Masha allah nimependa mnooo ulivyoongea Mariam ...kutwa kesi za mume ukizipeleka nyumbani mwishoe mume atachukiwa na wazazi wakidhani ni mbaya ,Dogo kubwa wamalize wenyewe,Nimependa
Nady waliokuwa wanakukosoa Bure kufundwa hadharani lakini umewapa watu SoMo kubwa wengine wameilewa bila kumbiwa chochote Asante Miriam wa migomba kwa mafunzo mazuli 🙏
Hongereni sana mungu awatangulie kweny maisha yenu ya ndoa,,, nmependa ulivoeka hadharani kufundwa nasisi tujifunze humu🙏🙏 japo haya mambo sio ya kumfanyia boyfriend ni kwa mume tyuuu
Inatakiwa hivyo kabla ya NDOA. MAFUNDISHO MAZURI KAMA HAYA. Hongera mtoto wa watu. Msanii aliyelelewa kwenye msingi ya DINI. Huwa kuna HERI NDANI YAKE.👼♥️
Hivi Hugo William yeye hastahili kuambiwa anayoambiwa Nancy hapo ndiponapokoseaga wafundaji both of them wanahitaji kuambiwaaa kila mmoja natakiwa amfanyie mini mwenzie ndionawapa mwanya kuwanyanyasa wanawake Mafunzo safi ukimaliza basis na wanaume watafutiwe wakuwafundisha
Uyooooooo anaefundishwa kila kitu anakijua ashamaliza utamu zaman mwali anafundishwa na mimba jamon ama kwel 😂😂😂😂😂 mm nasema ukwel jomn musije kunichamba ila wari wa sku hizi washakubuhu hivi huyu ndan kwel tumwite m wariii au mwari mjane😂😂😂😂
Nihizo dini zenu zenye maadilimabovu mtu mwenye MUNGU ndaniyake hawezi kukaa mtandaoni nakuongeya upuuzi izo ni siri zawanandowa kwani mtandaoni kilamtu nimwanandowa😢
@@baimarrajahbuayan6237 anamuelekeza jinsi yakuishi na watu na kuwajua tabia ili kujenga ndoa yake lkn mafunzo ya ndani yakumfanyia mume huwezi ambiwa mbele ya camera anaefanya hivyo msungo huyo
Masha allah nimependa mnooo ulivyoongea Mariam ...kutwa kesi za mume ukizipeleka nyumbani mwishoe mume atachukiwa na wazazi wakidhani ni mbaya ,Dogo kubwa wamalize wenyewe,Nimependa
Hongera mariam, miaka 30, mandy kila la kheri ndoa tamu jaman
Mama unajuwa sana kufunda ongera 😍😍😍🙏🙏 nandy zinganitia sasa
Kweli Cha kale ni dhahabu, Asante mama Miriam namimi nimejifunza pakubwa mno apa
Nandy wangu alivotulia sasa😂 mashallah!❣️🤗❣️
😂😂😂😂utasema anaelewa Sasa?!!
Mungu wa mbinguni awajaalie kheri ktk kutimiza tamanio lenu la ndoa Takatifu
Nady waliokuwa wanakukosoa Bure kufundwa hadharani lakini umewapa watu SoMo kubwa wengine wameilewa bila kumbiwa chochote Asante Miriam wa migomba kwa mafunzo mazuli 🙏
Kabisa shoga angu mi binafsi nimefurah mna ndo tunaish kwenywe doa
Aweeee shukran Sana nimefurahi mno kupata haya mafunzo kweli tunafaidika weng 🙏
@@mariyammariyam6584 kabisa tunashkuru kutongezewa mafundo
Kweli kabisa
Asante tunajifunza na sisi
Mashallah Mariam wa migomba wewe ndo kungwi haswaaaaa
Mafundisho nimeyaelewa... Sawa Asante sana Miriam
Asante sana dad mariamu nimependa jinsi unavo funda kwakwel mungu akutangurie nandy zingatia shogaangu nakuomba mema katoka ndoa yako
Maa Shaa Allah
Mungu Awabariki katika Ndoa yenu
Nimejifunza ata mimi pya kungwi hongera n Asante sanaa🥰🥰🙏🙏
Mungu akupe maisha marefu da mariam
Nandy kivurugeeeee huyuuu ndo katuliaaa kiasi hicho???? Haya mama Mungu akutangulie...!
Mashallah 🥰 congratulations 🎉🥳 n thanks for sharing that was so powerful and strong word's asante pia mama Miriam migomba love 💕 you all.
Hongereni sana mungu awatangulie kweny maisha yenu ya ndoa,,, nmependa ulivoeka hadharani kufundwa nasisi tujifunze humu🙏🙏 japo haya mambo sio ya kumfanyia boyfriend ni kwa mume tyuuu
Asante #Nandy hii ni offer kwa wadada wengi hata mimi Niko darasani🙏🏿🙏🏿
Karibu 🥰🥰
Nimekuelewa da mariam nakupenda ❣️❣️
Ahsante sana dada mariam kwa somo lako nimelipenda sana
Hongera na Asante Sana Nandy kwa kushare nasi tunajifunza mengi mazuri pia🙏💕💕💕
Asnteeh Wajina unawakilisha jina vizuri 💕💕💕💕
Mariam migomba ni kweli kungwi maadam amefikisha miaka na mumewe, Asante Dada, Hongera.
Uuuuwi ndg wamume mtanickia kwny Bomba polic Hakim bwana jela nimimi mwenyew 👌 wee Miriam 🙏
Nawakumbusha... Haya mambo sio ya kufanya Kwa boyfriend au Mchumba! Boyfriend na mume ni vitu viwili tofauti kabisa.
Waache wajichanganye wakiachwa walie hii nikwa wana ndoa 😀😀😀
Haswa
Mpaka anafundwa manake anaenda kuolewa
Kwan mtu anafundwa kabla ndoa au baada ya ndoa..
@@najmandanshau2095 nikabla
Hongera Sanaa Mpenzi Kwa Hatuwa Hii Unayoeendea Mwenyezi Mungu Akafanye Njia na Mtatuzi Wa Kila Jambo Mnapokosana Mandy💕❣️
We appreciate the advice Nandy, thanks for sharing.
Shukran Mariam,tumefunzika pia
Inatakiwa hivyo kabla ya NDOA. MAFUNDISHO MAZURI KAMA HAYA. Hongera mtoto wa watu. Msanii aliyelelewa kwenye msingi ya DINI. Huwa kuna HERI NDANI YAKE.👼♥️
Kweli kabisa maneno kuntu mama 😍😍😍😍
Hongera sana mrembo lkn naomba ushike hayo mawaidha tena zaidi weka mungu mbele kwenye ndoa yako.
Hongera Sana Nandi MUNGU awatangulie ndoa yenu idumu daima
Hongera Miriam migomba ndoa ikawe ya kheri nandi wangu
Maneno kuntuuuuuuuu jmn sema kinanda kina kela kina tualibia poziii asante kungwi 😍😍 tupo wengi waliiii jmn asante Nandy
Mungu awabariki nyote faustine and bi Miriam ❤️🙏
Asantee MARIYAM kwa kumfunda FAUSTA akiyashika maneno ya kungwi watadumuu
Tumefundwa wengi asante mama yangu miriam Mungu akutunze
Mama mungu akubaliki sana sana nimelewa
Ahsanten kwa masomo mazuri👏👏
Hivi Hugo William yeye hastahili kuambiwa anayoambiwa Nancy hapo ndiponapokoseaga wafundaji both of them wanahitaji kuambiwaaa kila mmoja natakiwa amfanyie mini mwenzie ndionawapa mwanya kuwanyanyasa wanawake
Mafunzo safi ukimaliza basis na wanaume watafutiwe wakuwafundisha
Asante kungwiiiiiii ❤️❤️❤️
Mungu akulipe mamaangu
Mbaya Kipigo tu! Ladies learn here!
Nimekupenda bule jmn unampa maneno mzr atr nandy 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤❤UNATISHA DADA
Hongera na asnt nandy mungu akupe heri katika ndoa yako🥰🥰🥰🥰🥰
Mashaallah maneno matamuu kwelii kama ni mungwana kaelewa
Asante sana mnaokoa ndoa za weng
Asante mama I have learn something bog
Mungu akawasimamie iwe kheri
Nampenda nandii anajielewa sanaaa
Thanks so much 🙏tumefunzwa wengi
Mariam migomba pambeeeeeeeee👌🏻
Nandy nakupenda Dada Ani from Omani
Nimeipenda sana hv
Bi maryam asante kwa somo lako
Da mariamu ubarikiwe sana umenifunze kitu kikubwa sana
Nasis tunajifuza apa ❤❤
Chukran mariam
Weweweeeeeeeee wapi mariaamu waaaaa Mingombaaaa safiiiii sana kumpa somo mke mtaraniwaa wa WILYAMU tunawatakia kila lakheri kwenye dawati la wazeeee
Hongera nandy ujauzito ume kunenepa Masha Allah 🙏
Mashaallah ❤️❤️❤️
Nimejifunza sana alhamdullillah
Kweli kabisa jmn ukiolewa Mungu anakupima inahitaji subra
Powerful advice
Hongereni Faustina na William
Jmn honger kipenz. Mafunz konk 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ahsante saaaana 💓💓💓💓💓
mambo haya bana zamani ilikua siri sikuhizi ni kama biashara jamani haaa sijapenta kwa kweli
Wasia. Mzuri❤
Hongera Sana mpnz nandy
Jaman ahsante nandy tumepata somo wote
Great teachings but the sound track is too loud!
huyu kwingi kweli
Kungwii noma ongera mama la mama nimekuelewa Sana ufunde yamuingiee Sana kungwi umemaliza gemu piya unandy wake mwisho getini
Uyooooooo anaefundishwa kila kitu anakijua ashamaliza utamu zaman mwali anafundishwa na mimba jamon ama kwel 😂😂😂😂😂 mm nasema ukwel jomn musije kunichamba ila wari wa sku hizi washakubuhu hivi huyu ndan kwel tumwite m wariii au mwari mjane😂😂😂😂
Bora ww una fanda na uko kwanye ndoa sio wale wapiga makelele kwenye mitandao nandoa hawana ata hawa eleweki👏👏👏
Nandy mapigo ya moyo sasa yanaenda Kasi hatari mimba mikubwa tu hiyo hongera dogo
Raha ya ndoa anafundwa mwanamke mwanaume hajui ata moja
umeongea point somo yangu👌
@@fadyaal_hinai5645 shida inaanzia apo
Nmepata elimu kubwa hapa
Kungwi ❤️❤️❤️
Nasie tumeskia hapo hapo shukran
🥰nimejifunza vingi leo🥰🥰
Nihizo dini zenu zenye maadilimabovu mtu mwenye MUNGU ndaniyake hawezi kukaa mtandaoni nakuongeya upuuzi izo ni siri zawanandowa kwani mtandaoni kilamtu nimwanandowa😢
Sauti ndogo...LKN HAYA SASA NDO MAFUNZO.MIRIAM KATISHAAAA
ILA SAUTI NDO TATIZOOO
Ndoa njema
Hamna roho wamungu ndaniyenu
Kwa faida ya wote
Tunashkuru kuendelea kupata faida kwa sisi tulioko ktk ndoa
😁😁😁Namsikia Maryam wa Migomba nko shule ya msing na nina 30 nae ana 30 duu hii KUBWA na NUSU
Ckiliza vizuri kasema ana miaka 30 kwenye ndowa cyo kwamba ndio umli wake....yani ana miaka 30 tangu aingie kwenye ulingo wa ndowa
Usikilize uelewe
Anamiaka 30 yandoa siyo umri jamani
Sikiliza vzuri kasema ana miaka 30 kwenye ndoa na sio miaka yake ya kuzaliwa
Umeskia vibaya rafiki yangu! Amesema hiyo ni miaka yake ya ndoa kipenzi
Mashaallah
Namimi nimejifunza mambo leo
💪💪💪💪
Nimeipend hiyoo
Sante somo kwa niaba ya fau
Maneno mazuri 🔥 🔥
Somo pambeeee👌🏽
Tunashkuru nasisi tunajifunza zaidi
Wow
Siku hiz makungwi.mambo live hata usipoweza kulipa kungwi. Unayapata tu Kila. Kona
Yapo ya ndani huwezi kufundwa live ht siku moja
@@OfficialA83640 Sasa wao wanafundana au anampa ya nje tyuu????
@@baimarrajahbuayan6237 anamuelekeza jinsi yakuishi na watu na kuwajua tabia ili kujenga ndoa yake lkn mafunzo ya ndani yakumfanyia mume huwezi ambiwa mbele ya camera anaefanya hivyo msungo huyo
@@OfficialA83640 hapo Sawa nimekuelewa nilijua had ya ndan Tena hadharan
Kbsaaa Mambo yamebadilika
Haya sasa, kungwi ndio huyo.
Mali aki mfunda nandy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dada Mum shikamoo
Nime cheka sahii wa mama wananiangalia nikweli kabisa mwambie Nandi asikie