Elie Mpanzu style of play is similar to Arjen Robben, The lethal Dutch winger, He is fast, swift and slippery when inside the box, He'll be a nightmare to opposing defenders not to cause penalties, Congratulations SIMBA SC TOP OF THE LEAGUE.
For me I think Ateba's style is similar to Demba ba ,the former Chelsea striker. He is stationary at the position. Very energetic with powerful shots. Tentatively,he is at 54% of his performance.He will be at his best after winning the quarter final in CAF Confidaration cup League. Bravo Simba. Good performance ❤❤❤
Chagamba ikishinda simba unaweka interview fupi sana sijui kwanini. Naomba miraji umwambie chagamba. Kina vitu na mambo pamoja na matukio mengi hamjayazungumzia kwenye hii game. Kwanini hamjazungumzia lob ya Charles ahoua ile ya mwisho, nafasi ya chasambi, makosa alofanya che malon Fondo, dribbling ya mavambo. Yaani mechi kubwa sana lakini uchambuzi upo very narrow.naomba muirudie hii interview kwa kweli. Kuna mambo mengi ya kuzungumza kwenye hii game. Asante
Niwe mkwel SIMBA wametuzid YANGA in each Aspect 😢 still Simba wapo kimataifa afu yanga tunafurahi kushinda 4 Kwa Kagera, what this? simba imeipiga kagera kwao bao 5 na wapo kmya wanatengeneza team duhhh
Ni kweli wametuzidi nje ya uwanja!! Lakini kwenye pitch usitudanganye. Wewe kama ni kolo endelea kuteseka zako. Yanga iko compact kuliko timu yoyote tz. Kama hutaki, kamuulize marehemu mjomba
Na tulipokupiga wewe kolo goli 5 pia tulikuwa tunajenga Timu. Makolo walichotizidi labda kubebwa na MAREFA na sio Mpira . Ngojea tarehe 8 ndio utaijuwa YANGA NI Nani . YANGA BINGWA TENA

*333# tunaosema simba tunatengeneza timu tupeane like 5 tu😅😅😅
M napenda miraji anavompiga mabega chagamba
Tunatengeneza time jmn mtuache❤❤😂😂
For me I think Ateba's style is similar to Demba ba ,the former Chelsea striker. He is stationary at the position. Very energetic with powerful shots. Tentatively,he is at 54% of his performance.He will be at his best after winning the quarter final in CAF Confidaration cup League. Bravo Simba. Good performance ❤❤❤
You're absolutely right, He's more like Demba ba, But His tenacity is that of Didier Drogba.
Just watch a clip of His goal against Al Ahly Tripoli,He captilized on a mistake by defenders, . That's a vintage Didier Drogba.
Ubaya ubwela 🦁🦁💪❤️❤️❤️🎉🎉🎉
Brother hongera sana changambq
Ni Kweli haikuwa penalti lakini ubaya ubwela umefanya kazi point tatu ni muhimu.ubaya ubwera fro Mozambique 🇲🇿♥️🇲🇿
Simba akishinda CHAGAMBA anaweka dakika chache sana ILA powa
SIMBA YA MOTO, BADO TUNATENGENEZA TIMU JAMANI.!
1:30 😅😮😅😮😊
Asante mungu endelea kutujalia tupate uxhindi na tuchukue makombe..amen
Amen
❤😂simba nguvu moja
miraj nakubar sanaa respect sanaa
Miraji you are right Lionel ATEBA, has attributes of Didier Drogba, Stamina,Composure and powerful shot.
Miraji sisi ni people 😂😂
Simba ndo bado inajengwaaaa🎉🎉
Tunatengeza timu bado sana watoto wanatakiwa pumzi zisikate .
Yanga wameshanza kutumia madawa yakuongeza nguvu ushahidi upo
Tulete mzee said
Chagamba ikishinda simba unaweka interview fupi sana sijui kwanini. Naomba miraji umwambie chagamba. Kina vitu na mambo pamoja na matukio mengi hamjayazungumzia kwenye hii game. Kwanini hamjazungumzia lob ya Charles ahoua ile ya mwisho, nafasi ya chasambi, makosa alofanya che malon Fondo, dribbling ya mavambo. Yaani mechi kubwa sana lakini uchambuzi upo very narrow.naomba muirudie hii interview kwa kweli. Kuna mambo mengi ya kuzungumza kwenye hii game. Asante
Hakika mungu amesikia kilio❤❤❤
Nimekupa wa kwanza
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe sasa in to practical 🦁🦁🫡🫡💪💪🇹🇿🇹🇿🙏🙏
Na hapo bado timu aijakaa vizuri kwa kocha wetu je vipi ikija kukaa sawa kutawika
Niwe mkwel SIMBA wametuzid YANGA in each Aspect 😢 still Simba wapo kimataifa afu yanga tunafurahi kushinda 4 Kwa Kagera, what this? simba imeipiga kagera kwao bao 5 na wapo kmya wanatengeneza team duhhh
Unateseka ukiwa wapi 😂😂
Walau wew umekuwa kweli kwenye ukweli tuseme tu
Ni kweli wametuzidi nje ya uwanja!! Lakini kwenye pitch usitudanganye. Wewe kama ni kolo endelea kuteseka zako. Yanga iko compact kuliko timu yoyote tz. Kama hutaki, kamuulize marehemu mjomba
@@Yassin-z6oTusubiri tuone inshaallah
Na tulipokupiga wewe kolo goli 5 pia tulikuwa tunajenga Timu. Makolo walichotizidi labda kubebwa na MAREFA na sio Mpira . Ngojea tarehe 8 ndio utaijuwa YANGA NI Nani . YANGA BINGWA TENA
SIMBA SPORT CLUB WAKALI WA KARIAKOO
Simba hii wata umia wengii
Naaaam
Asali ni shufaa sio dawa dawa inaenda sehemu inapo hitajika kwamfoa kichwani ila asali inatembia mwili wote na maziwa ni shufaa
Miraji umepigaje apo nipe nikupe
Changamba mm nataka kumsikia dossa mavambo
Simba ikishinda mnataka isiongelewe kila cku tarehe 8 mwez 3 achen wiv nyie vyura
🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏🙏
Tar 8 mwezi wa 3 maneno yako hayo hayo tunayataka
Tunawataka sana
Hata mkitufunga hamuwezi funga kila tunapokutana mtafungwa tu na nyie Siku moja
Simba anashinda tarehe 8 mwez 3 wachezaji wenu yanga wazee
Na hii nayo mnyama anataka amshushe nyuma mwiko ,tabora anapitaje?
Miraji baki na uchambuzi wa soka tu acha kujinasisha na Simba! ukiendelea unakuwa unatupa maswali mengi ya kujiuliza.
Huyu ni shabiki wa simba sio mchambuzi
🏟️💯
Chagamga hii interview ni fupi sana😮...ngoja siku Simba ikafungwa tuone utaweka dk ngap...ili tujue upande wako
Miraji mtibwa hauisahaugi kabisa
Mtapoteana tu ni suala la muda hamkawii kuita wazee au gsm kazamini timu 8 mtashuka 2 hapo juu siku yenu ipo wapuuzi
Imekuingia hy kk
Umeumia ??bado tunajenga timu,usiumie sana
Hahahaha pole bro
Bado tunajenga timu usihofu