🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | TABORA UNITED {0} VS SIMBA SC {3} | LIGI KUU YA NBC 2024/25
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC RUclips Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Mpanzu shikamoo simba sasa tunakoerekea nikula kuku kwa mlijs💪💪💪✔️✔️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕
Asanteni wachezaji wetu kocha bechi la ufundi na mashabiki wote wa Simba
Simba nguvu moja asante MUNGU tumepata ushindi mzuri 🎉🎉
Tuna0mkubali Elie Mpanzu tumpe ❤❤ yake
Daaah Simba burudani sanaaaaa Leo imekuja kuwa siku yangu ya furah asanteni sana simba
Iyo nyomi hatariiiiiii simba raha jamani❤❤❤❤❤wacha tujidai
Uwanja umetapika aiseeeee
Hongeren san chama langu simba
Kiukweli mungu amuhongeze maisha mo deuji na familia yake yote Leo hanatueshimisha wanamsimbazi mpazu na kipa wananikuna Sana moyo wangu❤
Kama kweli wew ni shabiki wa simba na una mini auja logwa weka like hapa,👍👍👍🤪
Hujalogwa
hujalogwa mshabiki mim Wa simba
❤ 0:00
Naipenda simba yangu
Asate mungu kwaushindi llshaallah🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Simba nguvu moja
mungu asante kwa ushindi tujalie tuwafunge na yanga hata bao mbili🤲🏻🙏
Simba naipenda sana tena sana tuu
Huyu ELIA MPANZU huyuuuù❤❤❤
Nice nicely ateba
Mpanzu n noma
Safi sana
Mungu ASANTEE Kwa kutuinua mbele ya macho ya maadui penda Sana simbaa
Sema atebaaaaaa gooooooooo ❤❤❤❤
Siku zote mbu mwenye kelele ndio anayekufa mapema 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Au sio umeona ee😂😂😂
Daaaa nalikuwa mbali ilove you simba
Mnajua kutupa rahaaaaa ❤ jamani wa Simba❤❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu moja Ubaya Ubwela❤❤❤
Simba hii watasubili sana mpanzu atisha Simba nguvu moja
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤
Uwanja naona uko fully kweli tunashukuru kupata ushindi mnono ateba alikua anachukua hatrick kakosakosa latatu
Simba yangu
Simba hii kila mtu atafungwa......Timu katiri sana
❤❤❤❤
Simba nomaaaa
kwao kama kwetu ❤
wangap 2meona kazi ya bouncer akiwagalagaza nyuki wa tabora 2juane jaman🤣🤣 me nime enjoy sana
Huyu kagoma👐
❤
Nafurahi mpaka najikuta nalia jamani
One strong lion
Simba nguvu moksii babaaa imeishaaa iyooo kutoka ar a chuga
Hv kiingilio Leo ilikuwa bei gani mana hawa tabora Leo wameingiza pesa kupitia simba
10,000/=; 20,000/= na 30,000/=
Pia walio kosa tiket ni kama watu 20000 me nilikuwepo uwanjan❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉
Kamdomo kamdomo🤣🤣😋🤣🤣
Mtangazaji unakosea sana kusema hakukuwa na mgusano it means unatangaza kwa hisia sio professional
Ukiw Simb maumiv sahau.
🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Siku zote MBU MWENYE KELELE NDIYE HUFA MAPEMA 😂😂😂😂
simba i have something to ask some of us are far from home why don't you guys post the full match after the match some of us are not at home ubaya ubwela simba nguvu moja
Download azam app you will see the full match
Y0u have q00d idea
Ubwela
Ubaya ubwela
Kwani apo nyumbani kwa simba 😂😂😂
Wachenzaji wa simba wanajituma kagoma ngoma shomari shabalala mpanzu ateba kibu tum imejipata simba bingwa
Catalyst
Unyama mwingi sana.
Unyama 😂😂
WAO,WANUNUE TU,CC TUNAFUNGA TU,HONGERA SANA CMBA SC
Sasa tunamtaka mwiko nyuma ! Safari hii hata akiwepo Kayoko Utopolo atakula nyingi sana.
Ngoma mtu sana
Ety mbu mweny Kelele ndo anakufa mapema😅😅😅 ila injo bhana
Kwer
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mpanzu watu watalia sanaaaaa mungu ni mwema maana mechiii hii imesemwa sana hatimaye mnyama kawaonyesha 😅😅😅😅😅 nyuki,asali wote chali😅😅😅😅 raha sana kuwa mwanasimbaa
Walisema nyuki akumbatiwa lakini kwasimba wanakumbatiwa nakupigwabusu Kisha nyuki wanakaa pemben Simba analamba asali kiulain
Plz send is the full match
Kerere.zatabora..zimeabukia.ziro..wawafunge.yangatuu..kwasiba..kichapo.kwakwedambere
Nashkur Mungu kwa ushindi mnono, ukiumia ujue ubaya ubwela umekuingia 😂😂
Mnyama oyeeee
Oyeeee
Kocha kumuanzisha Ngoma mbele ya Mavambo ni kumkosea Heshima Deborah Fernandez Mavambo, angalia tu kaingia kipindi cha pili lkn katikati na timu nzima ikabadilika kocha Fadlu kama karogwa aende aombewe Mavambo sio wa kuanzia nje
We kenge tulia kocha anajua anachokifany
Alafu wana simba ndowanakuambia wanajenga timu apo
Kwahiyo tabora ni mbu tu sio nyuki 😂😂😂😂😂
Naikubali natamani ningekuwapo
Tabor wameingia namatumin😂😂 lkn walichokutan nacho kwa mnyama 😂
Ubaya Ubwela popote
yanga hii utaifungaje 😅😅😅nyoooo
Bado tunaunda timu😂
Msijali kwa hii simba kila mtu atafungwa tuu ni swala la muda 😂😂
Huyo elie mpanzu si mnataka afunge? ngoja march 8 mtamuona vizur anaweka kamba mbiili
kibunda kiliwaponza tabora jaman yan walikazana kujilinda wakiiwazia bahasha😂😂
Nan ameridia kuangalia mara 5 hii mechi iliyo kuwa imesubilia Kwa Hal na uvumba ee ubaya ubwela
ubaya umefanywa na ateba na kapombe
mwaka huu ni ubaya ubwela hatucheki na kima
C poa mbn tunaonea kiac hiki jmn tuwe na huruma nyie 😢😢😢
Mwalimu anasema bado anajenga timu jamani😅
Mnabebwa sana ila ipo siku mbeleko itachanika mtaanguka km mizigo yaani kila mechi mnayocheza lazima mfanye mipango na marefalii siku wakizichoka dhambi mtalia nakusaga meno
Njoo tukube ww bx
Simba mzuri ila Makin d
Simba sasa ni kichapo tuu kila ajae ni za kichwa tu huo ndomaana ya ubaya ubwela
inabidi budo atoke kati sio pemben
hiv hawa watoto wanaokota mpira huwa wanalipwa
Subur tumuulize mwalim kashasha
Ushindi wa mang'amng'am kibu kacheza faulo refalii kaacha ateba kacheza faulo refalii kawabeba ila mchezaji wa tabora kaicheza km ile ya ateba refalii kaiona
Unateseka ukiwa wapi? Kaa kwakutulia, tarehe 8 mwezi wa 3 sio mbali tutawazibua nyie nyuma mwiko hamta amini
Mpanzu bonge la mchezaji ase
Hiyoo ndyoo maana halisi ya Ubaya ubwela
Ukiona unanyanyaswa namnyama kashitaki au vp
Ubaya ubwela
❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤
Ubaya ubwela
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤