WAKAZI afunguka sababu ya kuwakosoa WCB, kukutana na DIAMOND, matusi anayopata, kupishana na ROMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 85

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 Год назад +5

    Wakazii uko vizuri fact always unawapa wa bongo....salute

    • @FestoReonadi-kq8kp
      @FestoReonadi-kq8kp Год назад +1

      Sion fact yoyote ira ninacho weza kusema ajifunze kufanya siyo kazi kusema wenzake maana yeye kwenye mziki kajitoa hayupo lingine mtu anavyo pambana anapambana na juhudi zake maalifa yake ndiyo yanayo mpa mafanikio juu yakire anacho kifanya asipendi kukosoa bira kujari mtu katumia garama zakufika ukobaliko pili mda Soo aheshim haso za mtu

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 Год назад +6

    Jamaa anajikuta mzungu kiswahili kinamsumbua

  • @VesoteTanzania
    @VesoteTanzania Год назад +3

    namkubali sana wakazi cz always huwa na mitazamo tofaut ambayo ukimsikiliza kwa makini utagundua huwa anahoja nzuri sana, bigup bro

  • @fabricewakazi-zz1xy
    @fabricewakazi-zz1xy Год назад +3

    Napenda interview za Wakazi he is the best guy from Tanzania

  • @yuslaelias953
    @yuslaelias953 Год назад +2

    Wakazi💪💪 namkubali🔥🔥🔥🔥

  • @starford
    @starford Год назад +1

    Always like Wakazi. The way he breaks down topics so logical. Respect 💯

  • @FestoReonadi-kq8kp
    @FestoReonadi-kq8kp Год назад +3

    Uyu jamaa masikini wa fikira

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 Год назад +2

    Wakazi hajawai niangusha.. 💪🏽👏🏾👏🏾

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Год назад +1

    Huyu kenge simuelewegi
    Anapenda kuangalia maisha ya wenzie kuliko Muziki wake

  • @AmelbergaKempanju-uf1zh
    @AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад +3

    Bongo wanajua Mond no baba lao lakini kuna watu wanamuattack ili waongelewe huu ni ujinga huyu Jamaa ataupeleka mziki wa bongoflava mbali sana sijui Kwa nini Wakazi anakosoa sana lakini hayupo midumoni mwa watu wengi wanaomjua ni wale wanaofuatilia sana mziki

  • @tulisanga2023
    @tulisanga2023 Год назад +2

    Wakazi anatakiwa kuwa kiongozi kwenye Sanaa yetu anajua mengi sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Год назад +3

    Namkubaligi Sana wakazi Yani,,na anaongeaga point na sio mchoyo na ni open minded

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha Год назад +1

    20:30

  • @icyninjaplays2317
    @icyninjaplays2317 Год назад +2

    Naomba wakazi akija huku Houston naomba nionane nae. Hua nam judge sana ila ningependa nakae nae ni uelewa zaid

  • @alfredmakoba
    @alfredmakoba Год назад +3

    wa kwanza huku chini

  • @Lassana755
    @Lassana755 Год назад +5

    acha kelele dogo huna hits song mjini

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 Год назад +10

    Uangaliage watu wa kuwaleta kwenye interview. Kama huyu amna kitu apo😅😅

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Год назад

    You are true wakazi❤❤❤

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Год назад +3

    Huyu jamaa anakitu ndani yake.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +3

    Watu hawapendi wsb waseme kwani wao sio binadamu kila mwanadamu anakosa

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 Год назад +3

    Huyu wakazi nimpumbavu tu

  • @moviesreview101
    @moviesreview101 Год назад +4

    Next year nikifungua media station yangu ntampa jamaa kazi kwenye marketing team

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Год назад +3

    NANI ANAKUJUA VILE NDIO NANI...

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 Год назад +6

    Dada wa kazi hiyo miwani kama mchomelea magrili...jamaa anapoteza muda mwingi kwa kukosoa wenzie kuliko kutunga nyimbo...halafu eti anajiita mwanamuziki...hata ubungo hawamjui...hahahaaaaa

  • @kalebuenosh7694
    @kalebuenosh7694 Год назад +1

    Toa hit Song ww

  • @careenevance1535
    @careenevance1535 Год назад +8

    Amna kitu apo

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Год назад +2

    Kuekeza AMERICA USA😂😂😁😁😁

  • @Jukwaa-7
    @Jukwaa-7 Год назад +1

    Kila kitu mbona kinajieleza.mbona wakaz kazungumza vyema.tuachane na chuki jamani.tujaribu kuelewa mtu kazungumza Nin.ukimkejeli inaonesha hujaelewa alichokiongea

  • @autoimmunesecurity2140
    @autoimmunesecurity2140 Год назад +1

    Huyu anaimba mziki gani? Au yeye ni kuponda tu. Na kama kukosoa ni diamond tu.

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 Год назад +4

    Huyu Kuna hatabaada yakumsikiliza namuona nyaputu Sasa yeye na Dadaimodi au wasanii wa wasafi si aldhina mbingu

    • @moneythemes
      @moneythemes Год назад +1

      Rudi shule, au penda kujifunza, hauwezi hata kuandika. Hauwezi kuelewa😆 "aldhina" "dadaimondi'

  • @emmilemalewa4257
    @emmilemalewa4257 Год назад +1

    Huyu jamaa majivuno mno, and some his words ni non sense, sns kwenye Hili for the first time nimeboreka.

  • @samniza1763
    @samniza1763 Год назад

    Sisi tumeenda late 80's 1986, ila tulikwenda kirahisi sana serikali ilitupeleka shule for a good 5yrs and never looked back 😆

  • @sundaycharles7262
    @sundaycharles7262 Год назад +2

    Bonge la interview

  • @leomkuulubala
    @leomkuulubala Год назад +4

    Wa bongo tuache kuponda watu wewe sikiliza interview uende zako mtu hata amjui mnasema hajui anacho sema fanyeni yakwenu.

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Год назад

    Black maradonna

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Год назад +1

    Sasa huyu ni nani? Msanii au? Mbna hana ngoma yeyote?

  • @yuslaelias953
    @yuslaelias953 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @daudiflavour913
    @daudiflavour913 Год назад +1

    Tatz sion anachokifanya kupush mziki wake mana tz ajulikan

  • @Abuu180
    @Abuu180 Год назад +1

    Maahn singeli ain't good sound, Afrobeat iko diverse cuz Waze wetu nchi nying za Africa waliish nayo so Nigerians wako pale frontline wameclaim ownership, so tujibanze hapo hapo. Zile sounds za kina Oliver Mutukudz, Remi Ongala, Papa Wemba, Fela Kuti, Kidjo etc hizo sounds ndo Nigerians waliderive Afrobeats. Diversity yake ndo inafanya inabamba cuz inabring memories za africans wengi back, ukisikiza common person ya Burna Boy ndo utaelewa nn nasema,

  • @daudbnanada9446
    @daudbnanada9446 Год назад +1

    Apartir de Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад +2

    🙏✌️👊.

  • @ZAGARO90
    @ZAGARO90 Год назад +1

    Uyu na diva the boss wanamidomo yakujiamini kumbe hovyo wote.Wanafanana tena wanaongea kwa kelele

  • @GibsonShem-bc2te
    @GibsonShem-bc2te Год назад +9

    Hapo mumepoteza muda wenu kumuoji huyo jamaa sisi tunatoa comment alafu tunapita kwanza mtu mwenyewe hatujui mzik wake hata mmoja alafu anaongelea wasafi 🥱🥱🥱🥱🥱🥱

    • @richardmandia-ni1rp
      @richardmandia-ni1rp Год назад +1

      Wewe ndo umfahamu lakini sisi tunamkubali jamaa ni hip hop, kama unapenda singeli uwezi mjua

    • @afisamipango005
      @afisamipango005 Год назад +1

      Huku siyo kwako brother, ni bora ungesema haumkubali lakini kusema eti hata nyimbo zake hauzijui, HUKU SIYO KWAKO

    • @babujohnmwita4337
      @babujohnmwita4337 Год назад

      Yani. Wewe interview ina viewers 5,000 kwenye masaa 8 unasema wamepoteza mda? May be wewe ndo umepoteza mda kuskiliza

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 Год назад

      Asiemuelewa jamaa hajui music na kwa ujumla hujui hata kiduchu hiphop. Lakini anafaida kubwa sana kama atatumika vzr.

    • @moneythemes
      @moneythemes Год назад

      Huyu jamaa ana mengi ya kukufundisha, usifuge jazaba. Kaulizwa swali akatae kujibu?

  • @kallewa
    @kallewa Год назад +1

    Mlete Khaligraph jones. Let's talk about The real MC

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Год назад

    DIZASTA vina

  • @adrianosutta2813
    @adrianosutta2813 Год назад +1

    Am I the only one niliyesikia kasema I dint know what you meant🥲?

  • @svt3
    @svt3 Год назад +10

    Huyu Wakazi yeye manager wake wa inje amemfikishia mziki wake wapi si yeye pia mwana mziki? Huyu pumbafu saana

    • @Ayyub_Semtawa
      @Ayyub_Semtawa Год назад +3

      It takes Logic and ability to reason kumuelewa wakazi (ameongelea wanamuziki wakubwa kama kina Harmonize wana nafasi kubwa ya kupanua wigo wa mziki wao zaidi kwa sehemu waliokuwa....haimaanishi kwa sababu mziki wake haujafika mbali lakini sio mchoyo wa mawazo chanya yanayoweza kukuza mziki wa wasanii wengine international )
      *WAKAZI SPEAKS DIRECT AND VERY IMPACTIVE WAY*

  • @hanihaadamuhanifaadamu4125
    @hanihaadamuhanifaadamu4125 Год назад +5

    Kaka anamdomo kaaaaaaaa😢

  • @kalistotv8795
    @kalistotv8795 Год назад +5

    Mambo ya wcb inanzaa wapi

  • @sonimwangi8418
    @sonimwangi8418 Год назад +1

    The fact that he can't even mention Diamond's name says a lot abt him, however much he tries to deny it. Calling him yule... mmh

  • @IssackKendrick
    @IssackKendrick Год назад

    Kwani nae huyu anaimba

  • @mucci_AI
    @mucci_AI Год назад +1

    Genius

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад +6

    Huyu nae kazi yake ni kukosoa tu wakat nae muzik wake bado kbs

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Год назад +1

    Ovyoooooo ushamba mzigo🥴

  • @iddykitundu7767
    @iddykitundu7767 Год назад +6

    Nashukuru nimeisikiliza yote but sky jitahidi kuweka clip fupufupi hivi inachosha niwachache sana ambao wanaweza kuvumilia kuisiliza yote plz naomba uuchukue ushaur wangu uyakusaidia bro, ila big up kwa kazi nzuri

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  Год назад +8

      Asante kwa ushauri. Clip fupi ni kwaajili ya stories ambazo zimejaa tele. Interview ni interview tu, itaenda kwa urefu kulingana na kinachozungumzwa. Kwa mtu anayependa anaweza kuangalia hadi mwisho, kama unaona ni ndefu huenda si kitu chako pendwa

    • @eliudimfilima8064
      @eliudimfilima8064 Год назад +5

      Clip ndefu snaaa

    • @khalfanseiph491
      @khalfanseiph491 Год назад +3

      Piah sio mpaka umalize saizi unaweza endelea badae

    • @Degetvonline
      @Degetvonline Год назад +2

      Mtu kama a naijuwa industry kama wakazi Ana staili hata kuojiwa 3 hours, sisi tuta sikiliza mimi na Chukia mtu kama huyu interviews yake ni 20 munite that’s painful man ….

    • @mozespatnam7469
      @mozespatnam7469 Год назад +2

      Interview n ndefu sanaa

  • @Socrate111
    @Socrate111 Год назад +1

    Sky huyu ajui kuimba mbona unapenda kuji kosesha Amani na wasanii wetu wakubwa acha na hii bitch

  • @MohamedMohamed-bl7zc
    @MohamedMohamed-bl7zc Год назад

    Mswahili=mbongo🤣

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 Год назад +1

    sns @sns mnampa promo huyu mtu ambae hata muziki hafanyi hamna content nyingine?