kitale na stan mmetupa funza kubwa mno,huo wizi ulofanyika sana Tanga barabara ya saba miaka hiyo,wanaweka elfu kumi juu na chini katikati karatasi kama zote,jichanganye kila kitu watakubebea
Mchezo umekwenda vzr lkn kuna makosa madogo madogo yamejitokeza lakwanza ni hilo halaf kitale aliona toka mbali kuwa dogo kaokota kitu alijuaje ni milion moja! Anasema askari hao watu wenyewe ni watoto wakihuni eti askari ck nyingine tafuta watu wanaoelekea kufanana na afande kweli
Hii kitu ilinikuta mimi, elf 10 yangu ilienda na simu na laini na toothpic walinambia nisiache chochote kwenye mfuko labda mchanga walijifanya waganga af nlikuw naumwa kweli walinizuia geti la hospitali yaan daaaaaah hawa watu mungu anawaona
Huu mchezo Moshi unachezwa sana wakataka kuniokota siku moja nimetoka zangu Mbuyuni niko NMB mandela, akajifanya Muhuni ,asijue karate imelala hapa😊 wenyew waliweka hela za bandia nkamwambia we unanijua , eti amna bro njoo tugawanae twende chobi nkamwambia amna apa apa, eti sa wew unasimu apo, nkamwambia ntakupiga wew haunijui kumbe, eti bas bro , nkachukua kuzichek kumbe 20 bandia katkat zimewekwa tishu mamae
Da!! Hii Mimi nilipigwa Kweli nilipokuwa na miaka 17, mzee alinipa elfu 50 nipileke bank ya NMB Temeke yakanikuta haya nakumbuka bahasha nilienda kuifungulia feri ufukweni mwa bahari,nilipanda gari mbili eti kumkwepa jamaa aliye act nafasi ya kitale,😭😭😭
New song nyimbo yangu mpya ndugu jamaaa na malafiki usisaau COMMENT LIKE SHARE SUBSCRIBE 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 natumia jina diga boy tz song umebadilika please please please please pleas🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kaz Kaz babaa ktale Stan nawakubali sana
Safi sana hii ikiendelea zaidi itabasti shoo Kali sana
The big 5
Dah ii kitu ilisha wahi kunikuta uwanja wa taifa dahaaa
Pole sana
Hii team nawapenda bule kazi zao zinakuaga pouwah mno
Huo mchezo unaitwa bwagabwaga hataree sana
Yaani wanangu nawapenda sana kinoma😄 kitale namkubali sana, tunawapenda sana kutokea Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mjini Rumonge tunawafuatilia.
Kazi iendelee
Good job guys keep it up
I'm watching from Burundi Country 🇧🇮
Daa Hili Dili ni kali sana kubwa kuliko
Umetisha kitale mandonga move kari namwili umetoka
Fundisho ahsante
Daaa mchongo wayeyuka😃Mogela katapeliwa vinoma😃🇰🇪
Dah!!hyo michongo yazamani sana naijua hiyoo ilikuta mitaa fulani mwanza 😂😂 mogela hana ham
Nakukubali sana bwakila ✌️
Oya izo pigo kali
Kitale mwamba nakukubali kinoma Sana umwamba wako wakisela
Hii iko poa xn👏
Iliwahi kunikuta maeneo ya tandale
Magomeni 😂😂😂😂😂
Km umeona kitale kakonda gonga like tujuane
Naona kama vile ameharibikia
@@zenaathuman2619 nadhani sijui km nae hajaanza kugonga ile kitu maana kapururuka km muhindi
@@suleimanrashid3918 msimuhukum ingia kwenye account yake huyo anafanya mazoezi alikuwa anaounguza ule mwili wake mkubwa
😂😂😂 kitoko kachanganya na roboti
@@suleimanrashid3918 wabongo mmeanza tena khaa huyu anafanya mazoezi muwe muna mfatilia huko ista
Nakubali kazi kazi
Shafiih ziwa saasita ❤
Mbona kitale amekonda sana
Nakubali san
Iyo ndo i like, naomba like zangu
kitale na stan mmetupa funza kubwa mno,huo wizi ulofanyika sana Tanga barabara ya saba miaka hiyo,wanaweka elfu kumi juu na chini katikati karatasi kama zote,jichanganye kila kitu watakubebea
Kitale mwili wako ulikupendeza sana aisee sa hiv umekuwa Kama Dr wa mifugo bwana
Labda ana tatizo kweli kapungua.
Wa Tz atuna jema kitale kafanya mazoez kawa vizur tunasema kachukiza Mogera Bonge tunasema mbaya lipi jema sasa
Kamaliza form six juzi kesho anapiga pepa ya form 4...mloiskia hii tujuane kwa likes😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mchezo umekwenda vzr lkn kuna makosa madogo madogo yamejitokeza lakwanza ni hilo halaf kitale aliona toka mbali kuwa dogo kaokota kitu alijuaje ni milion moja! Anasema askari hao watu wenyewe ni watoto wakihuni eti askari ck nyingine tafuta watu wanaoelekea kufanana na afande kweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂anasoma kinyumenyume😅😅
kitare mtoto wa mjini safi sana
Haya mbo huku Kenya 🇰🇪 ndio yapo kibao sana yaitwa utalijua jiji😅😅
Timu hii nakubali sana🔥🔥🔥🔥🔥
Mh mavmavi tu Tena yamenuka niyakutupa
Upwiru mwingisana kacha kachatu
Hii kitu ilinikuta mimi, elf 10 yangu ilienda na simu na laini na toothpic walinambia nisiache chochote kwenye mfuko labda mchanga walijifanya waganga af nlikuw naumwa kweli walinizuia geti la hospitali yaan daaaaaah hawa watu mungu anawaona
Mimi pia irinikuta magomeni sim zote mbili zilienda😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@@suzanafromomani2973 hahaaaa pole boss
Hahaaa dah
😂hii nayo nilifanyiwa pale kitale😢
Kitale kama kweli muhuni kweli unakipaji
Afande gani ana dred kichwani
Nakubali san kitare
One man army like za kutosha basi nikifungua dimba hapaaa
Wahuni kazini mji una kazi
MapenZi
Mitimng
Kitale kavuu sanaa
Kwahii nimekoma wamechez
Kitale noma
Huyu mi Mdogo wangu Baba mmoja Mama Mmoja.
Duuhh hiii Kali kanyaboya
Hatari Sana
Niliwahi kuibiwa cm ivi ivi kariakoo sitosahau 😅😅
Mmmmm. Nakubali
Dah hii michezo kitambo sana
Well done
Tujuane vp
Kamaliza form six juzi tu kesho anapepa la form 4
kitale tunakukubali mzir san tunajifunz mengi kupitia nyiny
Hiyo ilinitokea ivoivo kariakoo acha cjawahi adithia mtu hadi leo
Hahaaa
Wanna upeo mkubwa wa kuzingatia matukio ya mitaani vinavyofanjika kiuhalisia .
Sema walah😂😂
Du noma
Nairobi 1 tunawakubali sana
The Don analia😂😂😂
Nyimbo zangu nicheki diga boy tz
Mdogo wa harmonize huyo
😂😂😂😂kitale unajua kuapa
Huu mchezo Moshi unachezwa sana wakataka kuniokota siku moja nimetoka zangu Mbuyuni niko NMB mandela, akajifanya Muhuni ,asijue karate imelala hapa😊 wenyew waliweka hela za bandia nkamwambia we unanijua , eti amna bro njoo tugawanae twende chobi nkamwambia amna apa apa, eti sa wew unasimu apo, nkamwambia ntakupiga wew haunijui kumbe, eti bas bro , nkachukua kuzichek kumbe 20 bandia katkat zimewekwa tishu mamae
Da!! Hii Mimi nilipigwa Kweli nilipokuwa na miaka 17, mzee alinipa elfu 50 nipileke bank ya NMB Temeke yakanikuta haya nakumbuka bahasha nilienda kuifungulia feri ufukweni mwa bahari,nilipanda gari mbili eti kumkwepa jamaa aliye act nafasi ya kitale,😭😭😭
Haahahahah kwakweli ata mimi nilipigwa nilipanda gali nikashuka kituo pili nikapita shotikatia asnione alipiga sm ndogo na elufu nne
Michezo hiyo tunduma ipo Sanaaa wazambia wanapngwa sanaaa
Hiyo dondosha😭😭😭
Wezi wasioumiza
Stani mbona unapiga kibao hivo babu heeeeeeee
Kibonge mwepesi🤣
Bro kitale unajua
Ila kwel hii hatari
Kamaliza form6 kesho anapiga paper ya form4😂😂😂😂😂
Hahaha Hii boder ya wajanja
Mombasa ndio wamezidi kinoma
Shaffiy kitale @Wajina...🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani huu wizi ni wamorogoro kabsa daa nshawahi kuibiwa kama huyu jamaa
Leo
Jamani amekonds sana
Kumbe bonge mwepes tulojua hilo tu like
Aisee mmenikumbusha myaka 12 iriyo pita in Uganda
HATIMAYE ISHAKUA ..USIPITWE ruclips.net/video/Yh7w06CqR0A/видео.html
ruclips.net/video/Yh7w06CqR0A/видео.html
ruclips.net/video/Yh7w06CqR0A/видео.html
ruclips.net/video/Yh7w06CqR0A/видео.html
Askari kanyoa kiduku
This is exactly how my husband was robbed here in Cape town. Smart robbers
Kitale kakonda khaa
Mume tishaaa kinyama wanaaaa
kitale mwanangu damu
🤭🕺💪
Kitale wapasuee tu haoo
Ririfa nywa hifo tu somo
New song nyimbo yangu mpya ndugu jamaaa na malafiki usisaau COMMENT LIKE SHARE SUBSCRIBE 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 natumia jina diga boy tz song umebadilika please please please please pleas🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kitale umeupiga mwingi
Sema "wallahhhhhh" hahahahahahahahah
Mbon Kitale Umekonda vibay jamani Nini shida 🥺🥺🥺🥺🥺
Zoezi
Skuiz anapiga chuma sana
wizi kama huuu ndo upo tundumaaa yan ukiwa n tamaaa umekwishaaa😂😂😂
Kazi nzur
😢
Mmhm kaka mkubwa naon umekonda vepe....kitale teena
Mazoez kwa sana
Kaka kitale Mimi na itwa Aisha natamani Santa nikuone tafazali Nita kuona wapi
Aisha jishikilie 😂unataka umuonaje
Bro mpigishe mogera mazoezi
Mmewapa mbinu wezi tutaibiwa kila siku 🤣🤣🤣🤣🤣
Na ww ushapewa mbinu usiibiwe kizembe sasa sijui IPI inaanza apo