NIMETULIZANA - M. C. Mabogo / Kwaya ya Mt Yohane Paulo ii - Olasiti Arusha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #IrisEmpire#RajoProductions#Nimetulizana
    Kwaya Ya Mt Yohane Paulo wa pili
    Kigango cha Mt Arnold Janssen
    Parokia ya Mt Joseph Mfanyakazi - Olasiti
    Wimbo: Nimetulizana
    Mtunzi: Mc Mabogo
    Audio: Rajo Productions
    Video: Iris Empire
    Solo: Lawrence Kameia
    Kinanda: Ray Ufunguo
    Kindly like, Share, Subscribe
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 61

  • @frankulaya6230
    @frankulaya6230 2 года назад +2

    Kazi nzuri saaaaana mungu azidi kuwabariki
    Mfike mpaka viwango vya juu sanaaaa.amina

  • @lizziemutuku4761
    @lizziemutuku4761 2 года назад +3

    Nimesimama imara upande wa bwana✨💥✨✨💥✨💥

  • @virginiachidyaka6269
    @virginiachidyaka6269 2 года назад +5

    Mr Director Kazi nzuri.. IRIS empire sijawah kujuta kuwafahamuu..Mungu azidi kuwainua kwa viwango vingine ..

  • @sarahnjeri7230
    @sarahnjeri7230 2 года назад +1

    Wau kwanza the ending,kutulizana kabsa,my Brother umetutuliza.

  • @hansludege3897
    @hansludege3897 2 года назад +1

    Siyo mbaya mungu awatie nguvu.

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 2 года назад +1

    Kitambo sana mzee wa dramatic shots

  • @mercymutisomusic
    @mercymutisomusic 2 года назад +2

    Good job 👏👏

  • @JosseLinne-i7u
    @JosseLinne-i7u 5 месяцев назад

    Kaka kwaukwel
    Ninyimbo nzuli mungu
    Akubaliki hata kwaya nzima
    Kwanyimbo zenu nzuli

  • @innocent1870
    @innocent1870 2 года назад +2

    vijana mmetukata steam apo mwishoni 🤦‍♂️🤦‍♂️♥️
    ila Iris kwenye location,nmehands up😋

  • @julianrusere6572
    @julianrusere6572 2 года назад +1

    Inapendeza sana hongereni

  • @maryflaviournafulasifuna6347
    @maryflaviournafulasifuna6347 2 года назад +1

    Kazi nzuri sana🔥🔥🔥

  • @juventjustinianaloyse6640
    @juventjustinianaloyse6640 2 года назад

    Wimbo mzuri wapendwa kila siku nauangalia siuchoki #NIMETULIZANA NDANI YA UPENDO WA BWANA

  • @johnkarigu8931
    @johnkarigu8931 2 года назад +1

    Kazi safi #iris pro

  • @josephferdinand8174
    @josephferdinand8174 2 года назад +1

    Vitu Vya Moto tuu kama kawaida @Studio Iris & Team 👍🔥🔥

  • @judywakhungu3878
    @judywakhungu3878 2 года назад +1

    Hongera sana kweli tumetulizana katikati ya upendo wa Bwana Mungu wangu barikiwa sana

  • @jescaulrick6382
    @jescaulrick6382 2 года назад +2

    Hamjawahi kutoa Kazi mbaya🫡.. Mungu azidi kuwabariki 🙏🏽😊

  • @erickiptoo5785
    @erickiptoo5785 2 года назад +2

    Kazi safi studio iris pro na kwanya na kameja💯🙏

  • @francislyimo9480
    @francislyimo9480 2 года назад +4

    Kazi nzuri, nyimbo tamu, lkn utamu mwingi wa nyimbo hii upo mwishoni👌, huyo jamaa alivaa miwani ndy amenogesha wimbo mwishoni. 🙏

  • @luckybahati3077
    @luckybahati3077 2 года назад +1

    Wow💪💪💪 kazi safi sana ....nimetulizana

  • @trynessmhagama5971
    @trynessmhagama5971 2 года назад +1

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥💖kazi nzr sana

  • @muhiajohn9875
    @muhiajohn9875 2 года назад +2

    Kazi safi Iris Empire🔥💥.
    Kama kawaida. Mungu azidi kuwabariik

  • @elphasopiyo8054
    @elphasopiyo8054 2 года назад +1

    Kazi safi

  • @breezonlinetv
    @breezonlinetv 2 года назад +1

    Unyama mwingiiii👌🎷

  • @ruthmulupi2846
    @ruthmulupi2846 2 года назад +2

    Naona nikahama Kenya nije Tanzania. 👌

  • @KihutwaMwita
    @KihutwaMwita 2 года назад +1

    Amina nimetulizana na kutulia kwa Yesu

  • @deogratiusnasson5672
    @deogratiusnasson5672 2 года назад +1

    Kazi safi hongereni

  • @cindykemunto8127
    @cindykemunto8127 2 года назад

    Wow nice song na mafunzo mazuri @lawrence kameja 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @marymimina
    @marymimina 2 года назад +1

    Kazi poa sana mbarikiwe

  • @clementinemusango2451
    @clementinemusango2451 2 года назад +1

    Nimetumia ndani ya Upendo wa bwana mungu wangu, wimbo mzuri kaka

  • @EsterJoseph-xv1nc
    @EsterJoseph-xv1nc Год назад

    Nzuri sana mbalikiwe watu wa Mungu

  • @megimeg8118
    @megimeg8118 2 года назад +1

    Wimbo mtamu hongereni sana 👌

  • @reginamkankule8745
    @reginamkankule8745 2 года назад +1

    Hongereni sana kazi nzuri

  • @Sr_emilyjeptoo
    @Sr_emilyjeptoo 2 года назад +4

    I love the calmness and the creativity here … good job @Lawrence Kameja and team
    iRis pro great job too🔥🔥

  • @bihogorakaroli9691
    @bihogorakaroli9691 2 года назад

    kazi nzuri sana video nzuri pia pongezi kwa studio na waimbaji

  • @stephenooko9323
    @stephenooko9323 2 года назад +1

    Eish wimbo wenyewe umetulia nakwambia❣️

  • @jeroprael5470
    @jeroprael5470 2 года назад +1

    Kazi safi..🙏

    • @macynjeri4332
      @macynjeri4332 2 года назад

      Good message from the song ..........the vedio in another lever iris you never disappoint....may the good God the work of your hands always 🇰🇪

  • @berthamethod
    @berthamethod 2 года назад +1

    Very good job God bless you 🔥🔥

  • @sharletmkabili4671
    @sharletmkabili4671 2 года назад +1

    Moyo wangu tulia ndani ya pendo la Bwana Mungu wetu 🎵 🎶..Amen

  • @michaelmunyao4998
    @michaelmunyao4998 2 года назад +1

    Wow,. Very impressing,. Keep it up👏👐

  • @claudiasalome4002
    @claudiasalome4002 2 года назад +1

    Congratulations....😍😍

  • @vickynash372
    @vickynash372 2 года назад +2

    The climax bit of the song gave it good and exotic vocals. Great piece TRUE to make PEACE with OUR GOD. Good job to the whole crew. Iris production mko chonjo.

  • @erickubania3499
    @erickubania3499 Год назад

    Wonderful song

  • @Tec50Peacemonitor50
    @Tec50Peacemonitor50 Год назад

    Hongeren sanaaaaaaaaa❤

  • @giftedvoices5122
    @giftedvoices5122 2 года назад +1

    The song/video is on point.....kudos...

  • @dedankimotho3002
    @dedankimotho3002 2 года назад +1

    Nice song be blessed brothers and sisters

  • @andreamaganga8722
    @andreamaganga8722 2 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @ruthmoraa8335
    @ruthmoraa8335 2 года назад +1

    Good job Lawrence...my guy❤️❤️

  • @maxweltipo4467
    @maxweltipo4467 2 года назад

    Nice song kameja and the team. But hapo mwisho ingekuwa intro then the rest....

  • @sarahnjeri7230
    @sarahnjeri7230 2 года назад +1

    Wau kwanza the ending,kutulizana kabsa,my Brother umetutuliza.

  • @Patrick_Mndeme
    @Patrick_Mndeme 2 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥