WAISLAMU WAGOMBANA MBELE YA MCHUNGAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 51

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 15 часов назад

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu wewe diwani usimwite mwenzako wewe wewe ndiyo haunaaa ilmu mashaalhaaalhaah KIJANA shekhe wetu mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah amesoma na huyooo katoka kwenye ilmu

    • @MbarakSoud
      @MbarakSoud 15 часов назад

      Shekhe bashu mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah shekhe bashu mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 День назад +4

    Wewe mwaipopo hujui biblia, Luka 1:26, Haizungumzii mwezi wa sita wa mwaka Bali inazungumzia kuwa kipindi Elizabeth akiwa mjamzito mwezi wake wa sita ndicho kipindi Malaika Gabriel anamtembelea Bikira mariamu. Kusithibitisha Hilo Soma LUKA 1:25-26, unganisha na LUKA 1:36. Kama bado unabisha wewe na waislamu wenzako lete hoja kwa maandiko nikujibu tena.

    • @sospetermatonya5133
      @sospetermatonya5133 День назад +2

      Hiki kitu huwaga kipo wazi hivo ila hata sijui why waislam hawataki kuelewa. Sijui wanafanya makusudi ama vipi! Yaani malaika Gabriel alimtokea Elizabeth Kisha baadae baada ya miezi 6 akamtokea tena Mariam ndio maana hata kiumri Yohana anamzidi Yesu kwa miezi 6. Hiki kitu sijui waislam watakielewa lini.

    • @adinanihashim7
      @adinanihashim7 День назад

      Lete Andiko kazaliwa mwezi gani

    • @sospetermatonya5133
      @sospetermatonya5133 День назад

      @@adinanihashim7 Swali zuri, kumbuka kwamba hii miaka tunayoihesabu hadi now imefika 2024 haikuwepo wakati wa kuzaliwa kwa Yesu, na hata haya majina ya miezi January to December hayakuwepo,...Kwa hiyo kuzaliwa kwa Yesu na watu wote waliozaliwa kabla yake haiwezekani kujua tarehe na miaka rasmi waliyozaliwa kwa sababu hakuna record hiyo...
      Sasa unaweza kujiuliza, hii December 25 imetokea wapi hadi isemwe kwamba ndo siku alizaliwa Yesu? Jibu ni kwamba hakuna siku, tarehe na mwaka rasmi wa kuzaliwa Yesu ila hiyo ni siku imechaguliwa tu kusherehekea Yesu kuwepo duniani na wala sio birthday kama ambayo wengi wanajua.
      Nadhani umeelewa, kama bado uliza swali nikujibu

    • @jonathanmasu6803
      @jonathanmasu6803 День назад +1

      @@adinanihashim7 msiwe mnakimbia kimbia hoja, Mimi nimejibu kwanza uongo wa Mwaipopo kwa kupotosha maandiko, mkikubali kuwa alichosema ni uongo ndo sasa twende kwenye hoja yako. Sio mkiwekwa wazi kwa uongo wenu mnakimbilia jambo lingine.

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p День назад

      ​@@sospetermatonya5133 Hawawezi kuelewa mkuu...famasiala na majini!😂😂

  • @MsuyaJeremia
    @MsuyaJeremia 21 час назад

    Ndomana Kenya walikufunga kwa kutapeli watu.

  • @seifseif5549
    @seifseif5549 21 час назад

    Huyo siyo sheikh diwani ni diwani wa mtaa tu

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 День назад

    Inauma sana kuwapa faida makafir ikiwa wote tumeitwa Waislam.ALLAH alainishe nyoyo zetu tuifute haki na kuepukana na batil.

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY День назад +1

    Wewe mwaipopo huwezi kusimama na wakristo

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 20 часов назад

    Elewa mungu anaabudiwa katka roho na na kwer siyo sitail ya kusali kua na akili maamuma wewe kauze dawa uganga ndiyo ndiyo unavyoweza

  • @SasAbdullah-i7v
    @SasAbdullah-i7v День назад +1

    Mwaipopo nakupenda mno,ila mnakasha unaoendelea kati ya diwani na bachu usiubeze kwani kuna faida kubwa mno.na mwalimu chaka wallah nampenda sana inaonekana anajitahidi kusoma misahafu na ndiyo maana ni kama kamuona diwani hana lolote katika dini,kwani kaketa misahafu miwili ambayo haijatofautina katika na tafsiri aliyotoa muhammad bacho bali inapingangana na upotoshaji wa yusufu diwani.kwa hiyo usiwe na jaziba na kusema minakasha ya waislam kwa waislam ni upuuzi,hapo umekosea.mi binafsi nafuatilia kwa karibu sana na faidika sana kwa hoja zinazotolewa.

  • @Captainome
    @Captainome День назад +1

    Mwaipopo diwani hana elimu porojo nyingi kupimdisha pimdisha maadishi,maneno ya ovyoo matusi na hii ndio tabia ya makurafi masufiii hawataki kusoma vitabu vya tauhidi.kazi kusoma soma miramli ramli yao.

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 20 часов назад

    Kama kishik atafika kwenye mdaalo na kuwaleta wanafunzi wake na sisi tutaleta wanafunz wetu wa x imam

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад +1

    Katonta Mwaipopo, Kwa taarifa yako nusu ya wanaoenda Kwa mwamposa ni Waislamu acha wivu 😅😅😅

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano Час назад

    Kabla ya malaika yusufu alishamshitukia Sasa mpaka mimba ionekane inamda ganii

  • @Captainome
    @Captainome День назад

    Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.

    • @Ahmadiyyāh.02
      @Ahmadiyyāh.02 8 часов назад

      na ndio maana Huzur aqdas Muhammad Mustafa s.a.w alisema kuwa akherizamani waislamu watagawika madhehebu 73 na madhehebu 72 yote ni motoni lisipokuwa kundi moja tu...sahaba r.a aliuliza ,ewe Huzur s.a.w !ni lipi hilo kundi ? ..Huzur Aqdas Muhammad Mustafa s.a.w alimjibu kwa kusema "litakalo kuwa kama MIMI na MASAHABA zangu " . kwahiyo madhehebu ni mengi sana kama vile mawahabi, Bralvi, masufi, Qadiriyyah, ahlalsunnah wal Jamaa, ahlul-hadith,ahlul-Qura'an, DEOBAND,Shia , wakhariji nk muungano hauwezi kusimama hata kidogo kwasababu Kila madhehebu hayo ,wanaitana makafiri kama wewe unavyomwita mwenzako kafiri na yeye atakuita kafiri.

  • @seifseif5549
    @seifseif5549 21 час назад

    .kuna masheikh njaa halafu hawakusoma

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 18 часов назад

    Muhammad alisilimisha majini wala hakuna uongo wowote

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 6 часов назад

    Ustadh hawagombani ila mganga anawwkwa sawa..kuna kitu ana kwepa vitu kwa tauhidi.ili anufaishe biashara zake.

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 12 часов назад

    Bingwa wa maandiko ni ndacha acha polojo dunia

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY День назад +1

    Acha dharau basi hiyo quran imekuja badae saaana ila al kitab kimeanza mapema sana

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад +1

    Kama Wakristo tunawagombanisha Waislamu kirahisi basi nyie ndiyo makatonta na wajinga!!

  • @Captainome
    @Captainome День назад

    Nakunasihi usisemeh elimu anayo itoa bachu Allah amhifadhi kufafanua vitu ni upunzi ww huezi hata kutafsiri ayaa kwa ufasaha leo mtu anajitoa kusomesha watu tauhidi unasema upuzi.wacha na mawahidi tuache tumfunze diwani please.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 30 секунд назад

    D-8 The 11th Summit of the Organization began with the recitation of the Holy Quran in Cairo, the capital of Egypt.
    This is mockery! Remember this is the summit of those implementing kufr.
    Erdogan speaking at D-8 summit held in Cairo, continued to emphasize on working for a stable Syria free of “terrorism.”
    Erdogan is working tirelessly to try prevent the reemergence of Khilafah especially during his time keeping in mind that it was Ankara that put an end to the Ottoman Khilafah. This is expressed on his concern about what is happening in Syria, in that he has not missed mentioning the term created by the West to counter Islamic ideology [terrorism].

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY День назад

    Mi nakuelewa sana ila wewe si shekhe?? Hebu ita bachu utafute shekhe mwingie alafu waseme maulidi ni nini na Ina maaana gani na nani alianzishe

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 День назад

    Tena bacho anakosea sana kufanya hivyo,na huyo Yusuphu analeta maneno amabayo hakuna msomi yoyote yule kawahi kusema hivyo ktk uislamu

    • @shabanihugo8332
      @shabanihugo8332 18 часов назад

      Maana Yusuphu elim yake ni ndogo sana ktk lugha ya kiarabu na,kama nacho anajua hilo inatakiwa akae kimya maana mwenzake hana elimu ktk hilo

  • @ustadhfarouq7729
    @ustadhfarouq7729 День назад

    Kwani Biblia ya kiarabu mungu ameandikwa vipi? ALLAH ama wanatumia jina gani?maana lugha ndio yawakoroga hapa...hvi Allah wa kwenye Arabic bible niyule Allah wa kwenye Quran pia?

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w 20 часов назад

    Akili huna wewe yaani biblia ukisoma utafikiri unasoma gazeti daaah! We kweli ni kantonta

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад +1

    Katonta Mwaipopo, acha kusumbua Waislamu kwa kuwachangisha michango ya ukumbi na gharama kubwa ya nini? Fanya midahalo ya kisasa kwa kukutana na wa WAKRISTO kwenye Chanel za You Tube dunia itaona tu acha kusumbuka sana na matangazo yasiyo na tija!!

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p День назад

      Huyu ni muoga. Hapo atajifanya anachangisha...ili apate uchochoro wa kutoroka....,MWAIPOPO FANYA MJADALA WA YOU TUBE 🔊Ex imam yupo tayari hata leo. Unaogopa nini?.

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k День назад

    Mwipopo debe tupu haliachi kupiga kelele huna lolote hujui biblia Wala Quruani Maan haugekuwa unakejeli Dini zao hat kitabu chenu hataiki kejeli tumi biblia kwa heshima Sio kugeusa maneno

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад

    Katonta Mwaipopo, Kabla ya kupiga porojo kuhusu Christmas, Wapi Aya ndani ya Qur'an inayosema msheherekee Maulid?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 День назад

      Mchaga tulia,wewe hata ukiufahamu ukweli ni ngumu kuukubali uislam kwakuwa unakukataza mambo machafu unayoyapenda km pombe,wizi,kitimoto,dhuluma na mengine mengi machafu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 День назад

      ​@@walidmgonja3644 Wewe katonta, Acha porojo Toa Aya ndani ya Qur'an inayosema Msheherekee Maulid!!

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 День назад

      ​@@walidmgonja3644 Katonta Acha porojo Toa Aya ndani ya Qur'an inayosema msheherekee Maulid

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 День назад

      ​@@walidmgonja3644 Katonta Acha porojo Toa Aya ndani ya Qur'an inayosema msheherekee Maulid

  • @Anonymous-w9v-i1p
    @Anonymous-w9v-i1p День назад

    Sheikh acha maneno wewe...elimu ya dini huna. Andaa mdahalo na mhadhiri yoyote wa kikristo..tena ukiwa peke yako bila wahadhiri wengine wa kiislam..tuone😂. Huwezi kubali, unaogopa mno...af unajisifu umesoma, umesoma wapi ww sheikh mwaipopo?😂 mm nimesema nataka nijadiliane na wewe live..,nikutoe kamasi..hii ndio chance yangu ya kukunyoosha...nishakuona wewe nakushenyenta huna haja ya kwenda kwa kina ndacha😂. Naomba usinikimbie..🙏

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 20 часов назад

    Kama wewe mganga mwanaume usionge kwenye mitandao tu fanya mdahalo x imam ili ufe na kwa mada na iyo oma yako

  • @emmanuelnganya9722
    @emmanuelnganya9722 День назад +1

    Andaa mdahalo upige maokoto maana za kuuza mafuta ya upako hazitoshi🤣🤣🇮🇱🇮🇱

  • @seifseif5549
    @seifseif5549 21 час назад

    Na wewe sheikh gani wewe unamwita mwinzio mshenzi wewe kichwa bufuru

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY День назад

    Wewe mwaipopo huwezi kusimama na wakristo ktk mdahalo huwezi wewe

  • @Captainome
    @Captainome День назад

    Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.

  • @Captainome
    @Captainome День назад

    Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.

  • @Captainome
    @Captainome День назад

    Mwaipopo elewa hivi hatuezi kuwa wamoja kwenye ITIKADI kwa sababu wasufi ninwatu waorongo wafitinishaji wapindishaji maneno ya mungu na mtume wake kwa maslahi yoa sasa Mwaipopo sisi tunaitwa mawahabi hatuezi kuwa kitu kimoja katika itikadi.