SAMAHANI ASANTE |ep 11|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 390

  • @KitaleMkudeSimba
    @KitaleMkudeSimba  День назад +115

    Tamthilia Sasa Inaenda Kuchangamka 😭😭 Huko Mbele ni Hatariiiiiiiiii , Natamani Kila Mtu ajue Mbele Pakoje lakini Sasa Itaondoa radha.
    Toa Maoni Yako Hapa
    👇👇👇👇👇
    0733 999 999

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it День назад +25

    Movie ni nzuri mnoo rakini mnacherewa sana kutoa mnatakiwa mtujuze hutokaji wake maan mpk sasa hatujajuwa... Na unacherewa sana mpk tunasaau

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 День назад +55

    Team Mzee Kama Ramadhani Kama, tupo wangapi?

  • @badisangu3730
    @badisangu3730 22 часа назад +3

    Tamthilia nzuri sana shida kitale unachelewesha san kutoa kama kwa wiki ni mara moja au mara mbili tujue. Team kama tujuane apa

  • @swaumusalumu7447
    @swaumusalumu7447 День назад +24

    Wazo kwa mkude simba awe anaweka kila siku maana tunaifatilia sana

  • @AmnaAmna-l3u
    @AmnaAmna-l3u День назад +10

    Mv mzuri Lakin munachelewesha sanaa😊😊😊

  • @mshambaused3840
    @mshambaused3840 День назад +8

    Tunzingatie mafunzoo. Na kina hi zungumzwa jaman. Na sio kutaka like tu

  • @Atb300
    @Atb300 День назад +5

    Mzee Kama ni hatari🔥🔥🔥🔥love ❤️from india🇮🇳

  • @IssaSelemane-wr8kf
    @IssaSelemane-wr8kf День назад +7

    Safi sana! Mozambique

  • @ezekielmeshack8387
    @ezekielmeshack8387 День назад +14

    Hii kali sana..lakini mbona kama mzee amekubali...duh niatari kbs...Sema namuhamini mzee anajuwa anafanya nini❤❤❤

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis День назад +1

    Asantee sana Mr kitaleee,kazi nzuri,tumefurahia sanaaa,kwa mpangilio wakooo mahiri wa tamthilia hiiii yakutusisimua,,,,na sana muhimuuu tafadhali naombaaa full ep 1to 10,mnitumie nipatee kuinakili,nakuuiangalia tenaa,(shukrani sana)tukoopamojaaa na badooo tunazidiii kusubiria muendelezooooooo,

  • @HemedihamadaHaji
    @HemedihamadaHaji День назад +8

    KITALE UNAYUMBA LAZIMA TUKUPAKE WAI KULETA KITU 😅😅😅

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti День назад +4

    🤣🤣🤣😁uyu babu mcawi akubari kushindwa🎉🎉🎉

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi День назад +2

    shukrani zangu kwa mzee kama.lakni kitale hongera sana kwa kazii nzuri.

  • @faizabdallah5206
    @faizabdallah5206 8 часов назад

    Munatuoa uhondo nusu nusu tuwekeeni Movie yote bana. Movie nzuri sana nimeipenda ina uhalisia asilimia mia moja

  • @HIDAYAKAMPAKASA
    @HIDAYAKAMPAKASA День назад +2

    jaman babu yanguu mzee kama nakupendraaa

  • @pulkeriacrisent1662
    @pulkeriacrisent1662 День назад +3

    Daah me namkumbuka sana yule mzee Sanadi💔

  • @KephadaPrince-eo8io
    @KephadaPrince-eo8io День назад +1

    Best series in this year
    Samahani ahsante

  • @AishaJuma-j9p
    @AishaJuma-j9p 3 часа назад

    tulotoka kutazama dunia ya manyanya.chado master mission impossible.melisa y hemedi . siri yahuba ndo imeisha kwhy tumeekujaa kwa kaka kitaleeeee❤ na team donta tv

  • @hemedsuleiman5414
    @hemedsuleiman5414 День назад +3

    from kenya, hii nayo ni Kali ya mwaka 💯 ila musikawie sana kuachia episode

  • @Stanely-p4l
    @Stanely-p4l День назад +4

    Kuna mashabiki wapo humu wao kazi zao ni kusifia like tuuh basipo kuilegebisha movie hii ambapo pamekesea duuuh wamenishinda tabia kwangu hii movie ni safi Sana ila Babu yake Aisha angemwonesha mama ake Aisha miujizi ya kioo ili mama Aisha ajue naye

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg День назад +2

    ❤❤❤❤mama aisha mbishi humsikuzi mzee wako ystakukuta

  • @sesiliahussein7774
    @sesiliahussein7774 День назад +4

    Jamani aisha na mama yake wanakera khaaaa hawasikilizi acha kiwalambe mbuzi wa kafara hao

  • @BarikiKivunja
    @BarikiKivunja День назад +2

    Mzigo mapema tu ❤❤

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s День назад +2

    Huyu mganga wao ana jiamini kweli eti Babu anakwepa mtego Sasa kama anakwepa anakuwezaje Babu mitego Yako anaiteguwa 😂😂😂😂 safi sana mko vizuri

  • @EsterLiwa
    @EsterLiwa День назад +1

    jmn munakawia San kutuletea mwendelez mbk tunasaau tulipo ishia mujitaid bs ❤❤

  • @TatuMussa-yl4bn
    @TatuMussa-yl4bn День назад +23

    Wakwanza mimi apaaa🎉🎉🎉 weka like shabiki wa KAMA Ramadhan Kama🎉🎉🎉

  • @AthumaniChalamila-c9f
    @AthumaniChalamila-c9f День назад +2

    Nakubari kazi zuri sana

  • @RaimNanjunda
    @RaimNanjunda День назад +4

    Mnacherewa sana kuachia kipande kingine Hadi mtu unasaau

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 15 часов назад

    Wewe mama na mwanao jifanyeni wajuaji tuu. Mtakipata mnachokitafta na mzee KAMA asishighulishwe😢😢😢😢😢😢

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 День назад +3

    Kumesha waka uku 😂😂😂

  • @MuniraMsati
    @MuniraMsati День назад +8

    Hata mkininyima hizo like zenu kikubwa nimesha angalia MSAMAHA,ASANTE na nimewasamehe kiroho swafiiiii😅😅😅

  • @officialnaah-w6x
    @officialnaah-w6x День назад +2

    Mtuwahishie kazi jamani 😊

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 День назад

    Safii sanaaa Mzee Kama Endelea kuwaburuza hao Watu wabaya

  • @TumainiNahatula-o1d
    @TumainiNahatula-o1d День назад +1

    Huyu mzee kama anakili sana aiseee😂

  • @MwanapiliAbdallah-ei2sk
    @MwanapiliAbdallah-ei2sk Час назад

    Move nzur sana jamn nimependa ❤

  • @DangerMusictz-n5c
    @DangerMusictz-n5c День назад +1

    Nakukubali sana brother kitale aujawai kutuangusha

  • @privteemail4327
    @privteemail4327 День назад +1

    Movie hii mumeicheza vizuri Sana hongereni🎉🎉🎉

  • @IsmailMbungo-je3dm
    @IsmailMbungo-je3dm День назад +2

    Ruangwa finest hapa...more likes plz

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 День назад +1

    Mzee kama ni 🔥 sana niamini tumpe mauwa yake mkude kwa kukiona kipaji hiki🎉🎉

  • @SasaMedia1
    @SasaMedia1 2 часа назад

    Hongeraa sana Director

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 6 часов назад

    Kumbe kupeana mikono mikono sio kuzuri😂😂😂😂😂😂

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 День назад

    Mzee kamaa yupo vizuri😂 wanyohoshe babaa

  • @gabrielbarnaba9973
    @gabrielbarnaba9973 День назад +1

    Sema muta unazngua unaweka movie fut sana Mzee wangu

  • @AlphaMyonga
    @AlphaMyonga День назад +10

    Mzee kama katulia sana aise

  • @JuniorAskinetz
    @JuniorAskinetz 22 часа назад

    Bro movie niu dudu sema mnakawiza san kuachia

  • @Casmirors
    @Casmirors День назад +1

    Mzee ramadhan anajua sanaa😂😂😂🎉🎉

  • @emmanuelymalange8332
    @emmanuelymalange8332 День назад +3

    Leo wa kwanzaaaa

  • @SesiliaMkude
    @SesiliaMkude 8 часов назад

    Babu nakupenda sana love you

  • @kerabajuma5915
    @kerabajuma5915 День назад +1

    We mwamba unajua sana cjajua ulikwama wapi ukakaa mda mrefu bila kutoa czon mpka watoto wakawa wanatoa vevo na kicheche

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 День назад +2

    Kazi nzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mapenzicharo4575
    @mapenzicharo4575 10 часов назад

    Mama Aisha na Aisha ving'ang'nizi kweli subirini hio siku likiwakuta jambo ndo mtajua hamjui

  • @ghaithasabour7476
    @ghaithasabour7476 День назад

    Dah hii kituh natamani niangalie yotee ......mpka mwisho itakuwaje Aisha....kazi nzuri kitale 🎉💃🌹.....

  • @batihubadiy3106
    @batihubadiy3106 День назад +3

    Mwamba Mzee Kama katika ubora wake

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv День назад +1

    Duh sa itakuaje jmosi😢mama Aisha ungejua husingekubari ndoa hiwe siku ya jmosi

  • @hellolloheloo9743
    @hellolloheloo9743 День назад +2

    Aisha kitakuramba 😂😂😂

  • @niyonkuruismail5288
    @niyonkuruismail5288 21 час назад

    tatizo la mkude anachia moja moja achia hata mbili mbili brooooo. from burundi .huna baya kaka😊

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 День назад

    Hongereni sana kwa muendelezo

  • @KamariaAmeir-rx2dc
    @KamariaAmeir-rx2dc День назад

    Move nzuri sana ila mnachelewa kutoa tupeni vipande viwili kwa week msitunyime raha utamu

  • @MariamMwakipesile-x6f
    @MariamMwakipesile-x6f День назад

    Kazi nzur😊

  • @SophiaNasoro
    @SophiaNasoro 4 часа назад

    Jamani jamani,tunasubili siku ya ndoa

  • @davidzakaria3241
    @davidzakaria3241 День назад

    Move nzuri sana jaman naomba isikawie

  • @SesiliaMunishi-e2k
    @SesiliaMunishi-e2k 7 часов назад

    Ni kwel japo tunakaa sana kuisubir jmn

  • @Truheta
    @Truheta 6 часов назад

    Muendelezo jmn movie nzur balaaa

  • @GetrudaAndrea-ny4ku
    @GetrudaAndrea-ny4ku День назад +2

    Huyu aisha ananitia hasira mpka naongea pekee yangu😏😂,,hebu huyo babu yake amuachepo kdg ajionee uchizi umtokee😂😂

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy День назад +1

      Angemuonesh uwezo wake ndo angejua Babu yke nani

    • @Official-sj6kw
      @Official-sj6kw День назад +1

      😅😅😅😅nimecheka km mazur Yan me mwenyew naskia had moyo unatetemek kisa yy

    • @UpendoMaduhu
      @UpendoMaduhu День назад +1

      Na mama ake nae nimjinga

  • @CynthiaIrakoze-tj9ve
    @CynthiaIrakoze-tj9ve 21 час назад

    Aisha jamani msikilize babu yako 😢😢😢

  • @chawambula6991
    @chawambula6991 День назад

    ninachokipenda kwenye hii movie aina mambo mengi @YOSSO MASHOTI CAMERA MAN

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 День назад +2

    Hii tamthilia inafundisha sana aisee na hivi vitu vipo kwenye maisha yanayotuzunguka. ASANTE SANA kitale kwa samahani. Najua mnapitia kipindi kigumu kutengeneza kazi lakini ni wasii muwe mnawahisha kazi maana you tube ya sasahivi ni touti na kipindi kile ushindani ni mwingi sana

  • @HamadiOmari-c4b
    @HamadiOmari-c4b День назад

    Namkubali sana uyu Mzee Babu yake Aisha

  • @omaryrashidy337
    @omaryrashidy337 День назад +2

    Mzee kama kwenye swala la kupeana mkononi atakudanganya😂😂😂😂😂

  • @RamadhaniOmary-e3d
    @RamadhaniOmary-e3d День назад +3

    Mapema saana mnaelewa hii muvi tujuane kwa like

  • @michaelmkata4512
    @michaelmkata4512 День назад

    Ilete nyingine leo leo🔥🔥

  • @winfridathomas7710
    @winfridathomas7710 День назад

    Nimeisubiri Mieee Tangu Juzi Naitafuta Mweeeee

  • @FranciscaManga-j4c
    @FranciscaManga-j4c День назад +1

    Much love from kenya masaa all 🎉🎉🎉🎉❤

  • @shilakodeni2853
    @shilakodeni2853 20 часов назад

    Sasa Uyo sister amesikia sahangapi nayeye akuwepo

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 День назад

    Mama Aisha kipofu kweli haoni mbali Mzee kamaa mtwange makofi jaman wanani huzi. Aisha na mama yake litawa kuta jambo watajuta

  • @mariammchiu3826
    @mariammchiu3826 День назад +1

    Ni htr hii movie 🍿🙌

  • @hassanmtalika8835
    @hassanmtalika8835 День назад +3

    Kitale uish maisha marefu

  • @GodfreyLinus-y1f
    @GodfreyLinus-y1f День назад

    Hao madokta wawe namwonekan wa kidokt

  • @stephanomagenda6774
    @stephanomagenda6774 День назад +2

    Kiongozi,mbona hamuanzii mlipoishia???

  • @GasparMsambila
    @GasparMsambila День назад +1

    Mnampa mzee wa watu kazi kubwa ya kufanya jambo la kutumia akili usitumie hisia😅😅😅😅😅

  • @yahyamoshi2468
    @yahyamoshi2468 День назад

    Kwenye ukwel tusema ukwel hii movie nzur lkn maongezi mengi action chache sana alf inakaa siku nyingi bila kutoka ivy jitahidi mpungz maingezi na mujitahidi kuitoa kwa haraka

  • @Annjohn-j7m
    @Annjohn-j7m День назад

    Kazi nzuri lakini inakaa sana

  • @FortuneRespicius-c2k
    @FortuneRespicius-c2k День назад

    Tamthilia mbn inanoga tamu kuzid ata sodaaaaa😂😂😂

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s День назад +1

    Ila mnatuchelewesheya mpaka tunadahau kaka kitale jamani utam huu upo kwenye hii mov simchezo ni moto

  • @AgmMovies-xw7ek
    @AgmMovies-xw7ek День назад

    mapema sana hongera kaka

  • @SeleIddi-gj9fu
    @SeleIddi-gj9fu День назад +3

    Kaka watu 6 kupambania Mimba 1 hii ikoje

  • @jafarsalum6891
    @jafarsalum6891 День назад +1

    Mimi ni mjukuu wa mzee Gumlasenga kuanzia episodi ya kwanza😅😅 namkubali sana

  • @JaFrom255
    @JaFrom255 22 часа назад

    Yo you need to drop at least 5 episodes per week this movie hard🔥🔥

  • @MwanahamisSeifu
    @MwanahamisSeifu День назад +1

    Kwani hawa wachawi wanataka nn man wanatumia gharama nyingi muda mwingi hao madoctar wanaacha hata kwenda kufanya kazi hospital wanapoteza muda kwa ajiri ya aisha tu kweli hapa ndio naamini wachawi uwaga hawana akili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @ZahraBadi-e7b
    @ZahraBadi-e7b День назад +4

    Endleeni kutuchangmsha ivi ivi lkni musicheleweshe sana

  • @AminaMagulati
    @AminaMagulati День назад

    Kaz nzur sana ila muwe mnatuwaishia kututolewa movie kwa wakat

  • @gerysongratian
    @gerysongratian День назад

    Ila huyu mzee mchawi muongo kinomaaa😂😂

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 День назад +1

    Safi sana❤❤❤

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa105 День назад

    Mama Aisha jamani utakuja kumbuka maneno ya babu😢

  • @EstherMzungu-b4n
    @EstherMzungu-b4n День назад

    Wueeeh kumoto🔥🔥🥰

  • @ProspaIL
    @ProspaIL День назад

    Unyama Mwingi Mzee Ramadan Kama 🎉🎉❤

  • @salummwakalinga4330
    @salummwakalinga4330 День назад +1

    Wa kwanza mimi leo

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 День назад

    Fanyeni haraka mwachieni ajifungue mtoto huyo ataongea akiwa tumboni na hizo heka heka zenu😂😂

  • @Amikhan_drama
    @Amikhan_drama День назад

    Uyo dokta shot moja kanyoa moja ana nywele😂 au ndo uchawi kaka