera Kuhani kwa mafunzo yako akika tunabalikiwa
Baba kuhani Musa nina mwangu anaitwa teddy nyota yake wame beba naomba saidiye mwangu baba aolewe namume mwenye Mungu ame muandaliya
Kuhani Musa tunaomba TV ya kwenye king'amuzi tafadhali sana
Mungu wa kuhani Mussa sio wa mchezo mchezo
Amina dada Flora
Amen kubwa
Ameen
@@Kuhanimussa kuhani Musa umewasaidia wengi Asante sana kumsomesha huyo dada
Kuhani mussa
Mungu nimuku kabisa
Bwana ni .mwema sikuzote anaweze
Aminaasanaaaaa
Ok
hi niya mwaka gani
Ninyumba hisiyo olewa kwa upande mwingine ninyumba ya mlango wa 7
Amen
Jaman Yesu wa Kuhani Musa Mwonaji anatisha Kama nini
Kabixaa
Amina kuhani Nebat
@@Kuhanimussa mtume nina matatizo makubwa sana nimejifungua mtoto wa kike alikuwa vizuri ila kwa sasa amebadilika kichwa kinakuwa kikubwa sana na kinaendelea na asaivi ana miezi mitatu
Ni kweli dady kulogwa kwa namna hiyo ni hatali sana
Ameni MUNGU anatenda
nani ameguswa kama mimi ndani ya 2021
Duuu Mungu ni mkuu
Mugu yuko
Ushuhuda wa huyu dada umenibariki saana
Mungu yu mwema,
Amina kaka Alberto
Amen
Amen Amen