MAAJABU YA DUNIA: ALIYEKUWA MKUU WA WACHAWI GAMBOSHI ATOA SIRI NZITO AKI...

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 54

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 2 года назад +13

    Kweli uchawi upo kudadeki.

  • @Binthashpatooh-sz5zu
    @Binthashpatooh-sz5zu Год назад

    Form silii😂😂😂😂love you tanzanians ❤❤❤❤❤

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 года назад +2

    😅😅Devdi unavomuangalia unajua haswaaa km anakupiga na kitu kizito kichwani ee😅😅😅😅😅

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 года назад +6

    Kaz iendelee nilichoka na kina Isee na shogaake🤨🤨
    Hawa wachawi ukisikiliz stor zao weng wanakwambia alikuw mkuu wa wachawi 🙄🙄🙄

    • @martinymaryogo8753
      @martinymaryogo8753 2 года назад +2

      Shetan ni mjanja humpa madalaka na kumwaminisha ndo mkuu ili apambane zaid lkn kumbe ukwel sio yeye mkuu wapo majemedali hatar ndo maan huwa wanasema ivo

    • @barick
      @barick 2 года назад

      @@martinymaryogo8753 hongera kwa kujitambua

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 2 года назад +6

    Uchawi wakiwango hiki ni hatari sana walahi ungekuwa umesha kufa.

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 2 года назад +6

    Gamboshi yani kunatisha sana jamani

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 2 года назад +7

    Kelvin nafurahi kukuona tu maana unajua ukweli wa moyo wangu kuwa nakupenda sana ni basi tu sijui hunipendi au shida ni nn yani dahh Allah anipe nguvu maana kuna muda nahisi kuumia sana.

    • @ednambata9503
      @ednambata9503 2 года назад

      Ucjali anaona cku atskujjb

    • @trizahawinja9481
      @trizahawinja9481 2 года назад +1

      🤔🤔🤔

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 года назад +1

      Pole

    • @munakhamis982
      @munakhamis982 2 года назад +1

      Mmmm....kina Amina mnatabu sana km akuelew acha sema na moyo wako muombe mung akupe utae mpend na mkapendana kwaajil ya mung kwann utese moyo wako maisha yenyew mafupi haya 🙄🙄

    • @wkjshsxbbsbs6392
      @wkjshsxbbsbs6392 2 года назад +1

      Don't blame him what if he 8s having a wife nor a girlfriend 🤔🤔 he can't leave her because of you,just pray God to give you the best partner

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 2 года назад +5

    Hii story nimewahi kusikia kumbe ni wewe? Aise pole sana brother.

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 2 года назад +1

    Hana uchawi wowoteu huyo jamaaa🤣🤣🤣🤣 uchawi mchezo

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 2 года назад +4

    Duhh hadi naogopa kabisa yani, ila asante maana kuna kitu najifunza kupitia mkasa huu

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 года назад +7

    Nimewahi Leo Ole mtu aje aseme wakwanza

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 2 года назад +6

    Duhh

  • @gottalentextra4703
    @gottalentextra4703 2 года назад +4

    Hee hii sasa ni balaa

  • @paulinamalya5226
    @paulinamalya5226 2 года назад +1

    Pole Sana

  • @fatumamlole2466
    @fatumamlole2466 2 года назад +2

    Hataree

  • @Rajabuathumanibahariabah-ew5oj
    @Rajabuathumanibahariabah-ew5oj 7 месяцев назад

    ❤😂😂

  • @emmykisigelile4412
    @emmykisigelile4412 2 года назад +1

    Huo mwaka uliaribu ndoto za watu wengi mm ni muhanga wa hilo 2012

  • @DamasJohn-d4v
    @DamasJohn-d4v 10 месяцев назад

    We noma

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 2 года назад +4

    Unajieleza vizuri sana

    • @fredymwakikono1575
      @fredymwakikono1575 2 года назад

      hongera wewe unamuelewa 😂😂

    • @deusdeodavid5360
      @deusdeodavid5360 2 года назад

      Acha uongo stor haieleweki, watu wanakushambulia wakuue unawashinda alafu wanakupa chakula usife😂

  • @DamasJohn-d4v
    @DamasJohn-d4v 10 месяцев назад

    Uchawi noma

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 года назад +4

    Uchawi ni kitu cha ajabu kweli, yaani hata havieleweki mara ulimwengu wa giza sasa hata sijui kukoje mara upo sehemu nyingine, sasa hao huko kwenye dunia nyingine wakoje. Mhh dunia hii hata huelewi. au ni njozi?

    • @fredymwakikono1575
      @fredymwakikono1575 2 года назад

      😂😂😂😂 akapimwe akili huyu, huenda ni ndoto

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 2 года назад +1

      Waitwa ulimwengu wa rohoni the spiritual world sio ndoto wala maono......waeza kuona kw kutumia nguvu za giza au waeza omba Mungu akufunulie au kna wengine Mungu hudhihirika kwao tu ata bila ya kuomba...

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 2 года назад

      Huyu alichukuliwa msukule, akawashinda,akarudi

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 2 года назад +4

    Anaongea Kwa spidi simuelewi vizuri

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 2 года назад +2

    Niache unafki kiukweli huyu jamaa haeleweki hata kidogo story haiko katika muundo wakueleweka, hata ukiambiwa umuhadisie mtu hujui uanzie wapi ushie wapi, kwanza hatujui alikua Mtu wa Mungu au Washetani maana alikua ana nena kwalugha mara aseme alikua anataka kupewa ukuu gamboshi mara afanye maombi.

    • @asinatimpendwa3702
      @asinatimpendwa3702 2 года назад

      Ni vigumu kusimulia 💯 kwasababu hata yeye alikuwa haelewi kitu, hapo anajitahidi kusimulia vitu vichache alivyovikumbuka kwa shida na sio rahisi kwake kukumbuka kiurahisi au kufahamu kila kitu kilichoendelea. Ni mtu WA Mungu na Mungu ndiye aliyekuwa anamsaidia ndio maana hao wachawi walimshindwa kumuchukua awe mtu wao daima

  • @anaanaelle6500
    @anaanaelle6500 2 года назад

    Jina la Yesu Christo linanguvu hajabu , nakila goti likunjwe nakila ulimi ukiri ya kwamba Yesu Christo ni Bwana wama bwana

  • @Hashkan22
    @Hashkan22 2 месяца назад

    Story haielewekii

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 2 года назад +1

    Mi najiuliza hivi Wewe ulikuwa rohoni na unaliamsha dude sasa waliwezaje kuendelea kukutumikisha uwe mkuu wao wakati una nguvu za Mungu?Mmh mi hata sielewi

  • @ramadhaniakila4918
    @ramadhaniakila4918 2 года назад

    Pole

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 2 года назад +3

    Huyu jamaa kwa sauti yake mtafutieni kanisa akapige pesa za wajinga, maana ninavyomuona Ana uwezo mkubwa wa kuhubiri uwongo, na ilivyokuwa ni mchawi atapiga pesa kwa wingi

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 2 года назад

      🤣 🤣 🤣 😅Wacha kuhukumu

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Hata kama wanapiga pesa lakini imesaidia kubadili waouvu kuwa wema

    • @barick
      @barick 2 года назад

      Udini unakutesa kama sio ushetani