There’s a lot of healing and acceptance that this guy has to do, same as the other guys at watubaki. Nalimi is still hurt with what watubaki did to him he needs to heal and let go. There’s no platform that has no challenges. But as tanzanians we need to accept changes are inevitable
@@bugatti4728 kama alikua anasoma maswali, then alitakiwa awe na simu mkononi mdaa wote, pia mtarifu mgeni kuhusiana na processes nzima. Kutoa simu mfukoni katikati ya maojiano nikosa kubwa. In UK Adele aliondoka katikati ya mahojiano kisa reporter haku fanya research yakutosha.
Nilijua hawa Vijana wanavipaji vikubwa lakini Umri wao na mambo ya Vikundi ni ngumu sana kukua; hata ivo Ukichanganya kupata pesa na Umaarufu lazma Ukose Kimoja - sio wote wanajua nini wanataka huyu anaongea anajihisi Bora sana Utoto mwingi Hajapevuka kabisa
Humjui nalimi, na hufatilii comedy vizuri, information zako unazipata kwenye TV, real fans wa comedy wanaelewa huyu ni nani kwenye comedy… check kwanza special yake moja then utaelewa tunakuambia nini
Duh, mshikaji anajisifu sana ki2 ambacho sio sahihi anajuaje yeye ana uwezo zaidi ya wengine? Afanye kazi zimtetee sio yeye kutumia nguvu kubwa kuaminisha umma ana uwezo zaidi ya wengine. Dalili za kushindwa ni kuamini unaweza kila ki2.
There’s a lot of healing and acceptance that this guy has to do, same as the other guys at watubaki.
Nalimi is still hurt with what watubaki did to him he needs to heal and let go.
There’s no platform that has no challenges. But as tanzanians we need to accept changes are inevitable
Huyu ni comedian no 1 TZ, kwa wanaofatilia comedy na kujuijua wanaelewa
Kwangu Mimi Deo ndo standup comedian ninaempenda sanaa
Jamaa anaongea point
Anaelezea ukweli halis
Awez kudanganya uwo ndoukweli
Halafu we ni mwandishi kweli unachati huku Unamhoji mtu ? Shame boss wako ananidhamu sana Tafadhali Uombe Radhi unaanza kujisahau
Alikua anasoma maswali
Nalimi we ni mkali mzee ila tatzo umelia lia sana
Nalimi anajua, ilaa Deo is the best in Tz
Huyu kaka aweke mambo wazi, kama anataka kusema alafu anapotezea
💚💛💥
Nachukia kuangalia mahojiano ya mtu kama huyu aisee yani mifano mingi kuchekacheka unazunguka sana imebidi niache kuangalia pumbavu
Phone on interview nikosa kubwa sana
Anasoma maswali, ulitaka aende na karatasi
@@bugatti4728 kama alikua anasoma maswali, then alitakiwa awe na simu mkononi mdaa wote, pia mtarifu mgeni kuhusiana na processes nzima.
Kutoa simu mfukoni katikati ya maojiano nikosa kubwa. In UK Adele aliondoka katikati ya mahojiano kisa reporter haku fanya research yakutosha.
@@birianination7097 nakubaliil
Nyie wanafamilia wa SNS hivi Creez yupo wapi?
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
ASEEEE WHY NOW MBONA MNAPALILIA UMASIKINI KWENYE INDUSTRY
Nilijua hawa Vijana wanavipaji vikubwa lakini Umri wao na mambo ya Vikundi ni ngumu sana kukua; hata ivo Ukichanganya kupata pesa na Umaarufu lazma Ukose Kimoja - sio wote wanajua nini wanataka huyu anaongea anajihisi Bora sana Utoto mwingi Hajapevuka kabisa
Usiangalie kwan lazima !?
Humjui nalimi, na hufatilii comedy vizuri, information zako unazipata kwenye TV, real fans wa comedy wanaelewa huyu ni nani kwenye comedy… check kwanza special yake moja then utaelewa tunakuambia nini
🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕
Duh, mshikaji anajisifu sana ki2 ambacho sio sahihi anajuaje yeye ana uwezo zaidi ya wengine? Afanye kazi zimtetee sio yeye kutumia nguvu kubwa kuaminisha umma ana uwezo zaidi ya wengine. Dalili za kushindwa ni kuamini unaweza kila ki2.
hapo mahari kuna mbu wa kutosha
Donald. Video iko over exposed my brother-Inaumiza macho. Next time tumia Outdoor monitor kuhakikisha exposure sahiihi (To producer)
duuu
Nimegundua kwanini hunenepi usijilinganishe na WATUBAKI wewe