@@nassoroc unampangia Cha kufanya? Duuh Sasa wewe unafikiri mtu ataanza kubadiri jinsia bila kuwa na itikadi za upinde? Kama unawaza hivyo bila shaka ww ni mgonjwa🤔
Anamazuri mengi kuliko mabaya alinikera zaidi tu aliposema wa palestine waame gaza kwakweli kwenye hilo kakosea sana amefwata matakwa ya shetani netapaka
Na ataendelea kukukera tu kwa sababu hata hili anakufurahisha kwa sababu wengi mnadhani suala hili lina uhusiano na mashoga kumbe hakuna uhusiano wowote na mashoga- na mashoga kama mashoga wanaendelea kutatuana marinda kama kawaida na hajatoa tamko lolote la kupinga ushoga hata kama watu mnadhani suala la kutambuliwa jinsia mbili tafsiri yake ni kutotambua ushoga!! Taifa Laanifu kama Marekani KATU haliwezi kupiga marufuku ushoga!!
Yeye ANAUMA TU, watu wasiomwelewa ndo wanadhani anauma na kupulizia! Huku Afrika amepata mashavu sana kwa sababu WENGI wanashindwa kutofautisha kati ya hoja yake ya Kutambua JINSIA MBILI TU na Suala la Mashoga! Wengi mnadhani anaposema anatambua Jinsia Mbili TU maana yake anapiga Marufuku Ushoga kumbe ni vitu viwili TOFAUTI!
Tanzania mashoga n wengi sana tunawajua kwenye COMMENTS huwezi kuwa unaakili timamu umetoa macho kuangalia watu weusi kwenye vitu vy msingi Pumbavu kabisa
Hapa ndo ninapomkubali huyu mzee 💪💪..jpt
Safi sana yani wakome kumkosoa Mungu 😢
Good leader
Noma sana
Huyu mzee Mungu ambariki
Safi sana👏
Safii kaz nzuri
Inaitwa operations ondoa "Ugomora na Usodoma' hapo sawa🔥🔥🔥🏹💪
Bravo 👏🏽
Asante makonda
Safii sqn Trump
huyu ndiye raisi
Safi,,,,ilikua sio fair
Kaziiendeleee
tunafurahia sana
😂hapa 100👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥✌️
Super
Good!
Unakata uume nakuweka uke ,kwa hiyo wanaona wenye uke wanafaidi?😢
Kazi wanayo😂😂😂
Angelikuwepo mzee Baba JPM combination yake, Trump,Putin na H.Traore pangechimbika 😆🤣
Safiii🎉🎉
TRUMP HAO MATAJILI WOTE WA MAREKANI NI MASHOGA INAHITAJI NGUVU YA ZIADA.... MAREKANI INA LAANA YA USHOGA....WATU WA MAHAKAM WOTE MASHOGA...
SAFI SAAANA
Atafukuza adii watu weusii😂😂
Very good super 💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Next atasain amri ya kuwanyonga kabsa wote walio badiri jinsia😂 baba ana heka heka huyu🙌
🤣🤣🤣🤣haha
😅😅😅😅lol...
Kwanini asingeanza na tamko la Kupiga Marufuku USHOGA?! Au na wewe unadhani suala la kubadili jinsia na ushoga ndo kitu kile kile?!
@@nassoroc unampangia Cha kufanya? Duuh Sasa wewe unafikiri mtu ataanza kubadiri jinsia bila kuwa na itikadi za upinde? Kama unawaza hivyo bila shaka ww ni mgonjwa🤔
😂😂😂😂😂😂😂
VIVA TRUMP VIVA MUNGU ATAKUOIGANIA PIGA KAZI MY PRESIDENT 👏👏👏👏🫡🫡🫡🫡🫡
Viva viva😂😂
Now ur talking!!! 😂😂✍🙌
Okay ✅
Anamazuri mengi kuliko mabaya alinikera zaidi tu aliposema wa palestine waame gaza kwakweli kwenye hilo kakosea sana amefwata matakwa ya shetani netapaka
Shetani babahako mzazi wewe mbwa
Na ataendelea kukukera tu kwa sababu hata hili anakufurahisha kwa sababu wengi mnadhani suala hili lina uhusiano na mashoga kumbe hakuna uhusiano wowote na mashoga- na mashoga kama mashoga wanaendelea kutatuana marinda kama kawaida na hajatoa tamko lolote la kupinga ushoga hata kama watu mnadhani suala la kutambuliwa jinsia mbili tafsiri yake ni kutotambua ushoga!! Taifa Laanifu kama Marekani KATU haliwezi kupiga marufuku ushoga!!
Ww hujui km ana mazur mtaon tu hili shetan tuu km mashetan
anakulisha huyo trup matako watu weusi baana shobo tu unatukana watu utafikir baba yako @@Uesilamsiodiniyakweli
Pole
Netanyailu sio shetani
Secret service do you worry about them?? that will be a big problem
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Apo kwenye ushoga na masago tu ndo me humuunga mkono but kwenye umwagaji dam hapana aende peke yake na dua mbaya ntamuombea😂😂
Trump 🤝
Amri hii siyo tata. Ni uhalisia
Apambane na nchi yake kishoga maana nchi yake imeoza kwa ushoga kila sekta mashoga anakazi kweli kweli
Maji wataita mma mwaka huu😂
Trump #Leader and not Manager
Jinsia mseto shenzii kbsa
Bora asee
Yan USA n wahovyo mnooo. mwanaume unajibadili af unaend kushindana na wanawake kweli??
Safisha UOZO mwamba ndicho uliahidi wamarekani😅
Hapa kaz tu
Safisana. Hii ni nafuu na itadhibiti Kasi ya wajinga kubadili jinsia kisa kutimkia US
Trump Hana haja ya maahoga wala wasagaji!!!!! Yaani hapo trump mtamuua lakini hata iweje
Trump🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Anaempinga tlumpu ni shetani na wafuasi wake
Kizuri utapongezwa na kibaya pia tutakupinga
Hapo kwenye hiyo video hakuna muamerika mweusi hata mmoja😊
Hata mimi nimetazama sikumuona black naona wazungu tu, hata mmoja huyu jamaa kweli nimbaguzi
hv unajua ao wamarekani weusi hawanaga shobo na waafrica... wanatudharau kinoma we angalia interview zao kwahyo acha na wenyewe wabaguliwe
Yaani hao wa America weusu wanatudharau sisi Africa vibaya sana@@khloevibe7569
Mbona Jana Dodoma hakukuwa na Mzungu hata mmoja wao hawalalamiki kila mtu apende ndugu zake"
True kk @@khloevibe7569
Kabisa toa mabwabwa yote
Huyu jamaa kama panya anatafuna na kupuliza huyu jamaa anawachukiya sana watu wa Gaza na Palestine.???
Ana ng'ata na kupuliza vipi!!
Trump ni mmarekani, na ana wapenda wamarekani tu!!
Vimeingilianaje na gaza
Shetan hili
Yeye ANAUMA TU, watu wasiomwelewa ndo wanadhani anauma na kupulizia! Huku Afrika amepata mashavu sana kwa sababu WENGI wanashindwa kutofautisha kati ya hoja yake ya Kutambua JINSIA MBILI TU na Suala la Mashoga! Wengi mnadhani anaposema anatambua Jinsia Mbili TU maana yake anapiga Marufuku Ushoga kumbe ni vitu viwili TOFAUTI!
@@lexq-sm6lqacha ushoga kama anawapenda wamarekani mbona kuna maandamano ya kumpinga😮
MSISASAHAU APENDI WATU WEUSI😂
Nenda kule ...acha propaganda kama huelewi nyamaza he is the white president with the history of having a lot of black rappers as friends..tuliiiiiia
Tunajidharaulisha wenyewe kwa kupenda misaada ambayo inaishia kwenye matumbo ya wanasiasa na watu wachache..
Hata mimi nimetazama sikumuona black naona wazungu tu, hata mmoja huyu jamaa kweli nimbaguzi
Kwa hiyo mzee unasapoti ushoga:jamaa yupo vizuri sana huko marekani ni kwa wazungu kwa hiyo Hao weusi unaowataka wawepo hapo Haina maana mzee
Tanzania mashoga n wengi sana tunawajua kwenye COMMENTS huwezi kuwa unaakili timamu umetoa macho kuangalia watu weusi kwenye vitu vy msingi Pumbavu kabisa
Black kwenu Africa
Trump sema jambo kuhusu tanzania hasa sekta yà madini
Inamuhusu nn
Khaaaa
Ingekuwa Enzi ya Jiwe angesema ila saiz aseme nini wakati kampuni Yao Ya Barrick inamiliki Karibu migodi yote Tz